Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mamilioni yatengwa kuikabili dengue

Serikali imetenga zaidi ya Sh700 milioni kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa Homa ya Dengue ambayo imeendelea kushika kasi huku wengine wakipoteza maisha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MAMILIONI YATENGWA KUMPORA DIAMOND MTOTO!

Sakata la yule jamaa aitwaye King Lawrence, raia wa Uganda mwenye maskani yake nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ anayedai kuwa mtoto wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ aliyempata kupitia kwa mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Latifah Nasibu ‘Princes Tiffah’ siyo wa mwanamuziki huyo, limechukua sura mpya.Jamaa huyo amefunguka upya kwamba, ametenga...

 

11 years ago

Mwananchi

... Dar es salaam yatengwa

>Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini mbali na kusababisha vifo na maafa mengine, zimeutenga Mkoa wa Dar es Salaam na maeneo mengine ya nchi baada ya madaraja muhimu katika barabara zinazoingia kukatika.

 

11 years ago

BBCSwahili

Urusi yatengwa katika kundi la G7

Viongozi wa kundi la mataifa saba tajiri zaidi duniani, G7 wanafanya mazungumzo kuhusu hatua ya kuiwekea Urusi vikwazo zaidi.

 

10 years ago

Habarileo

Mabilioni yatengwa kwa umeme Mbinga

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles KitwangaJUMLA ya Sh bilioni 4.59 zinatarajiwa kutumika kupeleka umeme katika baadhi ya vijiji vilivyopo wilayani Mbinga mkoani Ruvuma.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bil. 1/- yatengwa kuwalipa wazee wa mahakama

KATIKA mwaka wa fedha 2014/15 Wizara ya Katiba na Sheria imetenga sh bilioni 1.5 kwa ajili ya malipo ya wazee wa mahakama. Ahadi hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri...

 

5 years ago

CCM Blog

TRIONI MOJA YATENGWA KUHAKIKISHA VIJIJI VYOTE TANZANIA NZIMA VINAPATA UMEME



 …………………………………………………………………………NA FARIDA SAIDY,MOROGORO.KATIKA kuhakikisha Huduma ya umeme inafikia vijiji vyote nchini serikali imetenga Trioni moja nchi nzima kupitia wakala wa umeme vijijini(REA)  huku Mkoa wa Morogoro ukitengewa zaidi ya Shilingi Bilioni 42.0 kwa ajili ya huduma hiyo  kwenye Vijijini 85 katika awamu ya tatu mzunguko wa kwanza na kuwa vijiji hivyo vimeshafikiwa na ifikapo Mwezi Julai mwaka huu vijiji 165 vitakuwa vimepata umeme.Kauli hiyo imetolewa na Kamishna Msaidizi wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Volkswagen kuikabili Mercedes F1

Kampuni ya Volkswagen ya pili kwa utengenezaji magari duniani,yajipanga kuingia Formula one kuikabili Mercedes

 

10 years ago

BBCSwahili

Twiga Stars kuikabili She-polopolo

Twiga Stars,itashuka dimbani kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuwakarisbisha timu ya taifa Zambia 'The She-Polopolo'.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani