Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUNDURU YAANZA KAMPENI YA KUWAFUATILIA WAGONJWA WA KIFUA KIKUU

Mratibu wa kifua kikuu na ukoma wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Dkt. Mkasange Kihongole katikati akiwa na Mashono Said Amir wa pili kushoto ambaye alipatwa na ugonjwa wa kifua kikuu sugu na kukimbilia shambani ili asifahamike na wataalam wa Afya akiwa na wake zake Lios Bakari kushoto na Sharifa Maneno wa pili kulia mara baada ya kurudi kutoka katika matibabu Hospitali ya Kigong'oto mkoani Kilimanjaro ambapo ndiyo Hospitali inayohudumia wagonjwa wa kifua kikuu sugu,wa kwanza kulia ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TUNDURU WAANZA KUWATUMIA WAGANGA WA TIBA ASILI KUWAIBUA WAGONJWA WA KIFUA KIKUU

Mganga wa tiba asili na tiba mbadala, Huasi Mohamed aliyevaa shuka nyeupe ambaye ameepata mafunzo ya kuwaibua na kuwahisi wagonjwa wa kifua kikuu wanaofika katika kilinge akiwa katika picha ya pamoja na mratibu wa kifua kikuu,ukoma na tiba asili katika Hospitali ya wilaya Tunduru Dkt Mkasange Kihongole wa pili kushoto na baadhi ya wazazi wake,Mganga huyo amekuwa msaada mkubwa katika kuwaibua wagonjwa wa kifua kikuu wanaofika kwake kwa ajili ya kupata huduma ambapo wale wanaohisiwa...

 

5 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA TUNDURU WAANZA KUWATUMIA WAGANGA WA TIBA ASILI KUWAIBUA WAHISIWA WA KIFUA KIKUU

Na Mwandishi Wetu, Tunduru

BAADHI ya wananchi wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma,wameipongeza Serikali kupitia kitengo cha kifua kikuu na ukoma Hospitali ya wilaya ya Tunduru kuanza kuwatumia waganga wa Tiba asili na tiba mbadala waliosajiliwa kuibua wagonjwa wa kifua kikuu na kutoa rufaa ya kwenda hospitali kupata matibabu.

Wananchi hao waliokutwa katika kitongoji cha Mdingula kijiji cha Namasalau wakipata tiba katika moja ya kilinge cha mganga maarufu wa tiba asili na tiba mbadala Hausi...

 

9 years ago

GPL

ELEWA UNDANI WA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB)-3

Naendelea kuelezea undani wa ugonjwa wa kifua kikuu ambapo leo nitazitaja dalili zake. Watu wenye kifua kikuu tulivu ambao si wagonjwa, wanaweza kutumia vidonge vya Isoniazid kwa miezi mingi ili kuwakinga wasipate kifua kikuu kikali. Shirika la Afya Duniani (WHO) linapendekeza kuwa watu wenye VVU na kifua kikuu tulivu (lakini si kifua kikuu kikali) wapewe kinga ya Isoniazid kama inavyotakiwa. Kifua kikuu chenye usugu wa dawa...

 

9 years ago

GPL

ELEWA UNDANI WA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB)-2

Kwa baadhi ya watu, bakteria wa kifua kikuu wanakuwa tulivu maisha yote bila ya kuwa wakali. Lakini kwa watu wengine kifua kikuu kinaweza kuwa kikali iwapo mfumo wa kinga wa mtu unadhoofika- kwa mfano kwa VVU. Kifua kikuu kinaweza kubainishwa kwa kuingiza kiasi kidogo cha dawa inayoitwa Tuberculin kwenye ngozi ya mkono wa mtu. Iwapo ngozi itavimba ni dalili kwamba pengine mtu huyo ameambukizwa kifua kikuu.Hata hivyo, njia hii...

 

11 years ago

Habarileo

`Kifua kikuu namba 3 kuua nchini’

IMEELEZWA kuwa ugonjwa wa kifua kikuu ni ugonjwa wa tatu ambao unasababisha vifo vya watu wengi nchini, baada ya malaria na ukimwi. Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid wakati akitoa tamko kuhusu ugonjwa huo kwenye ukumbi wa wizara hiyo mjini Dodoma.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kifua Kikuu hatari kwa vijana TZ

Watu milioni 3 wanakosa matibau ya TB ugonjwa ambao unawanyemelea vijana ambao ni nguvu kazi

 

9 years ago

GPL

ELEWA UNDANI WA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB)

Kifua kikuu ambacho ni maarufu kwa kuitwa TB, ni ugonjwa unaosababishwa na kiumbehai. Bakteria wa Mycobacterium Tuberculosis (TB) anaweza kushambulia sehemu yoyote ya mwili, lakini mara nyingi hushambulia mapafu. Mtu anaweza kuwa na kifua kikuu kikali au tulivu. Kifua kikuu kikali au ugonjwa wa TB inamaanisha kuwa bakteria wanashambulia mwili na mfumo wa kinga unashindwa kuwazuia wasisababishe ugonjwa. Watu wenye kifua kikuu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kifua kikuu ambayo ni sugu kwa dawa

Aina ya kifua kikuu ambayo ni sugu kwa dawa zilizopo sasa, na ni vigumu kupata tiba kamili.

 

9 years ago

Mwananchi

Nyama, maziwa vyaweza kukuambukiza kifua kikuu

Kitaalamu, TB ni ugonjwa unaoambukizwa kutoka mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa njia ya hewa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani