Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hai imepiga hatua kubwa katika kilimo, ufugaji - DC

MKUU wa Wilaya ya Hai, Novatus Makunga amesema Wilaya yake imepiga hatua kubwa katika kuziba pengo la kiteknolojia kwenye kilimo na ufugaji.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Kilimo cha kahawa hai Waliokitelekeza huenda wakachukuliwa hatua

Serikali kwa kushirikiana na uongozi wa vyama vya Msingi vya ushirika wilayani Hai mkoani Kilimanjaro huenda vikaanza kuwachukulia hatua za kisheria wawekezaji wote waliotelekeza kilimo cha Kahawa na kuanzisha kilimo cha mazao ya nafaka na Maua.

Hatua hiyo imefikiwa kutokana na kuendelea kuzorota kwa uzalishaji wa zao hilo kongwe ambalo lilikuwa ni uti wa mgongo kwa wazawa wa mkoa wa Kilimanjaro.

Katka kikao maalumu kilichowakutanisha viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika na wawekezaji...

 

5 years ago

Michuzi

NBC WAENDELEA KUUNGA MKONO SERIKALI YA AWAMU YA TANO KATIKA SEKTA YA KILIMO, UVUVI NA UFUGAJI

ILI Kufikia uchumi wa kati katika sekta ya Viwanda, mahitaji ya wakulima, wavuvi na wafugaji hayawezi kutekelezwa kwa bajeti ya serikali pekee bali wadau wakubwa wajitokeze kuwekeza.
Hayo yamesemwa wakati wa Mkutano wa wadau katika Kuongeza tija kwenye sekta ya kilimo na mifugo kwa maendeleo ya Viwanda.
Mkutano huo uliodhaminiwa na  Benki ya Biashara ya NBC, umeweza kuhudhuriwa na Waziri wa Viwanda na Biashara  Innocent Bashungwa, Waziri wa Ufugaji na Uvuvi Luhaga Mpina na Naibu Waziri wa...

 

9 years ago

Michuzi

Mwanahabari Mkongwe Dkt. Gideon Shoo ajitosa katika kilimo hai cha kisasa huko Bagamoyo

 Dkt Gideon Shoo (mwenye gwanda la buluu) mwanahabari mwandamizi na mkongwe akielezea  alivyoamua kuingia katika kilimo hai cha kisasa alipotembelewa shambani na nyumbani kwake kata ya Kerege wilaya ya   Bagamoyo mkoa wa Pwani na maofisa kutoka Envirocare , asasi isiyokuwa ya kiserikali inayojihusisha na mazingira na  haki za binadamu.  Dkt Gideon Shoo akionesha anavyozalisha mbolea ya samadi Dkt Gideon Shoo akitembeza wageni kwenye shamba lake sehemu ya mbogamboga.
Ni jambo la kawaida kwa...

 

11 years ago

Michuzi

WILAYA YA HANDENI NA MAENDELEO YA KILIMO NA UFUGAJI

 Mmoja ya wakulima wa Mahindi Wilaya ya Handeni mkoani Tanga Bw. Adalbertus Bubelwa wa pili kutoka kushoto akimwelezea Mkuu wa wilaya ya handeni Bw. Muhingo Rweyemamu, jinsi alivyoandaa shamba lake. Mkuu huyo wa wilaya alikuwa katika ziara ya kuwatembelea wakulima katika vijiji mbalimbali wilayani humo kuangalia mazao mashambani.  Mkuu wa wilaya ya Handeni Bw. Muhingo Rweyemamu, kushoto ambaye ni mwenye shamba akipata maelekezo kutoka kwa Afisa Kilimo wa Wilaya hiyo Bw. Yibarik Chiza,...

 

10 years ago

Vijimambo

MAONESHO YA KILIMO NA UFUGAJI YAZINDULIWA MKOANI ARUSHA

Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima Kanda ya Kaskazini(Taso)Arthur Kitonga akisoma taarifa ya Taso inayojumuisha mikoa ya Kilimanjaro,Manyara na Arusha.Mkuu wa Mkoa wa Manyara ambao ni wanachama wa Taso Kanda ya Kaskazini,Mh Joel Bendera akisistiza jambo kwenye mkutano wa ufunguzi uliofanyika kwenye viwanja ya Nanaenane Njiro jijini Arusha,anayesikiliza kwa makini ni Mkuu wa mkoa wa Arusha,Felix Ntibenda(wa pili kushoto).
Meneja wa Shama la Mbegu la Serikali mkoa wa Arusha,Zawadiel Mrinji...

 

10 years ago

Habarileo

JKT waagizwa kujitegemea kwa kilimo, ufugaji

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk Hussein Mwinyi ametaka vikosi vya jeshi la Kujenga Taifa kujitegemea katika ufugaji na kilimo, ili kutoa fursa kwa vijana kutambua kwamba kilimo ndio kinachoweza kuwatoa katika umaskini.

 

5 years ago

Michuzi

RC TABORA AWATAKA VIJANA KUCHANGAMKIA KILIMO NA UFUGAJI

 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akifungua jana kongamano la siku mbili la vijana katika fursa za kilimo , mifugo  na uvuvi ambao wameoka  Tabora, Kigoma na Singida .
Vijana kutoka Tabora , Singida na Kigoma wakiwa katika kongamano  la siku mbili linalohusu fursa za kilimo , mifugo  na uvuvi. Kongamano hilo limefanyika jana mjini Tabora NA TIGANYA VINCENT
VIJANA wametakiwa kutumia fursa zinazotokana shughuli za kilimo na ufugaji kujiari wenyewe badala ya kusubiri ajira za Serikali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani