DC MPYA ARUSHA AWAAMBIA MADAKTARI JINSI SERIKALI YA JPM ILIVYOLETA MAPINDUZI KWENYE SEKTA YA AFYA
Arusha, TanzaniaMKUU mpya wa Wilaya ya Arusha, Kenan Laban Kihongosi amesema Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dk. John Magufuli imeleta mapinduzi makubwa na yanayostahili kupongezwa katika sekta ya afya hapa nchini.
DC Kihongosi aliyasema hayo juzi wakati akifungua mafunzo ya uelimishaji wa tathmini za ulemavu uliotokana na ajali na magonjwa yatokanayo na kazi kwa madaktari na watoa huduma ya afya ambayo aliyafungua kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Iddi Hassan Kimanta.
Mafunzo hayo...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog23 Dec
Mapinduzi ya kitekinolojia katika sekta ya afya
Katika muongo uliopita sekta ya afya imeshuhudia mabadiliko fulani ya ajabu katika maendeleo ya kiteknolojia na uvumbuzi ambao umeleta mchango mkubwa katika utoaji wa ushauri na matibabu kwa wagonjwa. Mapinduzi hayo yamesaidia kuboresha utoaji huduma za afya na matokeo mazuri kwa wagonjwa. Maendeleo ya kiteknolojia yamepindua sekta ya huduma za afya kwa njia nyingi na kuleta njia za kisasa na bora zaidi za matibabu; Ukuaji wa technolojia umesaidia sana katika upatikanaji wa data na pia...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7Nr85iToPjE/Xuyv5d67UeI/AAAAAAALuls/wCd5IV8DjSY6B1VFHKTGao_2YiwXs4GPACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-19%2Bat%2B1.39.54%2BPM.jpeg)
SEKTA BINAFSI YACHANGIA SERIKALI BILIONI 2.1 KWA AJILI YA KUBORESHA SEKTA YA AFYA
Na. WAMJW-DSM
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kiasi cha shilingi bilioni 2.1 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini kutoka kwa wadau wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).
Akiongea wakati wa makabidhiano hayo Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameishukuru TPSF kwa uratibu wao kwa sekta binafsi kuchangia vifaa tiba hivyo ili vituo vya afya kuwa na vifaa muhimu vya kutolea...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GaQCabyB1gc/XlaPfTtrT8I/AAAAAAALfl8/eYvF3oErS1Qu1cUTXi-pmrgyI57iVPApQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-26%2Bat%2B18.17.39.jpeg)
Kampuni za mawasiliano ya simu zinavyoleta mapinduzi katika sekta ya afya
![](https://1.bp.blogspot.com/-GaQCabyB1gc/XlaPfTtrT8I/AAAAAAALfl8/eYvF3oErS1Qu1cUTXi-pmrgyI57iVPApQCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-02-26%2Bat%2B18.17.39.jpeg)
Wiki iliyopita Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikishirikiana na Chuo Kikuu cha Oxford imetangaza mradi mkubwa wa afya nchini Tanzania. Mradi huo utakaogharimu shilingi za Kitanzania bilioni 13.5 unalenga kutumia teknolojia ya akili bandia za mifumo ya kompyuta kwa kimombo Artificial Intelligence (AI)na ugunduzi wa chanzo na athari za magonjwa kidijitali (digital pathology). Uwekezaji wa namna hii unasaidia kuhakikisha kwamba hospitali nchini Tanzania zinaendelea kujenga uwezo wa kutoa huduma...
11 years ago
Mwananchi10 Jan
Telemedicine ilivyoleta mapinduzi katika tiba nchini
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA SEKTA YA AFYA ZANZIBAR WAPEWA MAFUNZO JINSI YA KUKABILIANA NA UGONJWA WA EBOLA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-5iDjKD_ecs8/VIgx1gWRV8I/AAAAAAACwMw/Y7X8ISdv77M/s72-c/unnamed.jpg)
Wadau wa Sekta ya Afya kutoka Tanzania Washiriki Maonyesho ya Sekta ya Afya jijini Istanbul -Uturuki. Dec 2014.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-GnUsR_MKBhc/U4NwzVNRxfI/AAAAAAAAFhY/Q83piHWQevw/s72-c/IMG_2076.jpg)
MKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WA UBIA BAINA YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI (PPP) KATIKA SEKTA AFYA MKOANI RUKWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-GnUsR_MKBhc/U4NwzVNRxfI/AAAAAAAAFhY/Q83piHWQevw/s1600/IMG_2076.jpg)
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Serikali kuajiri wapya 11,000 sekta ya afya
10 years ago
Dewji Blog25 Nov
Serikali yaipongeza TPHA kukuza sekta ya afya
Mkurugenzi wa Idara ya Tiba wa Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii, Dk. Margaret Mhando akifungua kongamano hilo la kisayansi.
Na Andrew Chale, Bagamoyo
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, imepongeza juhudi za makusudi zinazofanywa na Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA) katika kushughulikia masuala ya afya kwa jamii huku ikiahidi kushirkiana kwa ukaribu.
Hayo yalisemwa jana mjini hapa na mgeni rasmi Mkurugenzi wa Idara ya Tiba wa Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii, Dk....