Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wana-CCM Micheweni wamtaka Dk Salmin

WANACHAMA na wakereketwa wa CCM Wilaya ya Micheweni wamekiomba Chama Cha Mapinduzi kumpeleka Rais mstaafu wa Awamu ya Tano Zanzibar, Dk Salmin Amour Juma `Komandoo’ kisiwani Pemba ili akafungue maskani waliyoijenga na kuipa jina lake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AFANYA MKUTANO NA WANA CCM WA KIJIJI CHA KWALE WILAYA YA MICHEWENI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Kwale Wilaya ya Micheweni wakati alipowasili kuzungumza nao.Balozi Seif akizungumza na Wananchi na Wana
CCM wa Kijiji cha Kwale Wilaya ya Micheweni akitekeleza ahadi aliyotoa kwa Wazee Waasisi wa Kijiji hicho ya kufika kusalimiana nao.

Baadhi ya Wananchi na wana CCM wa Kijiji cha Kwale wakifuatilia Hotuba ya Balozi Seif hayupo pichani alipofika Kjijini hapo kusalimiana nao.Balozi Seif akiwa Mjumbe...

 

10 years ago

Dewji Blog

Viongozi wauwaga mwili wa marehemu Salmin Awadh Salmin Baraza la Wawakilishi

DSC_0157

Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Edward Lowassa akiingia katika ukumbi wa baraza la wawakilishi kuuwaga mwili wa aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Marehemu Salmin Awadh Salmin aliefariki ghafla jana. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

DSC_0176

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na Makamu wa Pili wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakiingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  kuuwaga mwili wa Marehemu Salimn Awadh.

DSC_0201

Mwili wa Marehemu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Bernard Membe ahani msiba wa marehemu Salmin Awadh Salmin mjini Unguja

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akimpa mkono wa pole Bi. Mwaka Mohamed ambaye ni mjane wa aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM), marehemu Salmin Awadh Salmin aliyefariki mapema Februari mwaka huu, wakati alipokwenda kuhani msiba nyumbani kwake, Mkoa wa Mjini Unguja, Zanzibar.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akitoa mkono kwa familia ya aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM), marehemu Salmin Awadh...

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI MBALI MBALI WAUWAGA MWILI WA MAREHEMU SALMIN AWADH SALMIN BARAZA LA WAWAKILISHI,ZANZIBAR LEO

Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Edward Lowasa akiingia katika ukumbi wa baraza la wawakilishi kuuwaga mwili wa aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Marehemu Salmin Awadh Salmin aliefariki ghafla jana.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na Makamu wa Pili wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakiingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kuuwaga mwili wa Marehemu Salimn Awadh.Mwili wa Marehemu Salmin Awadh ukiingizwa katika Ukumbi wa Baraza la...

 

10 years ago

Michuzi

DKT.SHEIN, DKT. BILAL WAONGOZA MAZISHI YA MWAKILISHI WA JIMBO LA MAGOMENI SALMIN AWADHI SALMIN, MAKUNDUCHI ZANZIBAR

Baadhi ya Viongozi wa juu wa Serikali, wakiwa ni miongoni mwa waliohudhuria maziko ya aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Mjini Zanzibar, marehemu Salmin Awadh Salmin, huko Makunduchi mjini Zanzibar. Marehemu Salmin amezikwa leo Feb, 20, 2015 kijijini kwake Makunduchi Zanzibar.Rais wa Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, akiweka udongo katika kaburi la marehemu Salmin Awadh Salmin, wakati wa shughuli za maziko yake zilizofanyika katika kijiji cha Makunduchi mjini Zanzibar jana Feb, 2015.

 

9 years ago

Michuzi

MAZISHI YA ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA MICHEWENI PEMBA ND.JABU KHAMIS MTWANA YALIYOFANYIKA JANA KIJINI KWAO WILAYA YA MICHEWENI

 Jeneza lililobeba mwili wa marehemu.
 Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akishiriki katika mazishi ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Micheweni Pemba.

 

10 years ago

Vijimambo

Hii Ndiyo Shughuli ya Lowassa Kesho.. Je! Hao Wana CCM Wengine Wanaotarajia Kutangaza nia Wana Nguvu ya Kutosha?


Hii ndiyo shughuli ya Lowassa kesho.. Uwanja wa Sheikh Amri Abeid utatapika kesho ...Je! Hao wana CCM wengine wanaotarajia kutangaza nia wana nguvu ya kutosha? Makongoro, Wasira, Membe, Mwigulu... Mkombozi wenu ni CHIMWAGA (NEC) tu..

 

9 years ago

Vijimambo

DK. SHEIN AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA MICHEWENI

1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wanachama wa CCM na Wananchi wa Jimbo la Micheweni Wilaya ya Micheweni Mkoa wa kaskazini Pemba katika Mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu pamoja na kuwaombea kura Mgombea Urais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania na Mgombea Mwenza,pia wakiwemo wagombea Ubunge,Uwakilishi na Udiwani. Picha zote na Ikulu.6Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamu Mwenyekiti wa CCM...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani