Mh. Lowassa amtembelea Waziri wa Mambo ya Ndani wa Zamani,Mh. Ali Ameir Mohamed
![](http://3.bp.blogspot.com/-GoS9zpZR4L4/VJ6inuBAbeI/AAAAAAAG6Bk/Y717U2MaKQ4/s72-c/unnamed%2B(12).jpg)
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani wa zamani,Mh. Ali Ameir Mohamed wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kichaviani, Jimbo la Donge, Zanzibar.Mh. Lowassa yuko visiwani Zanzibar kwa mapumziko ya Krismasi.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kushoto) akielezwa jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani wa zamani,Mh. Ali Ameir Mohamed wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gYxGligqRT2HP-bTdZvAblvTk8*E7uLXXRQKK3ne5vOBmFVM-WEsWqbcbhO70LzzegbNvdxNZ0xdKPCJxinWhfMJNOaWVmus/unnamed12.jpg?width=650)
MH. LOWASSA AMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI WA ZAMANI, MH. ALI AMEIR MOHAMED
10 years ago
VijimamboLOWASA AMTEMBELEA ALI AMEIR MOHAMMED, ZANZIBAR
9 years ago
MichuziUJUMBE WA UBALOZI WA CHINA NCHINI WAMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
9 years ago
MichuziWATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAMPOKEA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MH. HAMAD MASAUNI
10 years ago
Vijimambo20 Oct
Ali Ameir: Sitasahau mauaji ya Mwembechai
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Ali-Ameir-October20-2014.jpg)
Akizungumza katika mahojiano maalum na NIPASHE nyumbani kwake Donge Kichavyani, katika Shehia ya Mbiji, Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja,...
9 years ago
Habarileo11 Sep
Ali Ameir awashangaa wanaombeza Magufuli
MWANASIASA mkongwe na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ali Ameir Mohammed amesema mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli ana sifa zote za kuwa rais na kwamba, wapinzani wanaomkebehi katika majukwaa wanashindwa kutoa kasoro zake.
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU MAMBO YA NDANI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI