Mchechu aongoza wafanyakazi wake kufanya usafi katika majengo ya NHC
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiongoza kwa vitendo zoezi la kufanya usafi katika majengo ya NHC na maeneo yanayozunguka barabara za Ali Hassan Mwinyi, Alikhan, Barak Obama na Magore UPANGA jijini Dar es Salaam leo. Menejimenti ya NHC imeamua kuwa kufanya usafi kwenye majengo ya Shirika ili kuonyesha kwa vitendo utekelezaji wa agizo la Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli wa kuitumia Sikukuu ya Uhuru na Jamhuri...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Magufuli aongoza Watanzania kufanya usafi
9 years ago
CHADEMA Blog9 years ago
Mtanzania10 Dec
Rais Magufuli aongoza Watanzania kufanya usafi
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
RAIS Dk. John Magufuli jana aliwaongoza Watanzania kote nchini kutumia siku ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru wa Tanganyika kufanya usafi katika maeneo ya soko la Feri jijini Dar es Salaam.
Akiwahutubia wananchi wakiwamo wavuvi alioshirikiana nao katika kazi ya kufanya usafi, Dk. Magufuli aliwashukuru kwa kujitokeza na kusema kwamba hiyo ni chachu kwa wananchi wengine kujitolea kufanya usafi katika maeneo wanayoishi.
“Ni aibu kwa nchi yetu ya Tanzania...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Mchechu akingiwa kifua NHC
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC), limesema bado Mkurugenzi wake, Nehemia Mchechu na menejimenti yake wana mikataba halali ambayo haijamalizika muda wake kama inavyodaiwa na mitandao mbalimbali ya kijamii. Kauli...
11 years ago
Habarileo24 Jul
NHC wakanusha mgogoro wa Bodi na mtendaji Mchechu
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limekanusha madai kwamba Bodi yake mpya ya Wakurugenzi ipo kwenye mgogoro na Mkurugenzi wa shirika hilo, Nehemia Mchechu.
9 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB MOSHI WAJITOKEZA KATIKA ZOEZI LA USAFI.
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Wafanyakazi wa Zanlink Zanzibar wajumuika katika usafi eneo lao la kazi
Wafanyakazi wa Kampuni ya Zanlink Zanzibar wakiitikia wito wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wakishiriki katika zoezi la Usafi wa Mazingira katika sehemu yao ya Kazi kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru.
Mfanyakazi wa Zanlink Zanzibar akishiriki katika Zoezi la Usafi kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania Bara imeadhimishwa Kitaifa kwa Usafi wa mazingira.
Imetayarishwa na Othman Mapara.Blogspot www.zanzinews.com
10 years ago
Michuziwafanyakazi wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena waadhimisha siku ya mazingira kwa kufanya usafi maeneo ya barabara jijini dar
Akiongea mara baada ya zoezi hilo la usafi mkurugenzi mkuu wa masoko wa hoteli hiyo ndugu Seraphin Lusala aliwashukuru wafanyakazi wa hoteli hiyo kwa kushiriki katika zoezi hilo la kufanya usafi wa mazingira ili kuonyesha mfano kwa jamii kwamba uchafuzi wa mazingira haukubaliki na...
9 years ago
MichuziWafanyakazi wa Kujitolea wa Kimarekani kufanya kazi katika sekta ya elimu katika wilaya 31 nchini Tanzania