Magufuli aongoza Watanzania kufanya usafi
Raia nchini Tanzania wameungana na maafisa wa serikali kuitikia wito wa Rais John Magufuli wa kutumia Siku ya Uhuru kufanya usafi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania10 Dec
Rais Magufuli aongoza Watanzania kufanya usafi
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
RAIS Dk. John Magufuli jana aliwaongoza Watanzania kote nchini kutumia siku ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru wa Tanganyika kufanya usafi katika maeneo ya soko la Feri jijini Dar es Salaam.
Akiwahutubia wananchi wakiwamo wavuvi alioshirikiana nao katika kazi ya kufanya usafi, Dk. Magufuli aliwashukuru kwa kujitokeza na kusema kwamba hiyo ni chachu kwa wananchi wengine kujitolea kufanya usafi katika maeneo wanayoishi.
“Ni aibu kwa nchi yetu ya Tanzania...
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://4.bp.blogspot.com/-jfe2sdAw0C4/VmjZCHojsUI/AAAAAAAAXZ0/JwBH_-B768w/s72-c/2015-12-09%2B09.16.28.jpg)
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Mchechu aongoza wafanyakazi wake kufanya usafi katika majengo ya NHC
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiongoza kwa vitendo zoezi la kufanya usafi katika majengo ya NHC na maeneo yanayozunguka barabara za Ali Hassan Mwinyi, Alikhan, Barak Obama na Magore UPANGA jijini Dar es Salaam leo. Menejimenti ya NHC imeamua kuwa kufanya usafi kwenye majengo ya Shirika ili kuonyesha kwa vitendo utekelezaji wa agizo la Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli wa kuitumia Sikukuu ya Uhuru na Jamhuri...
9 years ago
MichuziMKOA WA DODOMA WAANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI LA KUFANYA USAFI SIKU YA UHURU 9 DISEMBA, 2015
Uongozi wa Mkoa umeamua kuanza mapema zoezi la ufanyaji usafi pasipo kusubiri tarehe 9 Disemba na umepanga kuwa zoezi hilo litakuwa endelevu...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-cx5c2ozjKXA/VmkdQ4GGzNI/AAAAAAAILUE/Pt-9aAb-ZPQ/s72-c/PICT%2B1.jpg)
Airtel waunga mkono tamko la Rais Dkt.Magufuli la kufanya usafi kama siku ya maadhimisho ya miaka 54 ya uhuru wa Tanzania
![](http://3.bp.blogspot.com/-cx5c2ozjKXA/VmkdQ4GGzNI/AAAAAAAILUE/Pt-9aAb-ZPQ/s640/PICT%2B1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-3ChLWGU5C00/VmkdQ6lhWvI/AAAAAAAILUA/qCqtFoEBANU/s640/PICT%2B2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-hsvWf774w14/VmkdRJbbAeI/AAAAAAAILUI/V2Ar_9G480g/s640/PICT%2B3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-GGtpUQ8JsXw/VmkdSo0z_tI/AAAAAAAILUY/085WMn6DFMc/s640/PICT%2B4.jpg)
9 years ago
Dewji Blog15 Nov
MODEWJIBLOG: Watanzania tuache kufanya kazi kwa Mazoea, Rais Dk.Magufuli tembelea na huku!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli alipotembelea kwa mara ya kwanza Wizara ya Fedha, safari ambayo ilikuwa ni ya ghafla.
Na. Andrew Chale, Modewjiblog
[TANZANIA] Kwa sasa kila zungumzo la Mtanzania ni juu ya safari za kushtukiza za Rais wa awamu ya tano, Mh. Rais Dk. John Pombe Magufuli ambaye ameacha gumzo kwa kuanza kwa kishindo na dhana yake ya ‘Hapa Kazi Tu’!.. Kwa kutuonjesha tu, ametembelea Wizara ya Fedha safari ya kushtukiza na kuamsha hali ya utendaji wa...
9 years ago
Mwananchi08 Dec
Wanawake wamuunga mkono JPM kufanya usafi
10 years ago
MichuziBALOZI WA AFRIKA KUSINI ASHIRIKI KUFANYA USAFI MHIMBILI
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/_2NsQvxpgXk/default.jpg)