Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WANANCHI WA CHATO KATIKA KIJIWE CHA KAHAWA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ambaye leo tarehe 28 Machi, 2020 amewasili nyumbani kwake Chato Mkoani Geita akitokea Mkoani Dodoma amekutana na wananchi wenzake wa Chato katika kijiwe cha Kahawa na soko la maboga na kuwapongeza kwa juhudi za kujitafutia kipato.

Mhe. Rais Magufuli ameonekana akifurahia kukutana na wananchi wenzake huku wakinywa kahawa pamoja na amewatembelea akina Mama wanaouza maboga na kununua maboga hayo kwa ajili ya chakula chake cha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

LIVE ;RAIS MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI MKOANI SINGIDA AKITOKEA CHATO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 20 may 2020 akizungumza na Wananchi wa Maeneo mbalimbali waliokuwepo njiani wakimsubiri alipokuwa akipita akitokea Chato Mkoani Geita akielekea Jijini Dodoma.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGUFULI AHUDHURIA MAHAFALI YA KUMI YA KIDATO CHA SITA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA CHATO, AAHIDI MAJENGO YA KAMBI YA MKANDARASI KUWA MALI YA SHULE YA MAGUFULI

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mkoani Geita, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza wanafunzi wa kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Chato wanaotarajiwa kuhitimu masomo yao mwezi ujao. Wanafunzi wa kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Chato Mkoani Geita wanaotarajiwa kuhitimu masomo yao mwezi ujao wakiimba wimbo maalum wa Shule hiyo katika Mahafali ya 10 shuleni hapo.

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mheshimiwa Dkt....

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGUFULI AHUDHURIA MAHAFALI YA KUMI YA KIDATO CHA SITA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA CHATO

Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi cheti mwanafunzi mmojawapo katika mahafali hayo.Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kazi ya uchanaji wa mbao katika Shule ya Sekondari Chato. Mbao hizo hutumika katika kazi mbalimbali za ujenzi wa shule hiyo. Pia Dkt. Magufuli ameichangia shule hiyo kiasi cha Shilingi Milioni tano.Waziri Magufuli akikagua moja ya computer...

 

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli atoa salamu baada ya kusali Ibada ya Jumapili katika Kanisa la KKKT Usharika wa Chato

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Ibada ya Jumapili ya Tano baada ya Pasaka katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Chato mkoani Geita leo tarehe 17 Mei 2020.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Chato mkoani Geita leo tarehe 17 Mei 2020 mara...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Magufuli akutana na Watendaji wa CCM jimbo la Chato

Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Chato,Mh. John Pombe Magufuli (aliesimama) akizungumza na Watendaji mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi (CCM) waliochaguliwa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hivi karibuni kwenye Jimbo hilo,wakati alipokutana nao kwa lengo la kuwapongeza kwa kuaminiwa na kuchaliwa na wananchi. Sehemu ya Watendaji mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Chato waliochaguliwa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hivi karibuni,wakimsikiliza Mh. Magufuli...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Magufuli akutana na baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato

Na Richard Bagolele,Chato
Mbunge wa jimbo la Chato na waziri wa Ujenzi Mhe. Dk. John Pombe Magufuli leo amekutana na baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato kwenye ukumbi wa Halamshauri na kutoa zaidi ya Shilingi Milioni 80 za mfuko wa Jimbo kwa kila kata kwa style mpya ambapo kila diwani ametaja mahitaji yake na kupewa kiasi hicho kwa ajili ya kukamilisha miradi yenye nguvu za wa wananchi.
Tofauti na miaka mingine ambapo fedha hizo zimekuwa zikitolewa na kamati maalumu...

 

10 years ago

Vijimambo

Chadema wamtaka Magufuli asiwabague wananchi Chato

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtaka Mbunge wa Chato (CCM), Dk. John Magufuli (pichani), kuacha kuwabagua wananchi wa jimbo hilo kutokana na kuwachagua wenyeweviti na wajumbe wa Chadema kupitia Ukawa katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Desemba 14, mwaka jana.

Chadema walitoa tahadhari hiyo baada ya Dk. Magufuli ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi, hivi karibuni kudai atapeleka fedha za Mfuko wa Jimbo katika vijiji na vitongoji walivyoshinda wagombea wa CCM...

 

9 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MAKAMU MWENYEKITI WA CHAMA TAWALA CHA CHINA


po2
Rais Dkt.John Pombe Magufuli akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala Cha China Mhe.Zhang Ping ikulu jijini Dar es Salaam .Bwana Zhang alimwakilisha Rais wa China katika sherehe za kuapishwa Rais wa Awamu ya Tano(picha na Freddy Maro). 
po3
Rais Dkt.John Pombe Magufuli akipiga picha  na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala Cha China Mhe.Zhang Ping ikulu jijini Dar es Salaam .Bwana Zhang alimwakilisha Rais wa China katika sherehe za...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AWASILI CHATO

Rais John  Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Ndege Chato Mkoa wa Geita leo Jumamosi akitokea jijini Dodoma.





 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani