Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kesi mauaji ya Mwangosi yanguruma

Kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, marehemu Daudi Mwangosi inayomkabili aliyekuwa askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) mwenye namba G. 2573 Pacificus Cleophase jana ilianza kusikilizwa kwa mara ya kwanza katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Iringa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Kesi ya mtuhumiwa wa mauaji ya Mwangosi yaendelea Iringa

MAHAKAMA kuu kanda ya Iringa inaendelea na vikao vyake huku leo kesi ya ya mauwaji ya mwanahabari mkoani Iringa Daud Mwangosi inayomkabilia mtuhumiwa wa askari wa kikosi cha kutuliza ghasia mkoa wa Iringa (FFU) Pasificus Cleophace Simon mwenye namba G 2573 inataraji kuanza kusikilizwa kwa upande wa mashahidi kuanza kutoa ushahidi wao.

Kesi hiyo inayoanza leo inaanza kusikilizwa leo Feb 12 -18 mwaka huu huenda hukumu ya kesi hiyo kutolewa siku ya tarehe 18 mara baada ya mashahidi kumaliza...

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya vigogo Suma JKT yanguruma

MEJA Jenerali, Dk Adam Mwamulange ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT), lilipewa jukumu la kununua vifaa vya Kampuni ya Takopa kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Msata hadi Bagamoyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Jaji Manento: Sitasahau mauaji ya mwandishi Daudi Mwangosi

Mwenyekiti mstaafu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Amiri Manento amesema jambo kubwa alilolipitia wakati wa uongozi wake lilikuwa ni kifo cha mwandishi wa habari, Daudi Mwangosi baada ya kupigwa bomu na polisi, mkoani Iringa mwaka 2012.

 

10 years ago

Michuzi

GABRIEL FUIME AFUTIWA KESI YA MAUAJI NA KUWA MAUAJI BILA KUKUSUDIA

 Aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime akifikishwa mahakamani wakati wa hatua za awali za kesi hiyo. ------------------------Na Mwene Said wa Globu ya Jamii MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imefuta  mwenendo wa kesi ya mauaji iliyofunguliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini dhidi aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime na wenzake 11, wanaohusishwa na kuporomoka kwa jingo la ghorofa 16 katika mtaa wa Indira Gandh na kuua watu 27...

 

5 years ago

Michuzi

MSHUKIWA WA MAUAJI YA BINTI WA KAZI KIZIMBANI KWA KESI YA MAUAJI NA MADAWA YA KULEVYA

Mtuhumiwa wa mauaji wa binti wa kazi Salome Zakaria,Mkami Shirima Akiwa amejifunika gubi gubi la mtandio wa dera akitoka kusikiliza kutajwa kwa kesi hiyo leo jijini Arusha.Mtuhumiwa wa mauaji wa binti wa kazi Salome Zakaria,Mkami Shirima Akiwa amejifunika gubi gubi la mtandio wa dera akitoka kusikiliza kutajwa kwa kesi hiyo. Pichani ni mtuhumiwa wa kesi ya mauaji ya binti wa kazi akiingizwa kwa hakimu mkazi mfawidhi Analia Mushi kutajwa kwa kesi yake huku akijifunika uso gubigubi kama...

 

11 years ago

Mwananchi

KESI: ‘Ushahidi kesi ya mauaji kikwazo’

>Upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji ya raia eneo la Magomeni Mikumi, jijini Dar es Salaam, umekiri kuwa hauna ushahidi huru kwa baadhi ya washtakiwa katika kesi hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

36 kizimbani kwa kesi za mauaji

WATUHUMIWA 36 wa kesi 11 za mauaji, wanatarajiwa kupandishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora, ambayo inaendelea na kikao chake mkoani hapa.

 

10 years ago

Habarileo

Tabora kinara kesi za mauaji

IMEELEZWA kuwa Kanda za Dar es Salaam zinaongoza kwa kuwa na mashauri mengi katika Mahakama huku Kanda ya Tabora ikiwa kinara kwa kesi za mauaji.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Kesi za mauaji ya albino ziharakishwe’

Wadau wa haki za binadamu wamezitaka Mahakama nchini kufanya kazi kwa haki na kuendesha kesi zinazohusiana na mashambulio ya watu wenye ulemavu wa ngozi kwa haraka ili kutoa funzo kwa wengine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani