NAIBU WAZIRI ULEGA AHAMASISHA UNYWAJI MAZIWA KUCHOCHEA UJENZI WA VIWANDA NCHINI
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amewataka wananchi kunywa maziwa kwa wingi ili kuvutia wawekezaji kuwekeza kwenye sekta ya maziwa nchini
Naibu Waziri Ulega amesema hayo leo (23.02.2020) wakati wa mbio za kuhamasisha unywaji wa maziwa zilizofanyika viwanja vya The Greens Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Mhe. Ulega amesema kwa sasa kiwango cha unywaji maziwa kwa mtu kwa mwaka nchi Tanzania ni wastani wa lita 47 pekee.Kiwango hiki ni kidogo kwani Shirika la Afya Duniani (WHO)...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-W7ThP0v8F1o/Xs-sqnt2KQI/AAAAAAALr2s/veubRDlc9PUxmHNvh8TZsiP1uj3q4jMHwCLcBGAsYHQ/s72-c/a088403c-00ef-46e8-af77-a8f2fe34bad2.jpg)
NAIBU WAZIRI ULEGA AZINDUA WIKI YA MAZIWA, KUANZISHA KAMPENI YA KUKAGUA WANAOKUNYWA MAZIWA YA UNGA
SERIKALI imesema itaanzisha kampeni ya kukagua Ofisi za Umma na binafsi ambazo zinatumia maziwa ya unga badala ya maziwa halisi yanayotengenezwa nchini.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega leo jijini Dodoma wakati akizindua wiki ya maziwa nchini ambayo itafanyika hadi Juni 1.
Naibu Waziri Ulega amesema ni jambo la aibu kuona watanzania wakitumia maziwa ya unga na kuacha yale yanayotengenezwa na watanzania wenzao jambo ambalo amesema...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-QgdIE_bpGeA/XtlOahKTaGI/AAAAAAALspQ/wJ3bDg_M-SwxmFfI6nwCY-n40AdAu9U8ACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_9634.jpg)
WAZIRI MPINA AWATAKA WAWEKEZAJI NCHINI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA USINDIKAJI WA MAZIWA
SERIKALI imezitaka Halmashauri zote nchini kuzingatia bei elekezi ya chanjo ya mifugo na atakayekaidi hatua kali za kisheria na kinidhamu zitachukuliwa dhidi yake.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina leo jijini Dodoma wakati akihitimisha wiki ya Maziwa duniani ambapo ametumia nafasi hiyo kuwataka wenye viwanda vya kusindika maziwa kuongeza uzalishaji zaidi.
Waziri Mpina ametumia nafasi hiyo pia kuiagiza Bodi ya Maziwa na Wadau wote wa maziwa...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-SiHdKbL_jnw/U4xG11RWjVI/AAAAAAAFnM0/NQczQCFkT1U/s72-c/unnamed+(17).jpg)
Bodi ya Maziwa na Heifer Internationl wahamasisha unywaji wa maziwa
![](http://4.bp.blogspot.com/-SiHdKbL_jnw/U4xG11RWjVI/AAAAAAAFnM0/NQczQCFkT1U/s1600/unnamed+(17).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-yDc_4X2Zon4/U4xG2z7oonI/AAAAAAAFnM8/khWTVoZxCZM/s1600/unnamed+(18).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-jTHF2VJUw7k/U4xG32ev_dI/AAAAAAAFnNE/VvNFQPY4XOM/s1600/unnamed+(19).jpg)
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA
10 years ago
GPLNAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ,JANET MBENE ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA KILIMO ULEGA AFUNGUA SHAMBA LA MAFUNZO NA UFUGAJI WA SAMAKI 'BIG FISH FARM' JIJINI DAR
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA UVUVI NA MIFUGO ULEGA AFUNGUA SHAMBA LA MAFUNZO NA UFUGAJI WA SAMAKI 'BIG FISH FARM' JIJINI DAR
5 years ago
MichuziUHARIBIFU WA MIUNDOMBINU YA BARABARA KATIKA JIMBO LA MKURUNGA WASABABISHA NAIBU WAZIRI ABDALLAH ULEGA KUTOA MAELEKEZO KWA TARURA
NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Mkuranga mkoani Pwani Abdallah Ulega amefanya ziara katika kata mbilimbali za jimbo hilo kwa lengo la kukagua miundombinu ya barabara ilivyoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini.
Kutokana na uharibifu huo Ulega amemtaka Meneja wa Wakala wa Ujenzi wa Barabara Vijijini (TARURA) kutafuta namna ya kuhakikisha barabara hizo zinapitika.
Akizungumza hivi karibuni jimboni humo na baadhi ya wananchi...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yUbqO8n5VQ0/XqAY8ncwsoI/AAAAAAAAHFo/CMvH89StCgwADMXJg5XK469u2-1kbLjdwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
NAIBU WAZIRI ABDALLAH ULEGA ATOA POLE KWA FAMILIA 21 AMBAZO NDUGU ZAO WAMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BASI MKURANGA