Kinana amaliza ziara yake Mkoani Singida kwa kuzuru Singida Vijijini
Mbunge wa Singida Mashariki Lazaro Nyalandu akimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakati wa mapokezi ya kiongozi huyo wa Chama, katika kata ya Msisi, Singida Vijijini, jana Mei 26, 2014.
Wanachama wa Jumuia ya Wazazi Kata ya Msisi wakimvalisha mgolole Kianana kabla ya kufungua tawi la Wazazi la Kata hiyo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua tawi la Jumuia ya Wazazi Kata ya Msisi, wilaya ya Singiga Vijijini.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishiriki kuvuna...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,KINANA AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU NANE MKOANI SINGIDA,KESHO KUELEKEA MKOANI MANYARA
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahutubia Wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Msange,kata ya Msange,Singida Vijijini mkoani Singida. Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikad,siasa na Uenezi Nape Nnauye,leo wanahitimisha siku nane za ziara yao ya Kukagua kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Chama,kukagua maandalizi ya uchaguzi ya serikali za mitaa,kusikiliza kero za wananchi na kuzitafututia ufumbuzi.Kinana...
11 years ago
MichuziKINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI TABORA,ALA CHAKULA CHA MAMALISHE KUWAUNGA MKONO,AHITIMISHA ZIARA YAKE KWA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA/
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Stendi Kuu ya Zamani mjini Tabora, baada ya kumaliza ziara yake ya siku 11 katika mkoa huo, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM, kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi
Wakazi wa Mji wa Tabora Mjini wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye...
10 years ago
VijimamboKINANA AMALIZA ZIARA YAKE MTWARA VIJIJINI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi waliojitokeza kumpokea wakati akiwasili wilaya ya Mtwara kijijini. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Mtwara vijijini ,Katibu Mkuu wa CCM anazunguka nchi nzima kufuatilia utekelezaji wa ilani na kuimarisha chama chetu. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akisisitiza wananchi wa kata ya Nanyamba kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa...
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE YA SIKU NANE MKOANI SINGIDA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa ofisi za CCM kata ya Ighombwe ambapo aliwahimiza viongozi wa CCM kujenga ofisi zenye uwezo wa kutoa msaada wa kijamii ikiwa pamoja na elimu za ujasiliamali .
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana (haoenekani pichani) akizungumza na Wananchi baada ya kushiriki ujenzi wa Zahanati,kata ya Sepuka wilayani Ikungi
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Sepuka Wilayani Ikungi,jimbo la Singida Magharibi,na...
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI MKOANI SINGIDA KUANZA ZIARA YAKE SIKU NANE
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana, akisalimiana na Mbunge wa Singida Magharibi, Lazaro Nyalandu, wakati wa mapokezi yake baada ya kuwasli mpakani mwa Tabora na Singida, mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto), akisaidiwa na Mbunge wa Manyoni Magharibi, Paul Luanje, kuwapa mafundi bati waliokuwa...
10 years ago
VijimamboKINANA AMALIZA ZIARA YAKE YA KIHISTORIA MKOANI KAGERA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Biharamulo mjini.
Katibu Mkuuu wa CCM Abdulrahman Kinana amehitimisha ziara yake ya ya siku 10 ya kukagua,kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika mkoa wa Kagera kwa mafanikio makubwa.
Katika ziara hiyo Kinana amemaliza ziara hiyo leo Julai 14, 2015, baada ya kutembea jumla ya kilometa 3374, akiwa ametembelea majimbo yote tisa katika wilaya zote nane za mkoa huo.
Ziara hiyo imeonyesha kuwa...
Katibu Mkuuu wa CCM Abdulrahman Kinana amehitimisha ziara yake ya ya siku 10 ya kukagua,kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika mkoa wa Kagera kwa mafanikio makubwa.
Katika ziara hiyo Kinana amemaliza ziara hiyo leo Julai 14, 2015, baada ya kutembea jumla ya kilometa 3374, akiwa ametembelea majimbo yote tisa katika wilaya zote nane za mkoa huo.
Ziara hiyo imeonyesha kuwa...
11 years ago
MichuziKINANA AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU TANO MKOANI KIGOMA,AHUTUBIA HUKU MVUA KUBWA IKINYESHA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Kigoma mjini bila kujali mvua,ambapo alisisitiza kuwa CCM itatekeleza kila walichoahidi.
Kila mtu alijikinga na mvua kwenye uwanja wa Mwanga Community Centre
Viti vikitumika kujikinga na mvua iliyokuwa inanyesha wakati wa mkutano wa CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Mwanga Community Centre wilaya ya Kigoma mjini.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (wa kwanza...
10 years ago
MichuziDKT JOHN POMBE MAGUFULI AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOANI SINGIDA
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mkandarasi pamoja na Mhandisi Mshauri wa barabara ya Manyoni-Itigi-Chaya yenye jumla ya km 89.3 inayojengwa kwa kiwango cha lami. Mradi huu utakapokamilika na kupokelewa na Serikali Mkandarasi atakaa site miaka mitatu kwa ajili ya uangalizi na kufanya marekebisho yoyote yatakayojitokeza kwa gharama zake mwenyewe. . Sehemu ya barabara ya Manyoni-Itigi-Chaya yenye jumla ya km 89.3 inayojengwa kwa kiwango cha lami. Barabara hii...
10 years ago
VijimamboKINANA AMALIZA ZIARA KOROGWE VIJIJINI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishona nguo kwenye ofisi ya Veronica Simba (kushoto) iliyopo Mombo Sokoni,kulia ni Mbunge wa Korogwe Vijijini Ndugu Stephen Ngonyani ,Katibu Mkuu alikuwa kwenye ziara ya siku moja katika wilaya ya Korogwe Vijijini ambapo licha ya kukagua miradi mbali mbali ya ujenzi wa maabara na ofisi za CCM alipata nafasi ya kuwahutubia wananchi na kuwasikiliza .
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimuelekeza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania