Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Manento: Sitasahau mauaji ya mwandishi Daudi Mwangosi

Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Amiri Manento amesema jambo kubwa alilolipitia wakati wa uongozi wake lilikuwa ni kifo cha mwandishi wa habari, Daudi Mwangosi baada ya kupigwa bomu na polisi, mkoani Iringa mwaka 2012.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Jaji akumbusha machungu kifo cha Daudi Mwangosi

kaka1NA SHABANI MATUTU,DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) aliyemaliza muda wake, Jaji Amir Manento, ameonyesha kutofurahishwa na Serikali kushindwa kutekeleza ripoti iliyotolewa na tume hiyo kuhusu mauaji ya mwandishi wa kituo cha Channel Ten mkoani Iringa, Daudi Mwangosi.
Jaji Maneto aliyasema hayo jijini Dar es Salaam jana, wakati wa hafla ya kuapishwa kwa mwenyekiti mpya wa tume hiyo, Bahame Nyanduga na makamishna wake.
“Pamoja na kustaafu, jambo...

 

10 years ago

Michuzi

CHADEMA YAKANA KUHUSIKA NA KIFO CHA DAUDI MWANGOSI

Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa Chadema, John Mnyika, akizungumza na waandishi wa habariBaadhi ya viongozi wa Chadema kutoka kushoto ni Ofisa Habari, Tumaini Makene, Mbunge wa Ubungo Mh. John Mnyika, Ofisa Mwandamizi Mafunzo na Uendeshaji, Mohamed Mtoi, na mwenye gwanda ni Katibu Mtendaji, Ofisi ya Katibu Mkuu, Victor Kimesera.
Waandishi wa habari wakifuatilia taarifa ya Chadema.Jengo la makao makuu ya Chadema yaliyoko Kinondoni, Dar.
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Manento: Wafungwa walinishangilia kwa makofi

Kwa muda mrefu wanaharakati wamekuwa wakiunyooshea kidole muhimili wa mahakama kwa kutumia muda mrefu kuendesha kesi na kusababisha mrundikano wa mahabusu na wafungwa magerezani.

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi mauaji ya Mwangosi yanguruma

Kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, marehemu Daudi Mwangosi inayomkabili aliyekuwa askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) mwenye namba G. 2573 Pacificus Cleophase jana ilianza kusikilizwa kwa mara ya kwanza katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Iringa.

 

10 years ago

Vijimambo

Ali Ameir: Sitasahau mauaji ya Mwembechai

Asema alipata wakati mgumu akitishiwa itikafuWaziri wa zamani wa Mambo ya Ndani katika serikali ya awamu ya tatu, Ali Ameir Mohamed, amesema hatasahau vurugu za Mwembechai zilizohusisha Jeshi la Polisi na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu mwaka 1998 kwani ndiyo mgogoro mkubwa uliotokea chini ya uongozi wake wakati akiwa mtumishi wa umma.

Akizungumza katika mahojiano maalum na NIPASHE nyumbani kwake Donge Kichavyani, katika Shehia ya Mbiji, Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja,...

 

10 years ago

CloudsFM

Kesi ya mtuhumiwa wa mauaji ya Mwangosi yaendelea Iringa

MAHAKAMA kuu kanda ya Iringa inaendelea na vikao vyake huku leo kesi ya ya mauwaji ya mwanahabari mkoani Iringa Daud Mwangosi inayomkabilia mtuhumiwa wa askari wa kikosi cha kutuliza ghasia mkoa wa Iringa (FFU) Pasificus Cleophace Simon mwenye namba G 2573 inataraji kuanza kusikilizwa kwa upande wa mashahidi kuanza kutoa ushahidi wao.

Kesi hiyo inayoanza leo inaanza kusikilizwa leo Feb 12 -18 mwaka huu huenda hukumu ya kesi hiyo kutolewa siku ya tarehe 18 mara baada ya mashahidi kumaliza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yalaani mauaji ya mwandishi

Rais Barack Obama wa Marekani amesema mauaji ya mwandishi wa habari James Foley yameishtua dunia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Jordan yalaani mauaji ya Mwandishi

Mfalme Abdullah wa Jordan ameyalaani mauaji ya Mwandishi wa Habari wa Jjapan yaliyofanywa na wapiganaji wa kundi la Islamic State.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watuhumiwa mauaji ya mwandishi wakamatwa

Polisi nchini Azerbaijan imemtia mbaroni mwanamichezo na watu wengine watano kwa tuhuma za kuhusika katika tukio la mauaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani