‘Mpango wa Kilimo kwanza huenda usifanikiwe’.
Na Oliver Motto, Iringa.
Mpango wa Kilimo kwanza unadaiwa kuwa huenda usifanikiwe iwapo wananchi hawatapatiwa elimu ya kutosha kuhusiana na madhara ya uuzaji holela wa ardhi ambayo ni tegemeo na msingi katika kuendesha kilimo.
Hatua hiyo inakuja kutokana na kuwepo kwa migogoro ya ardhi inayosababishwa na baadhi ya wananchi ambao huuza au kugawa ardhi na hivyo kujikuta wakikosa hata maeneo ya kuendeshea shughuli za kilimo.
Ardhi ni moja ya rasilimali ambayo kila uchao imekuwa ikiongezeka...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV21 Dec
Kilimo cha kahawa hai Waliokitelekeza huenda wakachukuliwa hatua
Serikali kwa kushirikiana na uongozi wa vyama vya Msingi vya ushirika wilayani Hai mkoani Kilimanjaro huenda vikaanza kuwachukulia hatua za kisheria wawekezaji wote waliotelekeza kilimo cha Kahawa na kuanzisha kilimo cha mazao ya nafaka na Maua.
Hatua hiyo imefikiwa kutokana na kuendelea kuzorota kwa uzalishaji wa zao hilo kongwe ambalo lilikuwa ni uti wa mgongo kwa wazawa wa mkoa wa Kilimanjaro.
Katka kikao maalumu kilichowakutanisha viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika na wawekezaji...
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Mpango wa BRNÂ kuboreha kilimo
KILIMO ni uti wa mgongo, hivyo jamii inapaswa kujishughulisha na kilimo ili kuleta maendeleo katika taifa. Asilimia 80 ya Watanzania wanajishughulisha na kilimo ingawa kuna changamoto nyingi wanazokumbana nazo. Miongoni...
11 years ago
Habarileo16 Feb
JK afurahishwa na mpango wa kilimo wa Askofu Gamanywa
RAIS Jakaya Kikwete, amewashauri vijana kuchangamkia fursa za kilimo cha kisasa katika Mpango wa Mtandao wa Vikundi vya Maadili na Uchumi Tanzania (MVIMAUTA).
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-6SoKHpMeCTQ/VTI4di6CeJI/AAAAAAAHRyk/b2yFcjCTmz8/s72-c/DSCF8980%2Bcopy.jpg)
11 years ago
TheCitizen22 May
Kilimo kwanza: where did we lose the plot?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/d5hxC5etmnkimqjy*1pX9PrvQhfz729wnbU4sEn6nI3NGwcFlQFaJ792CruZOmVdpeFsFTqHCzGP8ClxqU7fD57oksMt4*5W/001.MTAMA.jpg?width=650)
VODAFONE YAZINDUA MPANGO WA KILIMO KLUB KUWAKOMBOA WAKULIMA WADOGO
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
Kijiwe: Matanuzi kwanza, kilimo mwisho
BAADA ya kunyaka nyuzi kuwa katika libajeti la hovyo linalojadiliwa baada ya kuletwa na Saada Mkuyati kuwa ofisi ya rahisi imepangiwa njuluku sawa na za kilimo, Kijiwe kimeamua kutoa shinikizo...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Sera ya Kilimo Kwanza imekuwa kitendawili
TANGU Tanzania ipate Uhuru mwaka 1961 kuna sera mbalimbali za kilimo zimekuwa zikitolewa ili kukiendeleza na hatimaye kuondoa umaskini kwa Watanzania. Miongoni mwa sera hizo ni Siasa ni Kilimo, Kilimo...
11 years ago
TheCitizen03 Feb
Small farmers receive four tractors for Kilimo Kwanza