Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ali Ameir: Sitasahau mauaji ya Mwembechai

Asema alipata wakati mgumu akitishiwa itikafuWaziri wa zamani wa Mambo ya Ndani katika serikali ya awamu ya tatu, Ali Ameir Mohamed, amesema hatasahau vurugu za Mwembechai zilizohusisha Jeshi la Polisi na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu mwaka 1998 kwani ndiyo mgogoro mkubwa uliotokea chini ya uongozi wake wakati akiwa mtumishi wa umma.

Akizungumza katika mahojiano maalum na NIPASHE nyumbani kwake Donge Kichavyani, katika Shehia ya Mbiji, Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Ali Ameir awashangaa wanaombeza Magufuli

MWANASIASA mkongwe na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ali Ameir Mohammed amesema mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli ana sifa zote za kuwa rais na kwamba, wapinzani wanaomkebehi katika majukwaa wanashindwa kutoa kasoro zake.

 

10 years ago

Mwananchi

Jaji Manento: Sitasahau mauaji ya mwandishi Daudi Mwangosi

Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Amiri Manento amesema jambo kubwa alilolipitia wakati wa uongozi wake lilikuwa ni kifo cha mwandishi wa habari, Daudi Mwangosi baada ya kupigwa bomu na polisi, mkoani Iringa mwaka 2012.

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASA AMTEMBELEA ALI AMEIR MOHAMMED, ZANZIBAR

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa (kushoto) akimsikiliza aliyewahi kuwa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ali Ameir Mohammed, alipomtembelea nyumbani kwake, Kichaviani, jimbo la Dongo, viasiwani Zanzibar leo Jumamosi Desemba 27, 2014. Lowasa yuko Zanzibar kwa mapumziko ya Krismas na Mwaka mpya.Lowasa, akikaribishwa na Ali Ameir

 

10 years ago

GPL

MH. LOWASSA AMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI WA ZAMANI, MH. ALI AMEIR MOHAMED

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akisalimiana na Waziri waMambo ya Ndani wa zamani,Mh. Ali Ameir Mohamed wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kichaviani, Jimbo la Donge, Zanzibar.Mh. Lowassa yuko visiwani Zanzibar kwa mapumziko ya Krismasi. Waziri Mkuu…

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Lowassa amtembelea Waziri wa Mambo ya Ndani wa Zamani,Mh. Ali Ameir Mohamed

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani wa zamani,Mh. Ali Ameir Mohamed wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kichaviani, Jimbo la Donge, Zanzibar.Mh. Lowassa yuko visiwani Zanzibar kwa mapumziko ya Krismasi. Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akielezwa jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani wa zamani,Mh. Ali Ameir Mohamed wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la...

 

11 years ago

Mwananchi

Ali Ameir ataka Afrika itenge fedha, rasilimali kugharimia amani yake

Wakati Tanzania ikifikisha miaka 50 tangu kuungana kwa Tanganyika na Zanzibar, Aprili 26 mwaka 1964 na hivyo kuzaliwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, machafuko ya kidini, ukabila na uharamia unaotokea Afrika ni changamoto kwa viongozi wake kwamba hawana budi kuchu

 

10 years ago

Michuzi

FINCA YAFUTULISHA WATEJA NA WAKAZI WA MWEMBECHAI

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Finca, Edward Greenwood akizungumza mara baada ya kufutali mwishoni mwa wiki baada ya kujua umhimu wa mwenzi mtukufu wa Ramadhani na kufuturu na waislamu waliofunga.
Sheikh wa Mkoa wa Dar  es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum akizungumza mara baada ya kufutari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.  Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Finca, Edward Greenwood akizungumza na
Sheikh wa Mkoawa Dar  es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum wakati wakifuturu mwishoni mwa wiki.  ...

 

10 years ago

Michuzi

friends rangers kukipiga na ndanda fc uwanja wa makurumla magomeni mwembechai kesho

KIKOSI cha timu ya Friends Rangers (pichani), kesho kinajitupa kwenye Uwanja wa Makurumla, Magomeni Mwembechai, Dar es salaam kuvaana na timu ya Ndanda FC ya Mtwara katika mchezo wa kirafiki wa kijiandaa na mzunguko wa pili wa ligi daraja la kwanza.  Ofisa habari wa timu hiyo Asha Kigundula, alisema kikosi hicho kinashuka dimbani kikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mzunguko wa pili wa ligi hiyo inayoanza kutimua vumbi Ijumaa ya Desemba 26, 2014.  Alisema kwa kutambua umuhimu wa...

 

10 years ago

GPL

DAVINA: SITASAHAU MATESO YA SEGEREA

Na Laurent Samatta/Uwazi
NGULI wa filamu za Kibongo, Davina Yahaya ‘Davina’, amesema kamwe hatokuja kusahau mateso aliyowahi kuyapata akiwa Gereza la Segerea ambapo alikaa kwa siku tatu. Nguli wa filamu za Kibongo, Davina Yahaya ‘Davina’. Akipiga stori na Uwazi, Davina alisema tukio hilo lilitokea mwishoni mwa mwaka 2012 ambapo ilikuwa ni tatizo la kifamilia lililosababisha kutupiwa huko japokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani