Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taharuki yaibuka machimbo ya Nyangalata, waliofukiwa wadaiwa kuwa hai

Wachimbaji wadogo wa madini katika machimbo ya Nyangalata wilayani Kahama, wameingiwa na hofu baada ya uvumi kwamba wenzao sita kati ya saba waliofukiwa na kifusi siku 42 zilizopita bado wapo hai.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TMA yatolea ufafanuzi juu ya taharuki ya hali ya anga kuwa na Rangi mbili

Na Karama Kenyunko globu ya jamii. 
KUFUATIA kuwepo kwa taharuki na maswali kutoka kwa Umma juu ya muonekano wa anga kuwa na rangi nyekundu au ya chungwa jana Aprili 16,2020 katika baadhi ya maeneo nchini, Mamlaka ya Hali ya hewa nchini TMA imetolea ufafanuzi hali hiyo na kusema kuwa ni hali ya kawaida kutokea.
Katika taarifa yake iliyotolewa leo Aprili 17, 2020 imeeleza kuwa, hali hiyo hutokea wakati jua linapozama au kuchomoza katika mazingira yenye kuwa na hali ya hewa kama vile mawingu,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nyota wa 'Empire' wadaiwa kuwa wapenzi

Nyota wawili wa filamu ya 'Empire' Adre Lyon na Anika Calhoun wamedaiwa kuwa wapenzi katika maisha yao ya kawaida

 

10 years ago

StarTV

Mwamko wa wazawa katika utalii wadaiwa kuwa mdogo.

Na Zephania Renatus,

Kilimanjaro.

 

Mwamko kwa wazawa kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini unadaiwa kuwa mdogo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo uelewa wa umuhimu wa kutembelea vivutio hivyo.

Mkoa wa Kilimanjro umekuwa na bahati ya pekee ya kuwepo kwa mlima mrefu kupita yote barani Afrika Mlima Kilimanjaro.

Mlima huo ndiyo umebeba jina la mkoa huo.

Uwepo wa mlima huu uliosimama pekee wenye urefu wa mita 5895 kutoka usawa wa bahari umekuwa kichocheo kikubwa cha watalii...

 

10 years ago

Mwananchi

Raia wa kigeni wadaiwa kuchaguliwa kuwa wenyeviti wa vijiji

Dodoma.Wabunge wanaotoka mikoa ya mipakani wamelalamikia kuhusiana na watu wasio rai kupiga kura na kuchaguliwa katika chaguzi kinyume cha sheria.

 

11 years ago

Bongo5

Lil Wayne na Christina Milian wadaiwa kuwa wapenzi!!

Lil Wayne ana watoto wanne ambao kila mmoja ana mama yake na sasa huenda akaongeza orodha ya ‘mababy mama’ iwapo uhusiano wake na Christian Milian ukiwa kweli. Mwezi mmoja baada ya kuachana na mpenzi wake Jas Prince, Christina Milian anadaiwa kuanzisha uhusiano na bosi wake wa Young Money Lil Wayne. Wawili hao walipigwa picha wakitembea […]

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS ROUHANI ASISITIZA KUWA JCPOA ITABAKI HAI KWA USHIRIKIANO

Rais Rouhani asisitiza kuwa JCPOA itabakia hai kwa ushirikianoRais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yataendelea kuwepo na kubakia hai madhali kutakuwepo na ushirikiano wa pande zote husika.Rais Rouhani alisema hayo jana Jumamosi katika mazungumzo yake ya simu na mwenzake wa Russia, Vladimir Putin na kuongeza kuwa, "madhali tunastafidi na makubaliano hayo ya JCPOA, tutaendelea kufungamana na kutekeleza wajibu wetu."Ameeleza bayana kuwa, Tehran inaamini kuwa makubaliano hayo ya JCPOA yana maslahi...

 

9 years ago

Bongo5

Uzushi kuwa Irene Uwoya amefariki wadaiwa kusababisha usumbufu mkubwa kwenye familia

Taarifa za uzushi zilizoandikwa jana kwenye Facebook kuwa muigizaji wa filamu, Irene Uwoya amefariki, zinadaiwa kusababisha usumbufu mkubwa kwenye familia yake. Uzushi huo umekanushwa na kulaaniwa vikali na muigizaji mwenzake, Jacob Stephen aka JB. “Ndugu zangu jana kupitia akaunti feki ya facebook kuna mtu alitoa picha yangu nikilia na kusema Irene Uwoya amefariki,” ameandika JB […]

 

10 years ago

Bongo5

Macaulay Culkin (Kevin) wa ‘Home Alone’ athibitisha kuwa yupo hai baada ya kuzushiwa kifo weekend iliyopita

Muigizaji na mwanamuziki Macaulay Culkin (34) aliyepata umaarufu kupitia filamu ya ‘Home Alone’ aliyoigiza enzi za udogo wake kama Kevin, amezizika tetesi zilizoibuka weekend iliyopita kuwa amefariki dunia. Picha ya Culkin aliyopost Instagram kuthibitisha yupo hai Culkin ametumia mitandao ya kijamii kuthibitisha kuwa bado yupo hai na ni mzima. Taarifa hizo za uzushi zilianzia Facebook […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani