Hofu ya magonjwa ya milipuko yatanda Hospitali ya wilaya Ya Hai kutokana na Vyoo Kujaa
Hofu ya kukumbwa na maradhi mbalimbali kama kipindupindu, kuhara na homa ya matumbo imetanda kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro kutokana na vyoo wanavyotumia wagonjwa hao kujaa.
Hali hiyo imeleta sintofahamu kubwa juu ya usalama wa maisha yao hasa katika kipindi hiki cha Mvua kinachoambatana na magonjwa mbalimbali ya mlipuko.
Ni maswali ambayo wamebaki wakijiuliza baadhi ya akinamama wanaouguza watoto wao katika wodi hii .
Baada ya star tv...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi31 Jan
Hofu yatanda; hospitali, zahanati zilivyoshindwa kudhibiti taka hatari
10 years ago
MichuziMBOWE AKABIDHI AMBULANCE MBILI KWA HOSPITALI YA WILAYA YA HAI NA HOSPITALI YA MACHAME
9 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA VYOO MANISPAA YA SHINYANGA..AKUTANA NA VYOO VYA AJABU...KIMO CHA KULENGA KWENYE BOMBA
Hiki choo cha ajabu kiko Shinyanga maelezo yapo chini.Leo Jumatatu Novemba 30,2015 ambapo mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ameanza kufanya ziara kutembelea kata za manispaa hiyo ili kuangalia hali ya usafi wa mazingira kubwa zaidi ni kukagua vyoo vya wananchi ilimkukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.Mkuu huyo wa wilaya ya Shinyanga alikuwa ameambatana na mkurugenzi wa manispaa ya Shinyanga Lewis Kalinjuna,mwanasheria wa manispaa hiyo Simon Jilanga,afisa afya wa manispaa hiyo...
9 years ago
Raia Tanzania21 Aug
Hofu Ukawa kuvunjika yatanda
MWENYEKITI mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), James Mbatia, amewataka viongozi na wanachama wa umoja huo kuheshimu makubaliano yaliyomo kwenye mwongozo waliotiliana saini mwaka jana.
Mbatia alitoa angalizo hilo baada ya kuwepo kwa viashiria kwa baadhi ya vyama ndani ya umoja huo kwenda kinyume na walichokubaliana hasa kuachiana majimbo kwa wagombea wabunge na udiwani.
Wiki hii kumekuwapo taarifa katika baadhi ya majimbo kwamba kuna vyama ndani ya Ukawa vimeweka wagombea...
10 years ago
Mtanzania12 Aug
Hofu ya Ebola yatanda nchini
NA EDITHA KARLO, KIGOMA
RAIA wa Burundi aliyetambulika kwa jina la Buchumi Joel (39), amefariki dunia baada ya kuugua ugonjwa wenye dalili sawa na Ebola, ikiwa ni pamoja na kutokwa na damu sehemu mbalimbali za mwili wake.
Madaktari, wauguzi na ndugu waliomuhudumia mgonjwa huyo, wamewekwa chini ya uangalizi maalumu kwa siku 21 kama hatua ya tahadhari, huku wakisubiri kupokea majibu ya sampuli za vipimo ili kubaini iwapo kweli ni ugonjwa wa Ebola ama la.
Akizungumza na waandishi wa habari...
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Hofu ya mapigano yatanda Kilwa
Na Bakari Kimwanga, Aliyekuwa Kilwa
HOFU ya mapigano kati ya wakulima na wafugaji imetanda wilayani Kilwa mkoani Lindi, kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni uvamizi unaofanywa na wafugaji kwa kuingiza mifugo yao mashambani na kuharibu vyanzo vya maji.
Hatua hiyo inatokana na wafugaji waliopewa eneo la malisho kushindwa kuandaa malambo kwa ajili ya kunyweshea mifugo yao.
Wakizungumza na timu ya waandishi wa habari wa za mazingira waliokwenda katika Kijiji cha Hoteli Tatu, kwa ajili ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p5H7N8Ot6oM0sMrsP7-v0okXqveHDSRleljE2CN1QIPnXMrCFComGycSaum2n4H1jYxeMSrdoLQtAcXc51Sez6rGDzq2OJnJ/BOMU.jpg)
MABOMU ZENJI, HOFU YATANDA
10 years ago
Mwananchi21 May
Hofu ya mabomu yatanda Njombe
10 years ago
Habarileo16 Jul
JK aongoza vikao jopo la magonjwa ya milipuko
RAIS Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa linalochunguza jinsi dunia inavyoweza kujikinga na majanga ya magonjwa ya milipuko katika miaka ijayo, yuko jijini hapa kuanzia juzi usiku kwa ajili ya kuendesha vikao vya jopo hilo.