Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EU yasaidia kufufua kilimo cha kahawa

Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) umetoa msaada wa magari saba kwa Taasisi ya Utafiti wa Kahawa Tanzania (TaCRI) ili kuiwezesha kuwafikia wakulima wengi zaidi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Kilimo cha kahawa hai Waliokitelekeza huenda wakachukuliwa hatua

Serikali kwa kushirikiana na uongozi wa vyama vya Msingi vya ushirika wilayani Hai mkoani Kilimanjaro huenda vikaanza kuwachukulia hatua za kisheria wawekezaji wote waliotelekeza kilimo cha Kahawa na kuanzisha kilimo cha mazao ya nafaka na Maua.

Hatua hiyo imefikiwa kutokana na kuendelea kuzorota kwa uzalishaji wa zao hilo kongwe ambalo lilikuwa ni uti wa mgongo kwa wazawa wa mkoa wa Kilimanjaro.

Katka kikao maalumu kilichowakutanisha viongozi wa vyama vya msingi vya ushirika na wawekezaji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TaCRI yapongeza kufufua kahawa

MKUU wa Wilaya ya Moshi, Dk. Ibrahimu Msengi, ameipongeza Taasisi ya Utafiti wa Kahawa nchini (TaCRI) kwa jitihada zake inazofanya kwa kushirikiana na halmashauri za wilaya nchini  kufufua zao la...

 

11 years ago

Michuzi

JK afungua kituo cha afya na kukagua kilimo cha Kahawa Mbinga, afungua soko la kimataifa mkenda

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi kituo cha afya katika Gereza la Kitai wilayani Mbinga jana.Kushoto ni Mkuu wa Gereza hilo Alexander Richard Nyefwe.Kituo hicho kitatoa huduma kwa askari magereza,wafungwa na vijiji jirani Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi miche bora ya kahawa mkulima mdogo Bi Dorothea Komba wakati alipolitembelea na kukagua shamba la kahawa AVIV Farm linalomilikiwa na kampuni ya Olam katika kijiji cha Lipokela wilayani Mbinga, mkoani Ruvuma...

 

11 years ago

Mwananchi

Japan yasaidia kilimo nchini

Japani imetoa Yen 380 milioni ambazo ni sawa na Sh6.02 bilioni kwa ajili ya kusaidia maendeleo katika sekta ya kilimo nchini.

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WASHAURIWA KULIMA KILIMO CHA MATONE BADALA YA KILIMO CHA MAZOEA KINACHOHARIBU MAZINGIRA


 Na Pamela Mollel, Arusha.

KUELEKEA kilele Cha maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika Juni 5  ya kila mwaka wananchi wameshauriwa kulima kilimo cha matone badala ya kilimo cha mazoea ambacho kimekuwa kikiharibu mmomonyoko wa ardhi na kusabisha uharibifu wa mazingira

Hayo yameelezwa leo Juni 4,2020 na Meneja wa NEMC Kanda ya Kaskazini Lweis Nzali alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ambapo amewaomba kutumia vyombo vya habari kuelimisha wananchi kuhusu matumizi ya...

 

10 years ago

Michuzi

KIWANDA CHA KONYAGI CHAZINDUA KINYWAJI CHA ZANZI CHENYE LADHA ZA CHOCOLATE NA KAHAWA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi Tanzania (TDL), David Mgwassa (katikati), akiwa Meneja Masoko wa kiwanda hicho, Joseph Chibehe (kushoto) na Meneja Bidhaa wa TDL, Warda Kimaro wakionesha vinywaji vipya aina ya Zanzi Chocolate  (ladha ya Chokoleti) na Zanzi Cappuccino (ladha ya kahawa) wakati wa uzinduzi wa  wa vinywaji hivyo uliofanyika katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam.
 Mgwassa akielezea ubora wa vinywaji hivyo.
 Meneja Masoko wa TDL, Joseph Chibehe...

 

11 years ago

Michuzi

WARSHA YA UBORESHAJI WA KILIMO CHA APPLES MAKETE KWA MAAFISA KILIMO YAFUNGULIWA

Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akizungumza wakati akifungua warsha kwa wataalamu wa kilimo katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Makete hii leo.  Mwezeshaji kutoka shirika ka TAHA Bw. Isaac Ndamanhyilu akizungumza kwenye warsha hiyo.  Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akizungumza na wataalamu wa kilimo wa kata na vijiji vya wilaya ya Makete.  Wataalamu wakifuatilia mafunzo hayo.   Mwezeshaji Manfred Bitala akiwawezesha washiriki wa warsha hiyo. Na Edwin...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani