Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAHAWA YAWAKOMBOA WANANCHI WA TARIME

Na Jonas Kamaleki- MAELEZO, Tarime

Kahawa ni moja ya mazao ya kimkakati zao ambalo limebadili maisha ya wakazi wa Tarime, Mkoa wa Mara kwa kuwaongezea kipato hivyo kuwaletea maendeleo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Tarime, Apoo Castro Tindwa akizungumza na maafisa wa Idara ya Habari (MAELEZO) katika mahojiano maalum amesema juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano za kufufua zao la kahawa zimewanufaisha wananchi wa Tarime.

“Zao la kahawa limeibuka upya kupitia Serikali ya Awamu ya Tano...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wananchi waunga mkono kampuni kununua kahawa

WANANCHI wa Wilaya wa Ngara, mkoani Kagera wameiomba Serikali kuendelea kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Kampuni ya Arab Globe International wilayani humo, kununua na kusindika kahawa ya unga kwani imekuwa msaada mkubwa kwao.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WANANCHI WA CHATO KATIKA KIJIWE CHA KAHAWA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ambaye leo tarehe 28 Machi, 2020 amewasili nyumbani kwake Chato Mkoani Geita akitokea Mkoani Dodoma amekutana na wananchi wenzake wa Chato katika kijiwe cha Kahawa na soko la maboga na kuwapongeza kwa juhudi za kujitafutia kipato.

Mhe. Rais Magufuli ameonekana akifurahia kukutana na wananchi wenzake huku wakinywa kahawa pamoja na amewatembelea akina Mama wanaouza maboga na kununua maboga hayo kwa ajili ya chakula chake cha...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wananchi washiriki ukarabati wa barabara Halmashauri ya Mji wa Tarime!!

Baadhi ya Wananchi wa Mtaa wa Chira Kata ya Kenyamanyoro katika Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara wakishiriki zoezi la ukarabati mdogo wa barabara ya Muturu (Remaghinga) iliyopo Mtaa wa Buguti Kata ya Rebu ambayo inayotegemewa na Wakazi Kata zote mbili za Kenyamanyori na Rebu hatika halmashauri hiyo. Na:George Binagi-GB Pazzo @Binagi Media Group   Zoezi hilo limefanyika leo Januari 02,2016 ambapo wananchi hao walikuwa wakifanya ukarabati wa kujaza moramu katika maeneo...

 

9 years ago

Vijimambo

WANANCHI WA KIJIJI CHA KENYAMANYORI WILAYANI TARIME WANASTAHILI PONGEZI.

Na:George Binagi-GB Pazzo
Ni ukweli usiopingika kuwa uongozi wa kijiji hicho pamoja na wananchi wake ambao asilimia kubwa ni wakulima, wanastahili pongezi kwani wazo lao la kujenga shule ya sekondari ni wazo bora na limewasaidia watoto wa kijiji hicho na wale wanaotoka vijiji jirani kupata elimu karibu zaidi hivyo ni vyema wakaendelea kushirikiana na serikali pamoja na wahisani wengi katika kuhakikisha kwamba wanaiboresha zaidi shule hiyo ili iweze kuwa mkombozi kwa ajili ya watoto wao...

 

10 years ago

Michuzi

BODI YA KAHAWA NCHINI(TCB) YAZINDUA MTAALA ENDELEVU WA KITAIFA JUU YA ZAO LA KAHAWA NCHINI

Mkurugenzi mkuu wa Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB) Adolf Kumburu akitoa neno wakati wa uzinduzi wa mtaala endelevu wa kitaifa juu ya zao la Kahawa ,uzinduzi uliofanyika katika ukumbi wa mikutano ya Bodi ya TCB.Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB) Alhaj Dk Juma Ngasongwa akichangia wakati wa uzinduzi wa mtaala endelevu wa kitaifa juu ya zao la Kahawa.Mwakilishi wa Cafe Africa nchini Tanzania ,Catherine Mwangata akifafanua jambo wakati akiwasilisha mtaala endelevu wa...

 

10 years ago

Michuzi

MONDAY, DECEMBER 1, 2014 BODI YA KAHAWA NCHINI(TCB) YAZINDUA MTAALA ENDELEVU WA KITAIFA JUU YA ZAO LA KAHAWA NCHINI

Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB) Alhaj Dk Juma Ngasongwa akichangia wakati wa uzinduzi wa mtaala endelevu wa kitaifa juu ya zao la Kahawa.Mkurugenzi mkuu wa Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB) Adolf Kumburu akitoa neno wakati wa uzinduzi wa mtaala endelevu wa kitaifa juu ya zao la Kahawa ,uzinduzi uliofanyika katika ukumbi wa mikutano ya Bodi ya TCB.Mwakilishi wa Cafe Africa nchini Tanzania ,Catherine Mwangata akifafanua jambo wakati akiwasilisha mtaala endelevu wa...

 

5 years ago

Michuzi

TADB yamwaga billion 7.7 kwa vyama vya ushirika vya wakulima wa kahawa (KCU na KDCU) Kagera katika msimu wa kahawa 2020/21.

Kutoka Kushoto aliyeshika kipaza sauti ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mh. Brig. Gaguti, akifuatiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mh. Rashid Mwaimu, Mkuu wa wilaya ya Karagwe Mh. Godfrey Muheruka, Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Japhet Justine na mwenyekiti wa chama cha KDCU LTD Anselemi Alphonce.

Mapema leo (9 Juni 2020), TADB kwa kuongozwa na Mkurgenzi Mtendaji, Japhet Justine, wameshiriki katika ufunguzi wa msimu mpya wa kahawa 2020/21 uliofunguliwa na RC Kagera Mh. Brig. Gaguti wilayani Kyerwa....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani