Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWIGULU NCHEMBA AENDELEA KUCHANJA MBUGA,AMALIZA KAZI MKOA WA SINGIDA KUHAKIKISHA CCM INASHINDA KWA KISHINDO

Chopa ya Chama Cha Mapinduzi ikiongozwa na Mjumbe wa timu ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi ikipasua ANGA la Mkoa wa Singida hii leo wakati wa kampeni kwenye Majimbo mbalimbali.Mapema leo,Mwigulu Nchemba akimnadi Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Igunga Ndg.Dalalary Kamfumu.Mwigulu ametumia nafasi hiyo kuwaasa wananchi wa Igunga kuichagua CCM kwenye nafasi zote,Swala la Mabadiliko halinauhusiano na vyama vya siasa,Mabadiliko ni shughuli za Maendeleo,Sehemu ukiona hakuna Umeme pakawekwa Umeme hayo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU AENDELEA KUCHANJA MBUGA,ATUA KAGERA,ADHAMINIWA KWA SHANGWE


Mwigulu Nchemba akiwasili ofisi za CCM Mkoa wa Kagera tayari kwa kudhaminiwa kuelekea Urais 2015.Mwigulu Nchemba akikabidhiwa orodha ya wadhamini wa Mkoa wa Kagera hii leo,Katikati ni Mwenyekiti wa CCM Bukoba Vijijini.Nimedhaminiwa,Asanteni Wanakagera

VIDEO,MWIGULU AKIAGANA NA WANANCHI WA KAGERA WALIOMDHAMINI

 

9 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA AZIDI KUCHANJA MBUGA MIKOANI KUIPIGANIA CCM,HAPA AKIMNADI NJALU ANAYEKWENDA KUMNG'OA MZEE CHEYO

Mwigulu Nchemba akiwa amaembatana na Mgombea Ubunge Jimbo la Bariadi Mashariki wilaya mpya ya Itilima Ndg.Njalu wakiwasili kwenye viwanja vya Laini kwaajili ya Mkutano wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi wilayani humo.Wananchi wakisukumana kuhakikisha kila mmoja anashikana mkono na Comrade Mwigulu Nchemba ambaye ni Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Iramba.Mwigulu Nchemba akimnadi Mgombe Ubunge wilaya ya Itilima Ndg.Njalu mapema hii leo wakati wa mkutano wa kampeni.Mwigulu NChemba akizungumzia...

 

9 years ago

Michuzi

MCHAKAMCHAKA WA MWIGULU NCHEMBA WATUA SIMANJIRO,KONDOA NA KITETO,CCM YAENDELEA KUUNGWA MKONO KWA KISHINDO

Mjumbe wa timu ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi Ndg.Mwigulu Nchemba akiwasili Jimbo la Simanjiro na kupokelewa na Mbunge mtarajiwa wa Jimbo hilo Ndg.Ole Sendeka mapema hii leo.Mwigulu Nchemba akimnadi Ole sendeka kwa wananchi wake,Kubwa ni Ujasiri wa Ole sendeka kwenye kutetea maslahi ya taifa,Ufuatiliaji wa Miradi ya maendeleo kama barabara zinazokwenda kujengwa kwa kiwango cha rami kuunganisha na mikoa inayopakana na SImanjiro.Ole Sendeka akizungumza na Wananchi wake wa kata ya Engesbert...

 

9 years ago

Michuzi

CHOPA YA CCM YATUA MANYARA,MWIGULU NCHEMBA AENDELEA KUKUSANYA NYOMI

Mwigulu Nchemba mmoja ya wajumbe 32 wa timu ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi akisalimiana na Wananchi wa Karatu Mjini jioni ya leo alipofika kwaajili ya Kuomba kura kwaajili ya Rais,Mbunge na Madiwani wa Chama Cha Mapinduzi.Sehemu ya Wananchi wa Karatu Mjini waliofika Uwanjawa Mazingira Bora kusikiliza Mkutano wa hadhara wa Mwigulu Nchemba.Mwigulu Nchemba akitoa darasa kwa Wananchi wa karatu kuhusu biashara ya Kumuacha Dr.slaa na kumpatia Edward Lowassa aliyehamia kutoka CCM.Dr.slaa...

 

9 years ago

Vijimambo

PICHA: MH. MWANG'OMBE AENDELEA KUCHANJA MBUGA MBIO ZA UBUNGE

Ni mwana Diaspora Liberatus Mwang'ombe anaye onekana kuwa na mvuto wa kipekee kwenye mbioza kuelekea Dodoma. Mwang'ombe amekuwa akikusanya watu wengi sana hata akisimama kwenye vijiji vidogo ambavyo havina watu wengi. Pichani akiwa kwenye vijiji viwili vidogo ambavyo havina historia ya watu kuhudhuria mikutano ya kisiasa; lakini ilikuwa tofauti kwa Mh. Mwang'ombe
Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze kutimiza ndoto yake ya kuwa mtunga...

 

9 years ago

Michuzi

Dkt Shein aendelea kuchanja mbuga katika kampeni kaskazini pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wanachama wa CCM na Wananchi wa Jimbo la Micheweni Wilaya ya Micheweni Mkoa wa kaskazini Pemba katika Mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu pamoja na kuwaombea kura Mgombea Urais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania na Mgombea Mwenza,pia wakiwemo wagombea Ubunge,Uwakilishi na Udiwan
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AMALIZA KAMPENI ZAKE MKOA WA LINDI,AANZA MKOA WA PWANI KWA KISHINDO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mkuranga jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni.Dkt Magufuli amemaliza kampeni zake mkoa wa Lindi na baade ameendelea na kampeni zake ndani ya mkoa wa Pwani,ambapo anatarajia kujinadi maeneo mbalimbali ya mkoa Pwani katika kuwaomba ridhaa ya kuwaongoza wananchi katika awamu ya tano,katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyia Oktoba 25 mwaka huu.Mgombea Urais wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana azidi kuchanja mbuga, atua jimbo la Iramba — Singida

unnamed

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Iramba Magharibi wakati wa mapokezi katika kijiji cha Kiselya. Katibu Mkuu na msafara wake wameanza ziara katika wilaya ya Iramba kwa lengo la kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi  ya CCM 2010 pamoja na kukagua uhai wa chama.

unnamed (1)

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kubeba mawe ya ujenzi wa kituo cha afya cha Kiselya, wilaya ya Iramba kwa kushirikiana na viongozi wengine pamoja a wananchi.

unnamed (2)

Katibu Mkuu...

 

11 years ago

Michuzi

CCM YAZIDI KUCHANJA MBUGA KALENGA

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa akisalimiana na vijana na wananchi kwa jumla baada ya kuwasili leo katika kijiji cha Elandutwa, katika jimbo hilo, Iringa Vijijini kwa ajili ya mkutano wake wa kampeni. Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu akimnadi Mgimwa katika Kijiji cha Elandutwa, Iringa Vijijini, leo. Wananchi wa Kijiji cha Elandutwa, Iringa Vijijini wakionyoosha mikono kuahidi kumpa kura zote Mgomwa katika uchaguzi mdogo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani