Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema wamtaka Magufuli asiwabague wananchi Chato

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtaka Mbunge wa Chato (CCM), Dk. John Magufuli (pichani), kuacha kuwabagua wananchi wa jimbo hilo kutokana na kuwachagua wenyeweviti na wajumbe wa Chadema kupitia Ukawa katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Desemba 14, mwaka jana.

Chadema walitoa tahadhari hiyo baada ya Dk. Magufuli ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi, hivi karibuni kudai atapeleka fedha za Mfuko wa Jimbo katika vijiji na vitongoji walivyoshinda wagombea wa CCM...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WANANCHI WA CHATO KATIKA KIJIWE CHA KAHAWA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ambaye leo tarehe 28 Machi, 2020 amewasili nyumbani kwake Chato Mkoani Geita akitokea Mkoani Dodoma amekutana na wananchi wenzake wa Chato katika kijiwe cha Kahawa na soko la maboga na kuwapongeza kwa juhudi za kujitafutia kipato.

Mhe. Rais Magufuli ameonekana akifurahia kukutana na wananchi wenzake huku wakinywa kahawa pamoja na amewatembelea akina Mama wanaouza maboga na kununua maboga hayo kwa ajili ya chakula chake cha...

 

5 years ago

CCM Blog

LIVE ;RAIS MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI MKOANI SINGIDA AKITOKEA CHATO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 20 may 2020 akizungumza na Wananchi wa Maeneo mbalimbali waliokuwepo njiani wakimsubiri alipokuwa akipita akitokea Chato Mkoani Geita akielekea Jijini Dodoma.

 

11 years ago

Michuzi

MAGUFULI AISAMABARATISHA CHADEMA KATA YA ILYAMCHELE WILAYA YA CHATO, 400 WAHAMIA CCM

Waziri wa Ujenzi  Dkt John Pombe Magufuli leo amekivuruga Chama cha CHADEMA Kata ya Ilyamchele Wilaya ya Chato inayoongozwa na Diwani wa CHADEMA. Akiwa katika mkutano wa kawaida wa kichama ameweza kusomba wanachama 400 wa CAHDEMA ambapo kadi za CCM ziliisha ikabidi wanachama wengine wapya wasubiri kadi zingine zitakazoletwa kesho. Dkt John Pombe Magufuli akigawa kadi za CCM kwa waliokuwa wana CHADEMA Mamia ya wananchi waliojitokeza kumuona Dkt John Pombe Magufuli Dkt John Pombe...

 

10 years ago

Michuzi

MAGUFULI ATIKISA JIMBONI KWAKE CHATO,WANANCHI WAIBUA SHANGWE KILA KONA YA MJI


  Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwaaga Wananchi wa Chato waliojitokeza kwa wingi kumlaki,mara baada ya kumaliza kujitambulisha na kuwashukuru kwa kiasi kikubwa kwa kuchaguliwa kwake katika nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chake kuwania nafasi ya Urais .
  Mbunge wa Chato na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa mji huo waliojitokeza kwa wingi kumlaki,mara baada ya kuwasili leo jioni mjini humo...

 

10 years ago

Vijimambo

DKT JOHN POMBE MAGUFULI ATIKISA JIMBONI KWAKE CHATO,WANANCHI WAIBUA SHANGWE KILA KONA YA MJI

  Mbunge wa Chato na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa mji huo waliojitokeza kwa wingi kumlaki,mara baada ya kuwasili leo jioni mjini humo akitokea mkoani Mwanza ambako nako alipita kujitambulisha na kuwashukuru wakazi wa jiji hilo ambao nao walijitokeza kwa wingi. Kufuatia ujio wa Dkt Magufuli ndani ya mji wa Chato kuliibuka shamra shamra za mapokezi zilizokuwa zikirindima kila pande wakifurahia uteuzi wa CCM kwa Dkt Magufuli.   ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi waipongeza CRDB Chato

WANANCHI  wa wilaya ya Chato, mkoani Geita wamepongeza huduma bora zinayotolewa na Benki ya CRDB katika wilaya hiyo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana, wananchi hao walisema CRDB inazidi kukua na...

 

9 years ago

Mwananchi

Wamtaka Magufuli atimize ahadi zake

Mchungaji wa Kanisa la AIC Kalangalala la Geita Mjini mkoani hapa, limeitaka Serikali mpya inayoingia madarakani itimize ahadi zote walizozitoa kwa wananachi.

 

9 years ago

Habarileo

Vyama vya siasa, wasomi wamtaka Magufuli

SHIRIKISHO la Vyama vya Siasa nje ya Ukawa Mkoa wa Mbeya na Mtandao wa Wasomi na Wanataaluma vimetangaza rasmi kumuunga mkono Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli.

 

9 years ago

Dewji Blog

TNRF wamtaka Magufuli adhibiti upotevu wa maliasili nchini

Mwenyekiti wa Jumuiko la Maliasili nchini (TNRF) ,Dr.Suma Kaare akizungumza katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii. (Picha na Gadiola Emmanuel).

Mkurugenzi wa Shirika la Haki kazi Catalyst Alais Moridant akifafanua jambo  katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka Wizara ya Maliasili na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani