Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCC kudhamini miradi ya umeme mkoani Singida

Mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Ikungi, Bwana Muhammad Nkya akiongea na wataalamu waelekezi wa masuala ya mazingira na jinsia, kutoka kampuni ya CH2M HILL ya Marekani Bi. Cinamon Vann na Bwana Piercarlo Smith (kushoto) walipokuwa mkoani Singida kwa ajili ya upembuzi yakinifu wa miradi ya umeme inayotarajiwa kufadhiliwa na shirika la changamoto za millennia (MCC), makubaliano ya ufadhili wa utekelezaji wa miradi hiyo kwa Tanzania yanatarajiwa kufanyika mwezi Septemba 2015. Mshauri...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TUME YA MIPANGO YATEMBELEA MIRADI WA UMEME WA UPEPO SINGIDA

 Meneja wa Mradi, Mhandisi. Pascal Malesa akiwaonesha timu ya ukaguzi eneo linalokusudiwa kwa ajili ya mradi wa umeme wa upepo nje kidogo ya mji wa Singida, mbele yake ni kiongozi wa timu hiyo Mhandisi. Happiness Mgalula, ambaye ni Naibu Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango. Meneja wa Mradi, Mha. Pascal Malesa akiwaonesha timu ya ukaguzi eneo linalokusudiwa kwa ajili ya mradi wa umeme wa upepo nje kidogo ya mji wa Singida.  Mhandisi Malesa akitoa maelezo juu ya utendaji kazi wa...

 

9 years ago

Michuzi

MRATIBU WA UN NCHINI ZIARANI MKOANI SINGIDA KUKAGUA MIRADI YA SHIRIKA HILO

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Parseko Kone alipomtembelea na kufanya mazungumzo ofisini kwake jana mjini Singida.
Na Modewjiblog team, Singida
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Parseko Kone ofisini kwake kwa ajili ya kubadilishana uzoefu wa utekelezaji...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MUHONGO AANZA ZIARA YA SIKU 6 MKOANI MARA KUTEMBELEA MIRADI YA UMEME

Waziri wa Nishati na Madini akiulizia utekelezaji wa umeme katika kijiji cha Kamgendi katika siku yake ya kwanza ya siku 6 za ziara katika Wilaya zote za Mkoa wa MaraMeneja wa TANESCO mkoani Mara, Henry Byabato (kulia) akifafanua usambazaji wa umeme vijijini katika mkoa huoWananchi wakimsikiliza

 

9 years ago

Dewji Blog

Umeme wa upepo mbioni Mkoani Singida, mradi mkubwa utakaonufaisha Taifa

IMG_6596

Makamu wa Rais wa jamhuri ya muungano Tanzania, Dk.Mohammed Ghalib Bilal,akizindua mradi wa kufua umeme wa upepo unaotekelezwa na kampuni ya Wind East Africa katika eneo la kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida.

IMG_6602

Makamu wa rais wa jamhuri ya muungano Tanzania,Dk.Mohammed Ghalib Bilal,akipanda mti ikiwa ni kwa ajili ya kumbukumbu ya uzindua wa mradi wa kufua umeme wa upepo unaotekelezwa na kampuni ya Wind East Africa katika eneo la kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida.

IMG_6605

Afisa mwandamizi wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mratibu wa UN nchini, Alvaro Rodriguez ziarani Mkoani Singida kukagua miradi ya shirika hilo

IMG_4020

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Parseko Kone alipomtembelea na kufanya mazungumzo ofisini kwake jana mjini Singida.

Na Modewjiblog team, Singida

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Parseko Kone ofisini kwake kwa ajili ya kubadilishana uzoefu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Mafanikio ya Miradi ya barabara inayofadhiliwa na MCC Ruvuma

Mafanikio ya Miradi ya barabara inayofadhiliwa na Watu wa Marekani kupitia Millennium Challenge Corporation (MCC) mkoani Ruvuma

 

9 years ago

Dewji Blog

BREAKING NEWS: Serikali yatoa tamko juu ya mabilioni ya fedha za miradi ya MCC

5a

Kamishna Mkuu wa bajeti kutoka Wizara ya Fedha na Uchumi, Johnny Cheyo (Picha ya Maktaba).

Na Rabi Hume, Modewjiblog

[DAR ES SALAAM] Kufuatia suala la Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) wa Marekani kuonya juu ya hali ya kisiasa Zanzibar na matukio mengine yanayotokea hapa nchini huku ikielezwa kuwa inaweza kuathiri vigezo vya kuiwezesha Tanzania kupata msaada huo, Mapema leo Serikali ya Tanzania kupitia Wizara yake ya Fedha na Uchumi mbele ya waandishi wa habari, wamewatoa hofu watanzania...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana amaliza ziara yake Mkoani Singida kwa kuzuru Singida Vijijini

1. Mbunge wa Singida Mashariki Lazaro Nyalandu akimlaki Kinana wakati wa mapokezi katika kata ya Msisi, Singida Vijijini,  en

Mbunge wa Singida Mashariki Lazaro Nyalandu akimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakati wa mapokezi ya kiongozi huyo wa Chama,  katika kata ya Msisi, Singida Vijijini, jana Mei 26, 2014.

2. Kinana akivishwa mgolole  Kijiji cha Msisi kabla ya kufungua Ofisi ya CCM ya Jumuia ya Wazazi katika Kata hiyo, Singida Vijijini

Wanachama wa Jumuia ya Wazazi Kata ya Msisi wakimvalisha mgolole Kianana kabla ya kufungua tawi la Wazazi la Kata hiyo.

3. Kinana akifungua Ofisi ya CCM ya Jumuia ya Wazazi katika Kata ya Msisi, Singida Vijijini

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua tawi la Jumuia ya Wazazi Kata ya Msisi, wilaya ya Singiga Vijijini.

4. Kinana na Nyalandu wakishiriki kuvuna mtama shamba la mfano la mtama Kata ya  Mtinko

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishiriki kuvuna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani