Rais Magufuli aongoza Watanzania kufanya usafi
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
RAIS Dk. John Magufuli jana aliwaongoza Watanzania kote nchini kutumia siku ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru wa Tanganyika kufanya usafi katika maeneo ya soko la Feri jijini Dar es Salaam.
Akiwahutubia wananchi wakiwamo wavuvi alioshirikiana nao katika kazi ya kufanya usafi, Dk. Magufuli aliwashukuru kwa kujitokeza na kusema kwamba hiyo ni chachu kwa wananchi wengine kujitolea kufanya usafi katika maeneo wanayoishi.
“Ni aibu kwa nchi yetu ya Tanzania...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Magufuli aongoza Watanzania kufanya usafi
9 years ago
MichuziMKOA WA DODOMA WAANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI LA KUFANYA USAFI SIKU YA UHURU 9 DISEMBA, 2015
Uongozi wa Mkoa umeamua kuanza mapema zoezi la ufanyaji usafi pasipo kusubiri tarehe 9 Disemba na umepanga kuwa zoezi hilo litakuwa endelevu...
9 years ago
Michuzi
Airtel waunga mkono tamko la Rais Dkt.Magufuli la kufanya usafi kama siku ya maadhimisho ya miaka 54 ya uhuru wa Tanzania




9 years ago
CHADEMA Blog
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Mchechu aongoza wafanyakazi wake kufanya usafi katika majengo ya NHC
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiongoza kwa vitendo zoezi la kufanya usafi katika majengo ya NHC na maeneo yanayozunguka barabara za Ali Hassan Mwinyi, Alikhan, Barak Obama na Magore UPANGA jijini Dar es Salaam leo. Menejimenti ya NHC imeamua kuwa kufanya usafi kwenye majengo ya Shirika ili kuonyesha kwa vitendo utekelezaji wa agizo la Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli wa kuitumia Sikukuu ya Uhuru na Jamhuri...
9 years ago
Dewji Blog15 Nov
MODEWJIBLOG: Watanzania tuache kufanya kazi kwa Mazoea, Rais Dk.Magufuli tembelea na huku!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli alipotembelea kwa mara ya kwanza Wizara ya Fedha, safari ambayo ilikuwa ni ya ghafla.
Na. Andrew Chale, Modewjiblog
[TANZANIA] Kwa sasa kila zungumzo la Mtanzania ni juu ya safari za kushtukiza za Rais wa awamu ya tano, Mh. Rais Dk. John Pombe Magufuli ambaye ameacha gumzo kwa kuanza kwa kishindo na dhana yake ya ‘Hapa Kazi Tu’!.. Kwa kutuonjesha tu, ametembelea Wizara ya Fedha safari ya kushtukiza na kuamsha hali ya utendaji wa...
10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AONGOZA WATANZANIA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO
9 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI NA WANANCHI WA ENEO LAKE KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA, MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki kuzoa taka na baadhi ya wananchi wakazi wa eneo lake la Oysterbay- Karume Raod, wakati wa zoezi la kufanya usafi wa mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania kama alivyoagiza Mhe Rais Dkt. John Pombe Magufuli, ambapo zoezi hilo limefanyika nchini kote hii leo.

9 years ago
MillardAyo26 Dec
Agizo la Rais Magufuli linatiliwa mkazo, Songea leo ni usafi tu mwanzo mwisho.. (+Picha)
Rais John Pombe Magufuli aliagiza December 9 2015 iwe siku ya usafi nchi nzima, na agizo likatekelezwa kama ilivyoagizwa. Lakini viongozi wa ngazi mbalimbali wengine walijipangia kwamba kila baada ya muda fulani ufanyike usafi kwenye maeneo mbalimbali… mmoja wa walioagiza hivyo ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Thabit Mwambungu nae aliagiza kwamba usafi ufanyike mara […]
The post Agizo la Rais Magufuli linatiliwa mkazo, Songea leo ni usafi tu mwanzo mwisho.. (+Picha) appeared first on...