Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanesco waagizwa kutunza maji Mtera

KATIBU Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Omar Chambo amewataka wataalamu wa Shirika la Umeme (Tanesco) kuhakikisha maji yanayoingia katika bwawa la uzalishaji umeme la Mtera yanatunzwa katika kipindi chote cha mwaka ili kuzalisha umeme kwa mwaka mzima.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Magu, Kwimba waagizwa kutunza daraja lidumu miaka 100

KERO ya muda mrefu iliyokuwa inawakabili wananchi wa wilaya za Magu na Kwimba ya ukosefu wa daraja linalotenganisha wilaya hizo katika eneo la Maligisu limepatiwa ufumbuzi baada ya Serikali kujenga daraja lenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 2.6.

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco waagizwa kupeleka madaraka chini

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi, ametaka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuanzisha mfumo wa kupeleka madaraka ngazi ya chini.

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco waagizwa kuunganisha umeme ndani ya siku 7

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoWAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameitaka Bodi mpya ya Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) kuliongoza shirika hilo kwa ufanisi na kuhakikisha kuwa mteja mpya anapoomba umeme anafungiwa ndani ya wiki moja.

 

10 years ago

Habarileo

Tanesco waagizwa kuunganisha umeme siku moja

SERIKALI imelitaka Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuunganishia wateja umeme ndani ya siku kama watalipa kabla ya saa nne asubuhi. Agizo hilo lilitolewa jana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga wakati akizungumza na menejimenti ya Tanesco mkoa wa Mwanza katika ziara yake ya kukagua miradi ya umeme.

 

10 years ago

Habarileo

Ada ya maji ‘yatotesha’ uwezo bwawa la Mtera

Bwawa la MteraUONGOZI wa mtambo wa kuzalisha umeme wa maji wa Mtera, umeiomba Serikali iangalie upya suala la ada ya maji inayotozwa na Wizara ya Maji, bila kuzingatia kiwango halisi cha uzalishaji wa mtambo huo.

 

9 years ago

Michuzi

MAJI ya Mtera yatakiwa kutunzwa kwa mwaka mzima

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omar Chambo (wa kwanza kulia) akizungumza na watendaji wa Wizara ya Nishati na Madini na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mara baada ya kuwasili katika kituo cha kuzalisha umeme wa maji cha Mtera ili kukagua kituo hicho na kuzungumza na wataalam.Wa Tatu kulia ni Kamishna wa Nishati na Maendeleo ya Petroli, Mhandisi Hosea Mbise), na wa Nne kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Sheria Wizara ya Nishati na Madini, Justus Mulokozi.Katibu Mkuu Wizara...

 

9 years ago

Michuzi

Wananchi watakiwa kuwa nje ya mita 60 kutoka vyanzo vya maji vinavyopeleka Mtera

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (katikati) akizungumza na wananchi katika kijiji cha Chimwenga wilaya ya Mbeya vijijini ambapo Naibu Waziri aliwaeleza wananchi hao umuhimu wa kukaa mbali na vyanzo vya maji ili kutoviharibu na kusababisha upungufu wa maji unaopelekea bwawa la uzalishaji umeme la Mtera kukauka.Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (kushoto) na Mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa wakiwa katika kijiji cha Makwenji wilaya ya Mbeya...

 

9 years ago

Michuzi

ZIARA YA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI KWENYE KITUO CHA KUZALISHA UMEME KWA NGUVU YA MAJI, MTERA

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ametembelea Kituo cha Kuzalisha umeme kwa nguvu ya maji cha Mtera kwa lengo la kujionea hali halisi ya kituo hicho.
Akielezea hali halisi aliyoiona kituoni hapo, Profesa Muhongo alisema kwa wakati huu kituo hicho cha Mtera hakizalishi umeme wa kiasi chochote huku akitaja sababu kuwa ni upungufu wa maji uliosababishwa na matumizi mabaya ya maji ya Bwawa hilo.
Profesa Muhongo alisema njia bora ya utatuzi wa upungufu wa maji kwenye bwawa hilo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watendaji watakiwa kutunza vyanzo vya maji

MKUU wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego, amewaagiza watendaji wa vijiji, mitaa na kata kuhakikisha wanatunza na kulinda vyanzo vya maji ikiwemo miundombinu yake ili kuwepo na uhakika wa maji....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani