Wamtaka Magufuli atimize ahadi zake
Mchungaji wa Kanisa la AIC Kalangalala la Geita Mjini mkoani hapa, limeitaka Serikali mpya inayoingia madarakani itimize ahadi zote walizozitoa kwa wananachi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV06 Nov
Wakazi wa Manyara wamshauri Dk. Magufuli kutozitekeleza kwa pupa ahadi zake
Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Manyara wamemshauri rais mpya wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dokta JohnMagufuli kutofuata mashinikizo ya baadhi ya watu ya kumtaka atekeleza ahadi zake kwa pupa.
Wamesema kuwa shinikizo la kutaka atekeleze ahadi zake haraka haraka inaweza kusabisha baadhi ya ahadi hizo kutekelezwa kwa ubora usiostahili.
Wakazi hao wa mkoa wa Manyara wametoa kauli hiyo leo mara baada ya dokta John Magufuli kuapishwa kuwa rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Askofu mkuu wa...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Mnyika: JK atekeleze ahadi zake
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA) amemtaka Rais Jakaya Kikwete kuhakikisha anatimiza ahadi anazozitoa mbele ya wananchi, ikiwemo kuonana na mbunge huyo ili kushughulikia matatizo ya maji yanayolikumba jimbo la...
10 years ago
Vijimambo12 Jan
Chadema wamtaka Magufuli asiwabague wananchi Chato
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Magufulii(14)(1).jpg)
Chadema walitoa tahadhari hiyo baada ya Dk. Magufuli ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi, hivi karibuni kudai atapeleka fedha za Mfuko wa Jimbo katika vijiji na vitongoji walivyoshinda wagombea wa CCM...
9 years ago
Habarileo23 Oct
Vyama vya siasa, wasomi wamtaka Magufuli
SHIRIKISHO la Vyama vya Siasa nje ya Ukawa Mkoa wa Mbeya na Mtandao wa Wasomi na Wanataaluma vimetangaza rasmi kumuunga mkono Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli.
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Wakulima wadogo wamtaka Magufuli kuwekeza katika kilimo
9 years ago
Raia Mwema02 Dec
Mbarali wamtaka Rais Magufuli kulirejesha shamba la Kapunga
WANANCHI katika Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wanasubiri kurudishwa kwa Shamba la Kapunga serika
Felix Mwakyembe
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
TNRF wamtaka Magufuli adhibiti upotevu wa maliasili nchini
![](http://1.bp.blogspot.com/-htanzXIY0vw/VjyeltXc2aI/AAAAAAAAIHU/KM0gehGnKCo/s640/A%2B1.jpg)
Mwenyekiti wa Jumuiko la Maliasili nchini (TNRF) ,Dr.Suma Kaare akizungumza katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii. (Picha na Gadiola Emmanuel).
![](http://1.bp.blogspot.com/-7N2SXzy6Wjw/Vjyem7mC_CI/AAAAAAAAIHs/TtA-aB6GRQA/s640/A%2B2.jpg)
Mkurugenzi wa Shirika la Haki kazi Catalyst Alais Moridant akifafanua jambo katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka Wizara ya Maliasili na...
10 years ago
Mtanzania23 May
Serikali yatakiwa kukiri kushindwa kutekeleza ahadi zake
Na Debora Sanja, Dodoma
MBUNGE wa Ole, Rajab Mbarouk Mohamed (CUF), ameitaka Serikali kukiri kushindwa kutekeleza ahadi za Rais Jakaya Kikwete kwa kuwa muda wa utekelezaji wake umekwisha.
Akiuliza swali la nyongeza bungeni jana, alisema kitendo cha Serikali kushindwa kukamilisha ahadi ya Kikwete ya kujenga barabara ya kilomita 2.5 ya Singano kwa Mkocho hadi Kivinje ni dalili ya kushindwa kwa Serikali hiyo.
“Kwanini Serikali hii ya CCM sasa isiwathibitishie wananchi kwamba imeshindwa...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-htanzXIY0vw/VjyeltXc2aI/AAAAAAAAIHU/KM0gehGnKCo/s72-c/A%2B1.jpg)
TNRF WAMTAKA RAIS MAGUFULI ADHIBITI UPOTEVU WA MALIASILI NCHINI
Mwenyekiti wa Jumuiko la Maliasili nchini Dr.Suma Kaare amemtaka Raisi John Pombe Magufuli adhibiti upotevu wa mali asili za wanyama pori na misitu uliokithiri katika maeneo mengi nchini ili kunusuru uhai wa maliasili.
Suma Kaare amesema hayo katika mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili unaoendelea jijini Arusha,Kaare amesema kuwa jukwaa hilo litashirikiana na Rais huyo katika kuhakikisha kuwa maliasili zinalindwa na kuwanufaisha Watanzania...