Fukwe za Rio de Janeiro ni chafu.
Kamati kuu ya Kimataifa ya Olimpiki imesema kuwa uchafuzi wa bahari ni moja ya vikwazo vya maandalizi ya Olympik Rio de Jeneiro
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-bxfh2VT-GSE/U559kAnbpmI/AAAAAAAFq8E/2Jr8b529b5U/s72-c/unnamed+(20).jpg)
Sheraton Hotel Rio De Janeiro Welcomes Zuriel Oduwole as Argentina Team Arrives there too
![](http://3.bp.blogspot.com/-bxfh2VT-GSE/U559kAnbpmI/AAAAAAAFq8E/2Jr8b529b5U/s1600/unnamed+(20).jpg)
10 years ago
Mwananchi06 Jul
Fukwe tano bora duniani
Fukwe ni kivutio kizuri cha utalii. Mara nyingi sehemu hizi huwa ni mahususi kwa kupumzika na kuburudika.
11 years ago
Mwananchi23 Jun
Sherehe zinaendelea fukwe za Copacabana
Fainali za Kombe la Dunia 2014 zilizoanza Juni 12 na kushirikisha timu 32 hivi sasa zimefikia patamu kwani baadhi ya timu zimesonga mbele hatua ya 16 bora huku nyingine zikiaga fainali hizo.
11 years ago
Mwananchi12 Feb
Fukwe za Tanzania uchochoro wa dawa za kulevya
>Wakati vita ya kupambana na biashara ya dawa za kulevya ikiendelea nchini, wasafirishaji wa dawa hizo wameanza kutumia fukwe ndogondogo za bahari nchini kuziingiza kutoka Mashariki ya mbali, gazeti hili limebaini.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HMrNkLH2ZKPTAepJtTKe7SeFc07rf3i4JNyrDnP9k-KMZuXjG04aV-5zJUO4OBOoxgl1N66LbsXSPgJbY8fmAzvzecy3mXBg/27C45851000005780imagea128_1429503269356.jpg?width=650)
RIHANNA AJIACHIA FUKWE ZA HAWAII, MAREKANI
Mwanamuziki, Robyn Rihanna Fenty (27) 'Rihanna' akitembea akiwa kashika glasi ya juisi katika fukwe za Hawaii, Marekani jana Jumapili. Rihanna akijiachia na marafiki zake katika fukwe hizo. Kushoto ni rafiki yake wa karibu Melissa Forde.…
10 years ago
Mwananchi09 Aug
FORODHANI : Fukwe ya mapochopocho visiwani Zanzibar
Kwa wale wanaopenda kula vyakula vya baharini au vile vyenye mahadhi ya Kizanzibari, Forodhani ndiyo mahali pake, ni sehemu tulivu iliyo kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, lakini iliyotengenezwa kwa mandhali ya bustani kwa watu kustarehe na kupata vyakula.
11 years ago
Mwananchi07 Aug
UTALII: Bayi sasa inapamba fukwe za Ziwa Nyasa
Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma imebarikiwa kuwa na fukwe za asili ambazo hazifanani na fukwe nyingine zozote duniani.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-819XMp_rjQc/Xs-Pv_DpyvI/AAAAAAALr1Y/epsoxUnoTsURcTv07dkFO8QmEyU-fRjnwCLcBGAsYHQ/s72-c/Chalamila%2B%25281%2529.jpeg)
RC CHALAMILA ABAINI KINACHOKWAMISHA MAENDELEO YA UTALII FUKWE ZA ZIWA NYASA
![](https://1.bp.blogspot.com/-819XMp_rjQc/Xs-Pv_DpyvI/AAAAAAALr1Y/epsoxUnoTsURcTv07dkFO8QmEyU-fRjnwCLcBGAsYHQ/s640/Chalamila%2B%25281%2529.jpeg)
Chalamila alieleza jinsi ambavyo barabara iliyojengwa kwa maagizo ya Rais John Magufuli kutoka Kyela Mjini hadi fukwe za Matema, iliyogharimu Sh. 65 bilioni ilivyoongeza fursa ya ukuaji...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-YGvjN1w1Mv4/XmTd9m0bUEI/AAAAAAALh60/BcPXuTxye_4BNAFnC_-ZdowBxuN2fsg2ACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WAZIRI ZUNGU ASHIRIKI USAFI WA FUKWE ZA BAHARI JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu ameawagiza Wakurugenzi wa Manispaa za Ilala na Kinondoni kuhakikisha fukwe zote zilizopo katika Manispaa zao zinasafishwa na kufanyiwa usafi kila mara na kukusanya uchafu wote uliokusanywa katika maeneo ya fukwe. Ameyasema hayo wakati aliposhiriki usafi wa kusafisha fukwe za bahari eneo la Salander Bridge jijini Dar es Salaam.
Aliongeza kuwa anawashukuru sana kikundi cha utunzaji wa mazingira cha Save the Coast kwa...
Aliongeza kuwa anawashukuru sana kikundi cha utunzaji wa mazingira cha Save the Coast kwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania