Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKUNDI YALIYO KARIBU KUPATA MAAMBUKIZI YA KIFUA KIKUU YATAJWA

Mratibu wa Ugonjwa wa Kifua Kikuu na Ukoma wa Jiji la Dodoma, Dk Pares Lukonga akizungumza na wandishi wa habari leo ikiwa ni maadhimisho ya ugonjwa huo.
Charles James, Globu ya JamiiKUTOKANA na kuwa na kinga dhaifu makundi ya wazee, watoto na watu wenye magonjwa ya kurithi wapo kwenye hatari kubwa ya kupata maambukizi ya ugonjwa wa kifua kikuu.
Akizungumza jijini Dodoma leo ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kifua kikuu duniani, Dk Peres Lukango ambaye ni mratibu wa kifua kikuu na ukoma ngazi ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Serikali na wadau mbalimbali kuendelea kutoa elimu kwa makundi yaliyo katika hatari ya kupata maambukizi ya VVU

NACP -1

Mkurugenzi wa Udhibiti na Uhakiki wa Wizara ya Afya  Dkt.Mohamed Ally Mohamed akionyesha moja ya chapisho lenye taarifa za tafiti za watu walio katika makundi maalum na hali ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi  katika mikoa 7 lililotambulishwa jana jijini Dar es salaam.

Na Aron Msigwa – MAELEZO

SERIKALI imesema kuwa itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya Afya kutoa elimu kwa makundi ya watu wanaotumia dawa za kulevya na wale wanaojihusisha na biashara ya ngono katika maeneo...

 

10 years ago

BBCSwahili

AFCON 2015:Makundi ya timu 16 yatajwa

Timu 16 zimepangwa kwenye makundi manne ya michuano ya AFCON 2015 nchini Equatorial Guinea

 

10 years ago

Mwananchi

Majina ya awali yatajwa Karibu Festival ; Mwananchi Communications Ltd yadhamini

>Wiki hii, Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd, inayochapisha magazeti ya Mwananchi, Mwanaspoti na The Citizen, imejitosa kudhamini tamasha la kwanza kubwa la sanaa litakalofanyika Bagamoyo Pwani, linalojulikana kwa jina la Karibu Arts and Music Festival.

 

11 years ago

Habarileo

`Kifua kikuu namba 3 kuua nchini’

IMEELEZWA kuwa ugonjwa wa kifua kikuu ni ugonjwa wa tatu ambao unasababisha vifo vya watu wengi nchini, baada ya malaria na ukimwi. Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid wakati akitoa tamko kuhusu ugonjwa huo kwenye ukumbi wa wizara hiyo mjini Dodoma.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kifua Kikuu hatari kwa vijana TZ

Watu milioni 3 wanakosa matibau ya TB ugonjwa ambao unawanyemelea vijana ambao ni nguvu kazi

 

9 years ago

GPL

ELEWA UNDANI WA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB)-2

Kwa baadhi ya watu, bakteria wa kifua kikuu wanakuwa tulivu maisha yote bila ya kuwa wakali. Lakini kwa watu wengine kifua kikuu kinaweza kuwa kikali iwapo mfumo wa kinga wa mtu unadhoofika- kwa mfano kwa VVU. Kifua kikuu kinaweza kubainishwa kwa kuingiza kiasi kidogo cha dawa inayoitwa Tuberculin kwenye ngozi ya mkono wa mtu. Iwapo ngozi itavimba ni dalili kwamba pengine mtu huyo ameambukizwa kifua kikuu.Hata hivyo, njia hii...

 

9 years ago

GPL

ELEWA UNDANI WA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB)

Kifua kikuu ambacho ni maarufu kwa kuitwa TB, ni ugonjwa unaosababishwa na kiumbehai. Bakteria wa Mycobacterium Tuberculosis (TB) anaweza kushambulia sehemu yoyote ya mwili, lakini mara nyingi hushambulia mapafu. Mtu anaweza kuwa na kifua kikuu kikali au tulivu. Kifua kikuu kikali au ugonjwa wa TB inamaanisha kuwa bakteria wanashambulia mwili na mfumo wa kinga unashindwa kuwazuia wasisababishe ugonjwa. Watu wenye kifua kikuu...

 

9 years ago

GPL

ELEWA UNDANI WA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB)-3

Naendelea kuelezea undani wa ugonjwa wa kifua kikuu ambapo leo nitazitaja dalili zake. Watu wenye kifua kikuu tulivu ambao si wagonjwa, wanaweza kutumia vidonge vya Isoniazid kwa miezi mingi ili kuwakinga wasipate kifua kikuu kikali. Shirika la Afya Duniani (WHO) linapendekeza kuwa watu wenye VVU na kifua kikuu tulivu (lakini si kifua kikuu kikali) wapewe kinga ya Isoniazid kama inavyotakiwa. Kifua kikuu chenye usugu wa dawa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kifua kikuu ambayo ni sugu kwa dawa

Aina ya kifua kikuu ambayo ni sugu kwa dawa zilizopo sasa, na ni vigumu kupata tiba kamili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani