Mapinduzi ya kitekinolojia katika sekta ya afya
Katika muongo uliopita sekta ya afya imeshuhudia mabadiliko fulani ya ajabu katika maendeleo ya kiteknolojia na uvumbuzi ambao umeleta mchango mkubwa katika utoaji wa ushauri na matibabu kwa wagonjwa. Mapinduzi hayo yamesaidia kuboresha utoaji huduma za afya na matokeo mazuri kwa wagonjwa. Maendeleo ya kiteknolojia yamepindua sekta ya huduma za afya kwa njia nyingi na kuleta njia za kisasa na bora zaidi za matibabu; Ukuaji wa technolojia umesaidia sana katika upatikanaji wa data na pia...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziKampuni za mawasiliano ya simu zinavyoleta mapinduzi katika sekta ya afya
Wiki iliyopita Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikishirikiana na Chuo Kikuu cha Oxford imetangaza mradi mkubwa wa afya nchini Tanzania. Mradi huo utakaogharimu shilingi za Kitanzania bilioni 13.5 unalenga kutumia teknolojia ya akili bandia za mifumo ya kompyuta kwa kimombo Artificial Intelligence (AI)na ugunduzi wa chanzo na athari za magonjwa kidijitali (digital pathology). Uwekezaji wa namna hii unasaidia kuhakikisha kwamba hospitali nchini Tanzania zinaendelea kujenga uwezo wa kutoa huduma...
11 years ago
MichuziMKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WA UBIA BAINA YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI (PPP) KATIKA SEKTA AFYA MKOANI RUKWA
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akifungua rasmi mkutano wa wadau wa uhamasishaji wa ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi PPP - ("Public and Private Partnership") katika Sekta ya Afya uliofanyika leo katika ukumbi wa Hospitali Kuu ya Mkoa wa Rukwa. Katika hotuba yake ya ufunguzi amesema ili kufikia lengo kuu la millennia ifikapo mwaka 2015 la kupunguza vifo vya watoto, akina mama wajawazito na kuweza kudhibiti magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza pamoja na kuboresha...
5 years ago
CCM BlogDC MPYA ARUSHA AWAAMBIA MADAKTARI JINSI SERIKALI YA JPM ILIVYOLETA MAPINDUZI KWENYE SEKTA YA AFYA
Arusha, TanzaniaMKUU mpya wa Wilaya ya Arusha, Kenan Laban Kihongosi amesema Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dk. John Magufuli imeleta mapinduzi makubwa na yanayostahili kupongezwa katika sekta ya afya hapa nchini.
DC Kihongosi aliyasema hayo juzi wakati akifungua mafunzo ya uelimishaji wa tathmini za ulemavu uliotokana na ajali na magonjwa yatokanayo na kazi kwa madaktari na watoa huduma ya afya ambayo aliyafungua kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Iddi Hassan Kimanta.
Mafunzo hayo...
DC Kihongosi aliyasema hayo juzi wakati akifungua mafunzo ya uelimishaji wa tathmini za ulemavu uliotokana na ajali na magonjwa yatokanayo na kazi kwa madaktari na watoa huduma ya afya ambayo aliyafungua kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Iddi Hassan Kimanta.
Mafunzo hayo...
10 years ago
MichuziWadau wa Sekta ya Afya kutoka Tanzania Washiriki Maonyesho ya Sekta ya Afya jijini Istanbul -Uturuki. Dec 2014.
Washiriki Kumi na Wanne (14) kutoka Tanzania wajumuika na wenzao 20 kutoka nchi mbalimbali za Afrika katika Maonyesho ya Pili Sekta ya Afya chini Uturuki. Maonyesho hayo hufanyika kila mwaka na kwa lengo la kuendeleza mahusiano na ushirikiano katika kuboresha Sekta ya Afya kwa nchi husika. Maonyesho ya Mwaka huu yalikuwa na washiriki kutoka nchi 60 duniani kote. Kwa upande wa Afrika mkutano huu ulioratibiwa na kusimamiwa na kampuni ya kuendeleza mahusiano ya maendeleo na biashara kati ya...
10 years ago
MichuziSerikali yaipongeza TPHA katika sekta ya afya nchini
Mkurugenzi wa Idara ya Tiba wa Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii, Dk.Margaret Mhando akifungua kongamano hilo la kisayansi. Mwenyekiti wa TPHA Taifa, Dk. Elihuruma Nangawe akitoa lecture katika kongamano hilo.
NA ANDREW CHALE, BAGAMOYO. SERIKALI kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, imepongeza juhudi za makusudi zinazofanywa na Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA) katika kushughulikia masuala ya afya kwa jamii huku ikiahidi kushirkiana kwa ukaribu katika maboresho na kukuza...
NA ANDREW CHALE, BAGAMOYO. SERIKALI kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, imepongeza juhudi za makusudi zinazofanywa na Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (TPHA) katika kushughulikia masuala ya afya kwa jamii huku ikiahidi kushirkiana kwa ukaribu katika maboresho na kukuza...
10 years ago
GPLSERIKALI YAIPONGEZA TPHA KATIKA SEKTA YA AFYA NCHINI
Mkurugenzi wa Idara ya Tiba wa Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii, Dk. Margaret Mhando akifungua kongamano hilo la kisayansi.  Mwenyekiti wa TPHA Taifa, Dk. Elihuruma Nangawe akitoa lecture…
10 years ago
MichuziKuingia kwa sekta ya afya katika BRN kunaleta matumaini mapya
Na Annastazia Rugaba, PDB habariMtendaji mkuu wa Ofisi ya Rais, usimamizi wa utekelezaji wa miradi (PDB) Bwana Omari Issa, leo amekabidhi rasmi taarifa ya mkakati wa kuboresha sekta ya afya chini ya BRN kwa jumuia ya wahisani wa maendeleo. Makabidhiano hayo yamefanyika katika ofisi za PDB ambapo jumuiya ya wahisani ilipata fursa ya kusikiliza kwa kina namna BRN inavyofanya kazi ya kuleta matumaini mapya kwa watanzania kupitia sekta za kipaumbele. Sekta ya afya imekuwa ikijaribu kuboresha...
11 years ago
MichuziMKUTANO WA MAANDALIZI YA KUINGIZA SEKTA YA AFYA KATIKA MPANGO WA MATOKEO MAKUBWA SASA
Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Bw. Omari Issa akifafanua jambo wakati wa mkutano wa awali wa maandalizi ya kujadili vipaumbele vya sekta ya afya vitakavyoingizwa katika BRN. Mkutano huo wa siku nne umeanza jijini Dar es Salaam leo Jumanne. Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid. Mkurugenzi wa SIKIKA, Bw. Irinei Kiria akiwasilisha mada kuhusu sekta ya afya wakati wa mkutano wa...
5 years ago
MichuziJAFO APONGEZA KAZI KUBWA INAYOFANYWA NA DC JOKATE KATIKA SEKTA YA ELIMU NA AFYA KISARAWE
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi Mhe Seleman Jafo amesema kukamilika kwa mradi wa maji wa Wilaya ya Kisarawe ulioigharimu Serikali kiasi cha zaidi ya Sh Bilioni 10, kutazidi kukuza maendeleo ya wilaya hiyo ambayo kwa kipindi cha hivi karibuni imeshuhudiwa ikipiga hatua kubwa kupitia sekta za elimu pamoja na afya.
Akizungumza wakati akifungua kongamano la ‘Mama lishe’ lililowakutanisha mama lishe mbalimbali wilayani humo, Waziri Jafo pia alitumia nafasi hiyo kumpongeza Mkuu wa Wilaya...
Akizungumza wakati akifungua kongamano la ‘Mama lishe’ lililowakutanisha mama lishe mbalimbali wilayani humo, Waziri Jafo pia alitumia nafasi hiyo kumpongeza Mkuu wa Wilaya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania