JK aongoza vikao jopo la magonjwa ya milipuko
RAIS Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa linalochunguza jinsi dunia inavyoweza kujikinga na majanga ya magonjwa ya milipuko katika miaka ijayo, yuko jijini hapa kuanzia juzi usiku kwa ajili ya kuendesha vikao vya jopo hilo.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
JUMUIYA YA KIMATAIFA IJIZATITI KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MILIPUKO-TANZANIA

9 years ago
CCM Blog
TANZANIA: JUMUIYA YA KIMATAIFA IJIZATITI KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MILIPUKO

NA MWANDISHI MAALUM, NEW YORKMwishoni mwa wiki, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilijadili ajenda ya Afya na Sera ya Mambo ya Nje ambapo pamoja na mambo mengine lilipitisha azimio linalotathmini utayari wa nchi wanachama kukabiliana na magonjwa ya milipuko na dharura nyingine za kiafya.
Katika mjadala huo, wazungumzaji wengi, walisisitiza umuhimu wa kuimarishwa kwa mifumo ya afya, hususan katika nchi za kipato cha chini na cha kati zisizo na uwezo wa kutosha wa kukabiliana na magonjwa ya...
9 years ago
StarTV23 Nov
 Hofu ya magonjwa ya milipuko yatanda Hospitali ya wilaya Ya Hai kutokana na Vyoo Kujaa
Hofu ya kukumbwa na maradhi mbalimbali kama kipindupindu, kuhara na homa ya matumbo imetanda kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro kutokana na vyoo wanavyotumia wagonjwa hao kujaa.
Hali hiyo imeleta sintofahamu kubwa juu ya usalama wa maisha yao hasa katika kipindi hiki cha Mvua kinachoambatana na magonjwa mbalimbali ya mlipuko.
Ni maswali ambayo wamebaki wakijiuliza baadhi ya akinamama wanaouguza watoto wao katika wodi hii .
Baada ya star tv...
5 years ago
Michuzi
WATANZANIA WAMETAKIWA KUTUMIA HUDUMA YA USAFI WA MAZINGIRA KWA LENGO LA KUEPUSHA MAGONJWA YA MILIPUKO



11 years ago
Vijimambo
Rais Kikwete atoa Uraia kwa Wakimbizi wa Burundi- Aongoza Vikao vya CCM Dodoma



11 years ago
Dewji Blog15 Sep
Magonjwa ya moyo bado ni miongoni mwa magonjwa yanayochangia vifo vingi Tanzania
Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani, WHO zilizotolewa mwaka 2011, Vifo vilivyotokana na magojwa ya moyo nchini Tanzania vilifikia idadi ya watu 19,083, au asilimia 4.33% ya idadi ya vifo vyote. Na takwimu hizo zilionyesha idadi ya wanaofariki ni watu 117.64 kati ya watu 100,000, na takwimu hizi zikiiweka Tanzania katika nafasi ya 87 ulimwenguni.
Magonjwa haya ya moyo yanasababisha vifo vipatavyo idadi ya watu milioni 12 kwa mwaka duniani kote. Hata hivyo shirika la Afya...
9 years ago
Bongo520 Nov
2015 Forbes Africa’s 50 Richest: Dangote aongoza Afrika, Dewji aongoza Tanzania akifatiwa na Rostam

Jarida la Forbes limetoa orodha yake ya Matajiri 50 wa Afrika ‘2015 Forbes Africa’s 50 Richest People’, ambapo mwekezaji mkubwa wa Nigeria, Aliko Dangote ameshika nafasi ya kwanza kwa utajiri wa Dola Billion 16.5.
Watanzania walioingia kwenye rodha hiyo ni Mohammed Dewji aliyeshika nafasi ya 21 kwa Afrika na namba moja kwa Tanzania, akifatiwa na Rostam Aziz aliyeshika namba 25 kwa Afrika na nafasi ya pili kwa Tanzania. Mwingine ni Said Salim Bakhresa aliyekamata nafasi ya 36 kwa Afrika na...
10 years ago
Habarileo18 Jul
Jopo la majanga lateta na WHO
JOPO la watu mashuhuri linaloangalia jinsi dunia inavyoweza kujikinga na kukabiliana na majanga ya magonjwa ya milipuko, chini ya Rais Jakaya Kikwete, limeendelea na kazi yake kwa kukutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Margaret Chan.
10 years ago
Habarileo20 Sep
JK: Kazi za jopo langu zinaendelea vizuri
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameeleza maendeleo ya kazi ya Jopo la Watu Mashuhuri Duniani, linaloangalia jinsi dunia inavyoweza kujiandaa vizuri zaidi kukabiliana na magonjwa ya mlipuko katika siku zijazo.