Fiber mpaka NYUMBANI Zanzibar na Zanlink
“Zanlink ambayo sasa inatumia teknolojia ya FIBER, inapenda kuwatangazia kuwa imeanzisha kifurushi cha huduma ya mtandao katika fiber, ambacho kinaitwa “Home Pack”. Huduma ya kifurushi hiki kinapatikana kwa wateja wanaokaa maeneo ya Stone town, Mlandege, Mbweni, Chukwani, Mazizini, Kiembe Samaki na Mombasa. Maeneo mengine yatafuata karibuni
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Phys.Org18 Mar
Leap in performance sees hollow-core fiber technology close in on mainstream optical fiber
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Wafanyakazi wa Zanlink Zanzibar wajumuika katika usafi eneo lao la kazi
Wafanyakazi wa Kampuni ya Zanlink Zanzibar wakiitikia wito wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wakishiriki katika zoezi la Usafi wa Mazingira katika sehemu yao ya Kazi kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru.
Mfanyakazi wa Zanlink Zanzibar akishiriki katika Zoezi la Usafi kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania Bara imeadhimishwa Kitaifa kwa Usafi wa mazingira.
Imetayarishwa na Othman Mapara.Blogspot www.zanzinews.com
10 years ago
GPLHALI ILIVYO MPAKA SASA NYUMBANI KWA ALLY CHOKI
9 years ago
Michuzi11 years ago
MichuziZANLINK YAZINDUA UTAMBULISHO WA CHAPA YAKE MPYA
5 years ago
CNET10 Apr
Ancient string shows Neanderthals were into fiber technology, scientists say
10 years ago
VijimamboMWILI WA EDDIE MALCOLM UMEAGWA TAYARI HILI KUSAFIRISHWA NYUMBANI ZANZIBAR TANZANIA
Imamu wa wa msikiti wa Masjid Ihsan Brooklyn, Ny akiongoza sala ya kuuombea mwili wa Eddie pamoja na Watanzania waliojitokeza msikitini hapo.
Ndugu wa marehemu Eddie kutoka Canada, California na Seattle wakiwa mbele ya jeneza kuaga mwili wa ndugu yao.
Bwana Hajji Khamis Mwenyekiti wa New York Tanzania Community akiongea mbele ya Watanzania msikitini hapo, Bwana Hajji alikuwa msitari wa mbele kuakikisha kila kitu kinafanikiwa.
Mhe. Ramadhani Mwinyi Balozi Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania...
10 years ago
Michuzi28 Aug