Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwamko wa wazawa katika utalii wadaiwa kuwa mdogo.

Na Zephania Renatus,

Kilimanjaro.

 

Mwamko kwa wazawa kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini unadaiwa kuwa mdogo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo uelewa wa umuhimu wa kutembelea vivutio hivyo.

Mkoa wa Kilimanjro umekuwa na bahati ya pekee ya kuwepo kwa mlima mrefu kupita yote barani Afrika Mlima Kilimanjaro.

Mlima huo ndiyo umebeba jina la mkoa huo.

Uwepo wa mlima huu uliosimama pekee wenye urefu wa mita 5895 kutoka usawa wa bahari umekuwa kichocheo kikubwa cha watalii...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Madeni, mwamko mdogo kwa CHF kunakosesha dawa

MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Steven Muhapa amesema tatizo la kukosekana kwa dawa katika zahanati na vituo vya afya inachangiwa na ukubwa wa deni na mwamko mdogo wa wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) .

 

10 years ago

Mwananchi

Mwamko wa wanaume kushiriki katika afya ya uzazi

Saa tano asubuhi katika kliniki ya Kirando iliyopo mkoani Rukwa, mama mmoja mjamzito anasubiri huduma katika ofisi ya mhudumu wa afya.

 

11 years ago

GPL

BALOZI MDOGO WA TANZANIA DUBAI, MHE. OMAR MJENGA, ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KATIKA UBALOZI MDOGO WA MALAYSIA.

Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga, akitia saini katika kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi Mdogo wa Malaysia, kufuatia kutunguliwa kwa ndege ya shirika la Malaysia MH17 na abiria wote 298 kupoteza maisha. Mhe. Mjenga na mwenyeji wake, Mhe. Dato Ahmad Fadil Shamsuddin, Balozi Mdogo wa Malaysia wakiwa kwenye mazungumzo pamoja na Balozi Mdogo wa Afrika Kusini, Mhe. Manabile Shogole… ...

 

5 years ago

Michuzi

BODI YA UTALII YATAJA MIKAKATI ENDELEVU 10 KUINUA UTALII KATIKA MLIPUKO WA CORONA


Mwenyekiti wa Bodi ya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akizungumza na Waandishi wa Habari katika Mkutano wa Bodi uliofanyika Jijini Dar es Salaam Aprili, 29, 2020.Wajumbe wa Bodi wakifuatilia Mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa Bodi ya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Jaji Mstaafu Thomas uliofanyika Jijini Dar es Salaam Aprili, 29, 2020.Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii (TTB), Bi. Devotha Mdachi akifafanua jambo kwa waandishi wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

HDP yakutanisha wadau wa sekta ya utalii katika mkutano wa pili wa kukuza sekta ya ukarimu na utalii

__800x800_51d3b4b77dc78

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhelm Meru.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Shirika la Kimataifa la Ukarimu na Utalii (HDP) kwa kushirikiana na Wamiliki wa Hoteli Tanzania (HAT) wamefanya mkutano wa kukutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya utalii kujadili mambo mbalimbali yanayohusu maendeleo ya sekta hiyo.

Akizungumzia mkutano huo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhelm Meru amesema mashirika hayo yamefanya mkutano huo kwa awamu ya pili kwa ajili ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nyota wa 'Empire' wadaiwa kuwa wapenzi

Nyota wawili wa filamu ya 'Empire' Adre Lyon na Anika Calhoun wamedaiwa kuwa wapenzi katika maisha yao ya kawaida

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, afanya mahojiano na gazeti la Gulf Today kuhusu kuvutia uwekezaji na kukuza utalii nchini

Wiki iliyopita tarehe 17-18, Ubalozi Mdogo kwa kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii, uliandaa kongamano la uwekezaji katika sekta ya utalii, kwa nia ya kuvutia wawekezaji na  watalii ili kuongeza idadi kubwa ya watalii wanao kwenda kuitembelea Tanzania.
Ubalozi Mdogo umejiwekea utaratibu katika mpango wake wa mwaka, kuandaa kongamano za uwekezaji tatu kwa kila mwaka.
Ni imani kuwa mpango huu utasaidia kutangaza fursa za uwekezaji zilizopo Tanzania na kuvutia idadi kubwa ya watalii...

 

10 years ago

Mwananchi

Raia wa kigeni wadaiwa kuchaguliwa kuwa wenyeviti wa vijiji

Dodoma.Wabunge wanaotoka mikoa ya mipakani wamelalamikia kuhusiana na watu wasio rai kupiga kura na kuchaguliwa katika chaguzi kinyume cha sheria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani