Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi wa Zanlink Zanzibar wajumuika katika usafi eneo lao la kazi

Wafanyakazi wa Kampuni ya Zanlink Zanzibar wakiitikia wito wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wakishiriki katika zoezi la Usafi wa Mazingira katika sehemu yao ya Kazi kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru. 

Mfanyakazi wa Zanlink Zanzibar akishiriki katika Zoezi la Usafi kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania Bara imeadhimishwa Kitaifa kwa Usafi wa mazingira.

Imetayarishwa na Othman Mapara.Blogspot  www.zanzinews.com

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Waandamana kupinga kuondolewa katika eneo lao

WANANCHI zaidi ya 13,000 wa vijiji vitano wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wameandamana kupinga kuondolewa katika eneo lao ili kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) unaosimamiwa...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB MOSHI WAJITOKEZA KATIKA ZOEZI LA USAFI.

Meneja wa Benki ya NMB tawi la Moshi,Emanuel Kishosha akishiriki na wafanyakazi wenzake katika zoezi la kufanya usafi katika maeneo ya uwanja wa michezo wa King George.  Meneja wa NMB,Emanuel Kishosha akisukuma tololi kuzoa taka. Wafanyakazi wa Benki ya NMB,wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala pamoja na Mbunge wa jimbo la Moshi mjini (kushoto) mara baada ya kumaliza kufanya usafi katika uwanja wa michezo wa King George.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mchechu aongoza wafanyakazi wake kufanya usafi katika majengo ya NHC

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiongoza kwa vitendo zoezi la kufanya usafi katika majengo ya NHC na maeneo yanayozunguka barabara za Ali Hassan Mwinyi, Alikhan, Barak Obama na Magore UPANGA jijini Dar es Salaam leo. Menejimenti ya NHC imeamua kuwa kufanya usafi kwenye majengo ya Shirika ili kuonyesha kwa vitendo utekelezaji wa agizo la Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli wa kuitumia Sikukuu ya Uhuru na Jamhuri...

 

10 years ago

Michuzi

Fiber mpaka NYUMBANI Zanzibar na Zanlink


“Zanlink ambayo sasa inatumia teknolojia ya FIBER, inapenda kuwatangazia kuwa imeanzisha kifurushi cha huduma ya mtandao katika fiber, ambacho kinaitwa “Home Pack”. Huduma ya kifurushi hiki kinapatikana kwa wateja wanaokaa maeneo ya Stone town, Mlandege, Mbweni, Chukwani, Mazizini, Kiembe Samaki na Mombasa. Maeneo mengine yatafuata karibuni

Kifurushi hiki kinapatikana kwa bei nafuu na ni mahususi kwa watumiaji wa majumbani wa huduma ya mtandao (internet), kina spidi ya 512 kbps muda wa mchana...

 

9 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Kujitolea wa Kimarekani kufanya kazi katika sekta ya elimu katika wilaya 31 nchini Tanzania

Dar es Salaam, TANZANIA.  Leo asubuhi, Balozi wa Tanzania nchini Tanzania Mark Childress amewaapisha wafanyakazi wa kujitolewa wa Kimarekani (Peace Corps Volunteers) wapatao 59 ili kuanza huduma yao ya miaka miwili nchini Tanzania. Hafla ya kuwaapisha wafanyakazi hao ilifanyika katika viwanja vya Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Ukaguzi wa Shule ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Edicome Cornel Shirima, Mkurugenzi Mkazi wa...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA KAZI ZANZIBAR KWA KUSHIRIKIANA NA (ILO) YAZINDUA KITABU CHA SHERIA ZA KAZI KATIKA LUGHA NYEPESI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi na Utumishi wa Umma Haroun Ali Suleiman na Mkurugenzi wa (ILO) kanda ya Afrika Aeneas C. Chuma wakizindua kitabu cha sheria za Kazi katika lugha nyepesi, katika Hoteli ya Double Tree Shangani Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi na Utumishi wa Umma Haroun Ali Suleiman akizungumza na wageni waalikwa katika sherehe za Uzinduzi wa kitabu cha sheria za Kazi katika lugha nyepesi katika Hoteli ya Double Tree...

 

10 years ago

Michuzi

OLOLOSOKWAN WAFURAHIA UJIO WA KIJIJI CHA DIGITALI ENEO LAO

DSC_0003
Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa kikundi kazi cha sekta ya Tehama, Al Amin Yusuph akiwasilisha mrejesho wa kazi ya kikundi chake wakati wa kuhitimisha warsha ya wiki moja ikiwa ni sehemu ya mandalizi ya utekelezaji wa mradi wa kijiji cha kidigitali Ololosokwan wilayani Ngorongoro mkoani Arusha.(Picha na zote Zainul Mzige wa modewjiblog)
Na Mwandishi Wetu
WAKAZI wa kijiji cha...

 

10 years ago

Michuzi

shughuli zote za upigaji wa disko katika eneo la Kiwengwa zanzibar marufuku

Na Ali Issa Maelezo-Zanzibar. Waziri wa Habari,Utamaduni , Utalii na Michezo Saidi Ali Mbaruok amepiga marufuku shughuli zote za upigaji wa disko katika eneo la Kiwengwa mpaka pale Serikali ya wilaya itapotoa maelekezo maalumu ya upigaji wa disko hilo kwa utaratibu unaofaa.  Agizo hilo amelitoa huko Kiwengwa Mkoa wa kaskazini “A”wilaya ya kaskazini B Unguja katika Ofisi ya umoja wa maendeleo wa kijiji cha kiwengwa wakati alipokuwa akifanya mazungumzo na wamiliki wa mabaa mikahawa,na kumbi na...

 

10 years ago

GPL

OLOLOSOKWAN WAFURAHIA UJIO WA KIJIJI CHA DIGITALI ENEO LAO‏

Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa kikundi kazi cha sekta ya Tehama, Al Amin Yusuph akiwasilisha mrejesho wa kazi ya kikundi chake wakati wa kuhitimisha warsha ya wiki moja ikiwa ni sehemu ya mandalizi ya utekelezaji wa mradi wa kijiji cha kidigitali Ololosokwan wilayani Ngorongoro mkoani Arusha. Na Mwandishi Wetu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani