Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kilimo cha kahawa hai Waliokitelekeza huenda wakachukuliwa hatua

Serikali kwa kushirikiana na uongozi wa vyama vya Msingi vya ushirika wilayani Hai mkoani Kilimanjaro huenda vikaanza kuwachukulia hatua za kisheria wawekezaji wote waliotelekeza kilimo cha Kahawa na kuanzisha kilimo cha mazao ya nafaka na Maua.

Hatua hiyo imefikiwa kutokana na kuendelea kuzorota kwa uzalishaji wa zao hilo kongwe ambalo lilikuwa ni uti wa mgongo kwa wazawa wa mkoa wa Kilimanjaro.

Katka kikao maalumu kilichowakutanisha viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika na wawekezaji...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Hai imepiga hatua kubwa katika kilimo, ufugaji - DC

MKUU wa Wilaya ya Hai, Novatus Makunga amesema Wilaya yake imepiga hatua kubwa katika kuziba pengo la kiteknolojia kwenye kilimo na ufugaji.

 

10 years ago

Mwananchi

EU yasaidia kufufua kilimo cha kahawa

Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) umetoa msaada wa magari saba kwa Taasisi ya Utafiti wa Kahawa Tanzania (TaCRI) ili kuiwezesha kuwafikia wakulima wengi zaidi.

 

11 years ago

Michuzi

JK afungua kituo cha afya na kukagua kilimo cha Kahawa Mbinga, afungua soko la kimataifa mkenda

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi kituo cha afya katika Gereza la Kitai wilayani Mbinga jana.Kushoto ni Mkuu wa Gereza hilo Alexander Richard Nyefwe.Kituo hicho kitatoa huduma kwa askari magereza,wafungwa na vijiji jirani Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi miche bora ya kahawa mkulima mdogo Bi Dorothea Komba wakati alipolitembelea na kukagua shamba la kahawa AVIV Farm linalomilikiwa na kampuni ya Olam katika kijiji cha Lipokela wilayani Mbinga, mkoani Ruvuma...

 

9 years ago

Michuzi

Mwanahabari Mkongwe Dkt. Gideon Shoo ajitosa katika kilimo hai cha kisasa huko Bagamoyo

 Dkt Gideon Shoo (mwenye gwanda la buluu) mwanahabari mwandamizi na mkongwe akielezea  alivyoamua kuingia katika kilimo hai cha kisasa alipotembelewa shambani na nyumbani kwake kata ya Kerege wilaya ya   Bagamoyo mkoa wa Pwani na maofisa kutoka Envirocare , asasi isiyokuwa ya kiserikali inayojihusisha na mazingira na  haki za binadamu.  Dkt Gideon Shoo akionesha anavyozalisha mbolea ya samadi Dkt Gideon Shoo akitembeza wageni kwenye shamba lake sehemu ya mbogamboga.
Ni jambo la kawaida kwa...

 

10 years ago

StarTV

‘Mpango wa Kilimo kwanza huenda usifanikiwe’.

Na Oliver Motto, Iringa.

Mpango wa Kilimo kwanza unadaiwa kuwa huenda usifanikiwe iwapo wananchi hawatapatiwa elimu ya kutosha kuhusiana na madhara ya uuzaji holela wa ardhi ambayo ni tegemeo na msingi katika kuendesha kilimo.

Hatua hiyo inakuja kutokana na kuwepo kwa migogoro ya ardhi inayosababishwa na baadhi ya wananchi ambao huuza au kugawa ardhi na hivyo kujikuta wakikosa hata maeneo ya kuendeshea shughuli za kilimo.

Ardhi ni moja ya rasilimali ambayo kila uchao imekuwa ikiongezeka...

 

10 years ago

Vijimambo

MANNY PACQUIAO HUENDA AKACHUKULIWA HATUA BAADA YA KUTOORODHESHA MAUMIVU YAKE

Manny Pacquiao akiwa amefunga bega lake la kuliaPacquiao's pre-fight questionnaire which shows he did not disclose his shoulder injury

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WASHAURIWA KULIMA KILIMO CHA MATONE BADALA YA KILIMO CHA MAZOEA KINACHOHARIBU MAZINGIRA


 Na Pamela Mollel, Arusha.

KUELEKEA kilele Cha maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika Juni 5  ya kila mwaka wananchi wameshauriwa kulima kilimo cha matone badala ya kilimo cha mazoea ambacho kimekuwa kikiharibu mmomonyoko wa ardhi na kusabisha uharibifu wa mazingira

Hayo yameelezwa leo Juni 4,2020 na Meneja wa NEMC Kanda ya Kaskazini Lweis Nzali alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ambapo amewaomba kutumia vyombo vya habari kuelimisha wananchi kuhusu matumizi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Kilimo Hai chawaongezea mavuno Chamwino

Wakulima waliojiunga na mpango wa Kilimo Hai wilayani hapa, wamefanikiwa kuvuna mazao mengi na kuvuka malengo baada ya kutumia vyema elimu waliyopewa na Shirika hilo.

 

10 years ago

Michuzi

KIWANDA CHA KONYAGI CHAZINDUA KINYWAJI CHA ZANZI CHENYE LADHA ZA CHOCOLATE NA KAHAWA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi Tanzania (TDL), David Mgwassa (katikati), akiwa Meneja Masoko wa kiwanda hicho, Joseph Chibehe (kushoto) na Meneja Bidhaa wa TDL, Warda Kimaro wakionesha vinywaji vipya aina ya Zanzi Chocolate  (ladha ya Chokoleti) na Zanzi Cappuccino (ladha ya kahawa) wakati wa uzinduzi wa  wa vinywaji hivyo uliofanyika katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam.
 Mgwassa akielezea ubora wa vinywaji hivyo.
 Meneja Masoko wa TDL, Joseph Chibehe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani