Agizo la Rais Magufuli linatiliwa mkazo, Songea leo ni usafi tu mwanzo mwisho.. (+Picha)
Rais John Pombe Magufuli aliagiza December 9 2015 iwe siku ya usafi nchi nzima, na agizo likatekelezwa kama ilivyoagizwa. Lakini viongozi wa ngazi mbalimbali wengine walijipangia kwamba kila baada ya muda fulani ufanyike usafi kwenye maeneo mbalimbali… mmoja wa walioagiza hivyo ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Thabit Mwambungu nae aliagiza kwamba usafi ufanyike mara […]
The post Agizo la Rais Magufuli linatiliwa mkazo, Songea leo ni usafi tu mwanzo mwisho.. (+Picha) appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Songea hawana utani na agizo la usafi wa Rais Magufuli.. ukichafua mji wao hawakuachii !!.. (+Audio)
Stori ya aina yake ilitoka Tanzania December 09 2015, sherehe ya uhuru ikaadhimishwa kwa kufanywa usafi kila kona.. lilikuwa agizo la Rais Magufuli na yeye pamoja na viongozi wote wa juu wa Serikali walishiriki kwa 100% kuhakikisha agizo linatekelezwa. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akajiongeza hatua moja mbele, akasema usafi ni kila Jumamosi ya mwisho […]
The post Songea hawana utani na agizo la usafi wa Rais Magufuli.. ukichafua mji wao hawakuachii !!.. (+Audio) appeared first on...
9 years ago
MichuziMKOA WA DODOMA WAANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI LA KUFANYA USAFI SIKU YA UHURU 9 DISEMBA, 2015
Uongozi wa Mkoa umeamua kuanza mapema zoezi la ufanyaji usafi pasipo kusubiri tarehe 9 Disemba na umepanga kuwa zoezi hilo litakuwa endelevu...
9 years ago
Habarileo12 Nov
Magufuli kuishangilia Stars mwanzo mwisho
RAIS wa Awamu ya Tano nchini, Dk John Magufuli anatarajiwa kuwa mmoja wa mashabiki watakaoipa nguvu timu ya soka ya taifa ya Tanzania `Taifa Stars’ katika mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia Urusi 2018 dhidi ya Algeria kwenye Uwanja wa Taifa keshokutwa Jumamosi.
11 years ago
Mwananchi09 Mar
Yanga: Tutashambulia mwanzo mwisho leo
9 years ago
MichuziKOMBE AMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWA KUWAPATIA JAMBO LEO FAGIO ZA USAFI SIKUKUU YA UHURU
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Rais MAGUFULI alivyokutana na Maalim Seif leo Dec.21,2015 ikulu…Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli leo Desemba 21,2015 amekutana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Maalim Seif Ikulu Dar es salaam na kufanya naye Mazungumzo kuhusu hali ya kisiasa visiwani humo. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka […]
The post Rais MAGUFULI alivyokutana na Maalim Seif leo Dec.21,2015 ikulu…Picha appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Mtanzania18 Dec
CAG akiuka agizo la Rais Magufuli
*Adaiwa kutumia Sh milioni 15 kwa siku tatu
Na Masyaga Matinyi
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Juma Assad, amekiuka agizo la Rais Dk. John Magufuli, baada kusafiri nje ya nchi bila kibali cha Ikulu.
Vyanzo vya habari kutoka ofisini kwake, vimedai kuwa CAG aliondoka nchini Jumamosi (Desemba 12, 2015) kwenda jijini Nairobi, Kenya na kurejea nchini Jumanne wiki hii.
Taarifa hizo, zimesema CAG alikwenda kutoa mhadhara katika Chuo Kikuu cha Nairobi, kazi ambayo...
9 years ago
MichuziNHC WATEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Wafanyakazi wa kituo cha mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege jijini Dar Es Salaam watekeleza agizo la Rais kwa kufanya usafi
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Brown Francis akishiriki kufanya usafi katika kituo hicho ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dk.John Magufuli kuwa maadhimisho ya Siku ya Uhuru 2015 yatumike kwa kufanya usafi nchini kote.
Meneja wa Kituo hicho, Shadrack Mwamaso naye akishiriki kufanya usafi.
Hapa usafi ukiendelea.
Hapa ni kazi usafi ukifanyika.
Ni kama anaongea ‘Ngoja nikazitupe taka taka hizi eneo...