Samia aitupia dongo Wilaya ya Hai
Patricia Kimelemeta na Omary Mlekwa,Hai
HALMASHAURI ya Wilaya ya Hai imedaiwa kuwa miongoni mwa wilaya zinazoongoza kwa kupokea na kutoa rushwa, hali iliyosababisha baadhi ya miradi ya maendeleo kukwama.
Hayo yalibainishwa na mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kijiji cha Foo, Kata ya Machame Kaskazini.
Alisema fedha za miradi ya maendeleo zilizokuwa zinatolewa na Serikali hazijatumika kwa malengo yaliyokusudiwa jambo ambalo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi21 Feb
MKUU WA WILAYA YA HAI AAINISHA MAAFA YA WILAYA yake, AOMBA MISAADA YA HALI NA MALI
10 years ago
Dewji Blog24 Mar
Ziara ya Kinana wilaya ya Hai
![](http://4.bp.blogspot.com/-gBzhHSk_ltg/VRBJtIoU_RI/AAAAAAAAYzI/_LVr89Zl8EU/s1600/3.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuchimba msingi wa darasa katika shule ya msingi Modio,Masama Mashariki wilaya ya Hai.
Shule ya msingi Modio ilikumbwa na tetemeko la ardhi ambapo vyumba viwili vya madarasa,bwalo la chakula na ofisi ya walimu viliathirika.
![](http://4.bp.blogspot.com/-ai6U2GaqG64/VRBJt1uCZlI/AAAAAAAAYzQ/TDueXs1knww/s1600/4.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili kitongoji cha Kiyungi kwenye daraja la MNEPO
![](http://2.bp.blogspot.com/-HGzK5SsiY_0/VRBJvCgRpTI/AAAAAAAAYzY/nhuGEL8L4nA/s1600/5.jpg)
Daraja la linalounganisha wilaya ya Hai katika kijiji cha Mijungweni na wilaya ya Moshi vijijini katika...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NSzqhiwUFCs/XmIdOCc7CBI/AAAAAAALhcg/fM0Cn9houFAZWXSm_iIiNmZb6JJJLinmwCLcBGAsYHQ/s72-c/DSC_2033.jpg)
NMB yakabidhi vifaa kwa Wilaya ya Hai na Ilala
Jijini Dar es Salaam, NMB imetoa msaada yenye thamani ya Sh. Mil. 15 kwa Shule ya Sekondari Tambaza, iliyopo Upanga na Kituo cha Afya Pugu Kajiungeni wilayani Ilala jijini Dar es Salaam, wakati Mkoani Kilimanjaro imekabidhi vifaa tiba kwa...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-gpqMlu8iZKI/U-nMayTtYOI/AAAAAAAF-1Y/GckrURjFkpQ/s72-c/unnamed+(5).jpg)
wilaya ya hai mkoani kilimanjaro yajipanga kuondoa kero za wananchi mahospitalini
9 years ago
StarTV23 Nov
 Hofu ya magonjwa ya milipuko yatanda Hospitali ya wilaya Ya Hai kutokana na Vyoo Kujaa
Hofu ya kukumbwa na maradhi mbalimbali kama kipindupindu, kuhara na homa ya matumbo imetanda kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro kutokana na vyoo wanavyotumia wagonjwa hao kujaa.
Hali hiyo imeleta sintofahamu kubwa juu ya usalama wa maisha yao hasa katika kipindi hiki cha Mvua kinachoambatana na magonjwa mbalimbali ya mlipuko.
Ni maswali ambayo wamebaki wakijiuliza baadhi ya akinamama wanaouguza watoto wao katika wodi hii .
Baada ya star tv...
10 years ago
MichuziMEGATRADE INVESTIMENT LTD YAVIPIGA JEKI VILABU VYA DARAJA LA NNE WILAYA YA HAI
11 years ago
Michuzi22 Feb
KAMPUNI YA MONABAN YAKABIDHI MSAADA WILAYA YA HAI KWA AJILI YA WAHANGA WA MAAFA
![DSCF2880](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/0TSqwTC1r8IFiV-gERF8PRYbUs45EF_jjVZn7XaOdfnowwzy7nGeEWMXYLcsjBrA_XD_u8Bz2gVcWkUL8VQPDgdQYtRh0y51XnYDFLwK563ceQ=s0-d-e1-ft#http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/02/dscf2880.jpg)
![DSCF2878](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/Dw645iXcfLR4Pqf3qf4kU0NWABigyGK4A6H3AdEKLvJDWmVxuBtN5XGp_3l6ovIJ1df_GXX-j6IDiy3cca6FrBUX88XbbGmb2DW1dziVNx0ZTQ=s0-d-e1-ft#http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/02/dscf2878.jpg)
9 years ago
StarTV25 Sep
Samia ahidi kujenga hosptali kila wilaya
Chama cha MapinduziCCM kimesema iwapo wananchii watakichagua kuongoza katika kipindi cha awamu ya tano kitahakikisha Huduma za afya inimarishwa kikamilifu kwa kujenga hospital Kila wilaya,zahanati kila Kijiji pamoja na Kituo cha Afya kwa kila Kata.
Hayo yamesemwa na mgombea mwenza wa chama hicho Samia Suluhu Hassan wakati akimaliza ziara ya kampeni katika mkoa wa tanga ambapo amehitimisha na kuomba wananchii kukichagua chama hicho katika uchaguzi ujao.
Samia Suluhu amekuwa akisimamishwa...