Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NHC wakanusha mgogoro wa Bodi na mtendaji Mchechu

 Nehemia MchechuSHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limekanusha madai kwamba Bodi yake mpya ya Wakurugenzi ipo kwenye mgogoro na Mkurugenzi wa shirika hilo, Nehemia Mchechu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MHE. OMAR MJENGA AFANYA KIKAO NA MKURUGENZI MKUU NHC BWN. NEHEMIAH MCHECHU NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA UJENZI YA DAMAC, BWN.SONIL VOHOR


Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga, akifanya kikao nyumbani kwake na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), BW. Nehemiah Mchechu na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya ujenzi ya DAMAC ya Dubai, Bw. Sonil Vohor.Kampuni ya DAMAC imekubali kuingia ubia na NHC kwenye ujenzi wa nyumba za makazi na biashara, na hotel za nyota tano na kiwanja cha golf.Mwezi huu Julai tarehe 17, DAMAC walifanya ziara Tanzania kupata taarifa muhimu (fact finding mission). Mwenyekiti wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mchechu akingiwa kifua NHC

SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC), limesema bado Mkurugenzi wake, Nehemia Mchechu na menejimenti yake wana mikataba halali ambayo haijamalizika muda wake kama inavyodaiwa na mitandao mbalimbali ya kijamii. Kauli...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kasi ya Utekelezaji miradi ya NHC Mtwara yamhamasisha Mkurugenzi wa Bodi ya NHC

Mkurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo akielekeza jambo wakati wa ziara yake aliyoifanya kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu Masasi, mkoani Mtwara ambapo pamoja na mambo mengine amesifu kasi ya ujezi wa nyumba hizo unaozingatia viwango na muda na akawataka wafanyakazi wa NHC kuchapa kazi ili kufikia malengo yao waliyojiwekea. Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha wa NHC, Felix Maagi, wa pili ni Eliaisa Keenja wa NHC, Meneja wa NHC mkoa wa Mtwara, Joseph John na Injinia...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mchechu aongoza wafanyakazi wake kufanya usafi katika majengo ya NHC

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiongoza kwa vitendo zoezi la kufanya usafi katika majengo ya NHC na maeneo yanayozunguka barabara za Ali Hassan Mwinyi, Alikhan, Barak Obama na Magore UPANGA jijini Dar es Salaam leo. Menejimenti ya NHC imeamua kuwa kufanya usafi kwenye majengo ya Shirika ili kuonyesha kwa vitendo utekelezaji wa agizo la Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli wa kuitumia Sikukuu ya Uhuru na Jamhuri...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu atembelea miradi Geita na Mwanza

New Picture (37)

Msimamizi wa mradi wa nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na NHC Bombambili Geita Bw, Julius Ntoga (kulia) akitoa maelezo ya mradi huo kwa ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu alipotembelea mradi huo jana. Mradi huo wenye nyumba 48 ni wa nyumba za kuuza na unakamilika Februari mwaka huu.

New Picture (38)

Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC ukitembelea nyumba za gharama nafuu zilizojengwa eneo la Bombambili, Geita kwa ajili ya kuuzia wananchi.

New Picture (39)

Sehemu ya nyumba za gharama nafuu zilizojengwa...

 

11 years ago

Michuzi

NDG. Nehemia Mchechu nyie mwenyekiti mpya wa Bodi ya SBL

Kampuni ya Serengeti Breweries Limited ( SBL ) leo inatangaza utuezi wa Ndg. Nehemia Mchechu kama Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya SBL. Uteuzi wa Ndg. Mchechu unafuata ukamilisho wa umiliki wa Mhe. Jaji (mstaafu) Mark Bomani . Katika nafasi yake mpya , Bw Mchechu pia atakukwa memba ya bodi ya kampuni ya bia ya East Africa.
Ndugu Nehemia Mchechu kwa sasa ni Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Nyumba la Taifa( NHC) . Bw. Mchechu anauzoefu mkubwa katika masuala ya fedha na usimamizi....

 

10 years ago

Michuzi

Ziara ya Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC mikoani

New Picture (4) Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu wakikagua eneo lililotengwa kwa ajili ya NHC kujenga nyumba za gharama nafuukatika Halmashauri ya Wilaya Serengeti-Mugumu. Eneo hili lina ekari 134 na miundombinu ya maji na umeme.New Picture (5) Afisa Mipango Miji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mugumu Serengeti akimuonyesha Mkurugenzi Mkuu wa NHC ramani ya mpango Miji inayoonyesha eneo la NHC la kujenga nyumba za gharama nafuu.New Picture (6)Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akiongea na...

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA MKURUGENZI MTENDAJI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA NHC MIKOANI‏

Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu wakikagua eneo lililotengwa kwa ajili ya NHC kujenga nyumba za gharama nafuukatika Halmashauri ya Wilaya Serengeti-Mugumu. Eneo hili lina ekari 134 na miundombinu ya maji na umeme. Afisa Mipango Miji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mugumu Serengeti akimuonyesha Mkurugenzi Mkuu wa NHC ramani ya mpango Miji inayoonyesha eneo la NHC la kujenga nyumba za gharama...

 

11 years ago

Michuzi

Ziara ya NHC na wakurugenzi wa Bodi Singapore

IMG_8978 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi Mh. George Simbachawene akiwa na wajumbe wa Bodi ya NHC na Watendaji wa NHC walipotembelea mji wa Bunggol wenye nyumba za wananchi (social housing estates) nchini Singapore kama sehemu ya ziara ya mafunzo.(Picha na Muungano Saguya-NHC) IMG_9018 Ujumbe wa Tanzania ukielezwa namna mji wa Singapore ulivyopangwa kulingana na matumizi mbalimbali ulipotembelea Mamlaka ya Uendelezaji Miji ya Singapore(URA) jana. IMG_9034 Ujumbe wa Naibu Waziri wa Ardhi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani