Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyama, maziwa vyaweza kukuambukiza kifua kikuu

Kitaalamu, TB ni ugonjwa unaoambukizwa kutoka mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa njia ya hewa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

ELEWA UNDANI WA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB)-3

Naendelea kuelezea undani wa ugonjwa wa kifua kikuu ambapo leo nitazitaja dalili zake. Watu wenye kifua kikuu tulivu ambao si wagonjwa, wanaweza kutumia vidonge vya Isoniazid kwa miezi mingi ili kuwakinga wasipate kifua kikuu kikali. Shirika la Afya Duniani (WHO) linapendekeza kuwa watu wenye VVU na kifua kikuu tulivu (lakini si kifua kikuu kikali) wapewe kinga ya Isoniazid kama inavyotakiwa. Kifua kikuu chenye usugu wa dawa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kifua Kikuu hatari kwa vijana TZ

Watu milioni 3 wanakosa matibau ya TB ugonjwa ambao unawanyemelea vijana ambao ni nguvu kazi

 

11 years ago

Habarileo

`Kifua kikuu namba 3 kuua nchini’

IMEELEZWA kuwa ugonjwa wa kifua kikuu ni ugonjwa wa tatu ambao unasababisha vifo vya watu wengi nchini, baada ya malaria na ukimwi. Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid wakati akitoa tamko kuhusu ugonjwa huo kwenye ukumbi wa wizara hiyo mjini Dodoma.

 

9 years ago

GPL

ELEWA UNDANI WA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB)

Kifua kikuu ambacho ni maarufu kwa kuitwa TB, ni ugonjwa unaosababishwa na kiumbehai. Bakteria wa Mycobacterium Tuberculosis (TB) anaweza kushambulia sehemu yoyote ya mwili, lakini mara nyingi hushambulia mapafu. Mtu anaweza kuwa na kifua kikuu kikali au tulivu. Kifua kikuu kikali au ugonjwa wa TB inamaanisha kuwa bakteria wanashambulia mwili na mfumo wa kinga unashindwa kuwazuia wasisababishe ugonjwa. Watu wenye kifua kikuu...

 

9 years ago

GPL

ELEWA UNDANI WA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB)-2

Kwa baadhi ya watu, bakteria wa kifua kikuu wanakuwa tulivu maisha yote bila ya kuwa wakali. Lakini kwa watu wengine kifua kikuu kinaweza kuwa kikali iwapo mfumo wa kinga wa mtu unadhoofika- kwa mfano kwa VVU. Kifua kikuu kinaweza kubainishwa kwa kuingiza kiasi kidogo cha dawa inayoitwa Tuberculin kwenye ngozi ya mkono wa mtu. Iwapo ngozi itavimba ni dalili kwamba pengine mtu huyo ameambukizwa kifua kikuu.Hata hivyo, njia hii...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kifua kikuu ambayo ni sugu kwa dawa

Aina ya kifua kikuu ambayo ni sugu kwa dawa zilizopo sasa, na ni vigumu kupata tiba kamili.

 

5 years ago

Michuzi

TUNDURU YAANZA KAMPENI YA KUWAFUATILIA WAGONJWA WA KIFUA KIKUU

Mratibu wa kifua kikuu na ukoma wa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Dkt. Mkasange Kihongole katikati akiwa na Mashono Said Amir wa pili kushoto ambaye alipatwa na ugonjwa wa kifua kikuu sugu na kukimbilia shambani ili asifahamike na wataalam wa Afya akiwa na wake zake Lios Bakari kushoto na Sharifa Maneno wa pili kulia mara baada ya kurudi kutoka katika matibabu Hospitali ya Kigong'oto mkoani Kilimanjaro ambapo ndiyo Hospitali inayohudumia wagonjwa wa kifua kikuu sugu,wa kwanza kulia ni...

 

5 years ago

Michuzi

MAKUNDI YALIYO KARIBU KUPATA MAAMBUKIZI YA KIFUA KIKUU YATAJWA

Mratibu wa Ugonjwa wa Kifua Kikuu na Ukoma wa Jiji la Dodoma, Dk Pares Lukonga akizungumza na wandishi wa habari leo ikiwa ni maadhimisho ya ugonjwa huo.
Charles James, Globu ya JamiiKUTOKANA na kuwa na kinga dhaifu makundi ya wazee, watoto na watu wenye magonjwa ya kurithi wapo kwenye hatari kubwa ya kupata maambukizi ya ugonjwa wa kifua kikuu.
Akizungumza jijini Dodoma leo ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kifua kikuu duniani, Dk Peres Lukango ambaye ni mratibu wa kifua kikuu na ukoma ngazi ya...

 

5 years ago

Michuzi

UTAPIA MLO WATAJWA CHANZO CHA KIFUA KIKUU KWA WATOTO

ATIZO la utapia mlo linalotokana na ukosefu wa lishe bora kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano linatajwa kuchangia kuongezeka kwa ugonjwa wa kifua kikuu ambao unapoteza maisha ya watoto wengi hapa nchini.

Hivyo,wazazi na walezi wameaswa kuhakikisha wanawapatia watoto wao mlo kamili,mlo bora na kuzingatia kanuni bora za Afya kama njia mojawapo ya kupunguza vifo vinavyotokana na ugonjwa huo. Mratibu wa kitengo cha kifua kikuu na Ukoma katika Hospitali ya wilaya Tunduru Dkt...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani