JK: Kazi za jopo langu zinaendelea vizuri
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameeleza maendeleo ya kazi ya Jopo la Watu Mashuhuri Duniani, linaloangalia jinsi dunia inavyoweza kujiandaa vizuri zaidi kukabiliana na magonjwa ya mlipuko katika siku zijazo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Jul
Wakubwa waunga mkono kazi ya Jopo la Rais Kikwete
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa Linalopendekeza Jinsi Dunia inavyoweza kukabiliana na majanga yajayo ya magonjwa ya milipuko, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Jumatano, Julai 15, 2015, ameongoza vikao vya Jopo hilo ambalo kazi yake imeungwa mkono na nchi 21 ambazo zilichangia mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ebola.
Miongoni mwa mikutano ambayo Rais Kikwete ameiongoza katika Makao ya Umoja wa Mataifa (UN) mjini Geneva ni pamoja na yeye na wanajopo...
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-ztMSV6ukg9I/VfkA0CQnGiI/AAAAAAAD7pQ/axg1YahH8iQ/s72-c/tanzani-president-kikwete-jakaya.jpg)
JK KUELEZEA UMOJA WA MATAIFA MAENDELEO YA KAZI YA JOPO ANALOLIONGOZA
![](http://2.bp.blogspot.com/-ztMSV6ukg9I/VfkA0CQnGiI/AAAAAAAD7pQ/axg1YahH8iQ/s640/tanzani-president-kikwete-jakaya.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye ni Mwenyekiti wa Jopo la Ngazi ya Juu kuhusu Mwitikio wa Kimataifa wa Majanga ya Kiafya, anatarajiwa Ijumaa wiki hii, kueleza mbele ya wajumbe wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kuhusu maendeleo ya kazi ya jopo hilo tangu kuundwa kwake.
Jopo la Ngazi ya juu kuhusu mwitiko wa Kimataifa wa majanga ya kiafya liliundwa mwezi wa nne mwaka huu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, ambapo Rais Kikwete...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Ne77-EYD2nw/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog07 May
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Ne77-EYD2nw/default.jpg)
9 years ago
MichuziJopo la UN linaloongozwa na JK lakamilisha kazi yake New York, Jijini New York, Marekani
Jopo limefanya mikutano minne na kukutana na wadau mbalimbali wa afya zikiwemo taasisi za Umoja wa...
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Usingizi wa Kutosha ni nguvu ya kufanya kazi vizuri mchana
11 years ago
BBCSwahili21 May
Kura zinaendelea kuhesabiwa Malawi
11 years ago
Mwananchi23 Jun
Sherehe zinaendelea fukwe za Copacabana