Sherehe zinaendelea fukwe za Copacabana
Fainali za Kombe la Dunia 2014 zilizoanza Juni 12 na kushirikisha timu 32 hivi sasa zimefikia patamu kwani baadhi ya timu zimesonga mbele hatua ya 16 bora huku nyingine zikiaga fainali hizo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili21 May
Kura zinaendelea kuhesabiwa Malawi
Hasira miongoni mwa wananchi na ghasia zilizozuka zilisababisha kutofanyika uchaguzi katika baadhi ya vituo vya kura nchini humo.
9 years ago
Habarileo20 Sep
JK: Kazi za jopo langu zinaendelea vizuri
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameeleza maendeleo ya kazi ya Jopo la Watu Mashuhuri Duniani, linaloangalia jinsi dunia inavyoweza kujiandaa vizuri zaidi kukabiliana na magonjwa ya mlipuko katika siku zijazo.
10 years ago
Mwananchi06 Jul
Fukwe tano bora duniani
Fukwe ni kivutio kizuri cha utalii. Mara nyingi sehemu hizi huwa ni mahususi kwa kupumzika na kuburudika.
10 years ago
BBCSwahili30 Jul
Fukwe za Rio de Janeiro ni chafu.
Kamati kuu ya Kimataifa ya Olimpiki imesema kuwa uchafuzi wa bahari ni moja ya vikwazo vya maandalizi ya Olympik Rio de Jeneiro
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Fukwe za Tanzania uchochoro wa dawa za kulevya
>Wakati vita ya kupambana na biashara ya dawa za kulevya ikiendelea nchini, wasafirishaji wa dawa hizo wameanza kutumia fukwe ndogondogo za bahari nchini kuziingiza kutoka Mashariki ya mbali, gazeti hili limebaini.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HMrNkLH2ZKPTAepJtTKe7SeFc07rf3i4JNyrDnP9k-KMZuXjG04aV-5zJUO4OBOoxgl1N66LbsXSPgJbY8fmAzvzecy3mXBg/27C45851000005780imagea128_1429503269356.jpg?width=650)
RIHANNA AJIACHIA FUKWE ZA HAWAII, MAREKANI
Mwanamuziki, Robyn Rihanna Fenty (27) 'Rihanna' akitembea akiwa kashika glasi ya juisi katika fukwe za Hawaii, Marekani jana Jumapili. Rihanna akijiachia na marafiki zake katika fukwe hizo. Kushoto ni rafiki yake wa karibu Melissa Forde.…
10 years ago
Mwananchi09 Aug
FORODHANI : Fukwe ya mapochopocho visiwani Zanzibar
Kwa wale wanaopenda kula vyakula vya baharini au vile vyenye mahadhi ya Kizanzibari, Forodhani ndiyo mahali pake, ni sehemu tulivu iliyo kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, lakini iliyotengenezwa kwa mandhali ya bustani kwa watu kustarehe na kupata vyakula.
11 years ago
Mwananchi07 Aug
UTALII: Bayi sasa inapamba fukwe za Ziwa Nyasa
Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma imebarikiwa kuwa na fukwe za asili ambazo hazifanani na fukwe nyingine zozote duniani.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-819XMp_rjQc/Xs-Pv_DpyvI/AAAAAAALr1Y/epsoxUnoTsURcTv07dkFO8QmEyU-fRjnwCLcBGAsYHQ/s72-c/Chalamila%2B%25281%2529.jpeg)
RC CHALAMILA ABAINI KINACHOKWAMISHA MAENDELEO YA UTALII FUKWE ZA ZIWA NYASA
![](https://1.bp.blogspot.com/-819XMp_rjQc/Xs-Pv_DpyvI/AAAAAAALr1Y/epsoxUnoTsURcTv07dkFO8QmEyU-fRjnwCLcBGAsYHQ/s640/Chalamila%2B%25281%2529.jpeg)
Chalamila alieleza jinsi ambavyo barabara iliyojengwa kwa maagizo ya Rais John Magufuli kutoka Kyela Mjini hadi fukwe za Matema, iliyogharimu Sh. 65 bilioni ilivyoongeza fursa ya ukuaji...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania