TNRF WAMTAKA RAIS MAGUFULI ADHIBITI UPOTEVU WA MALIASILI NCHINI
![](http://1.bp.blogspot.com/-htanzXIY0vw/VjyeltXc2aI/AAAAAAAAIHU/KM0gehGnKCo/s72-c/A%2B1.jpg)
Na Ferdinand Shayo wa Wazalendo 25 Blog ,Arusha.
Mwenyekiti wa Jumuiko la Maliasili nchini Dr.Suma Kaare amemtaka Raisi John Pombe Magufuli adhibiti upotevu wa mali asili za wanyama pori na misitu uliokithiri katika maeneo mengi nchini ili kunusuru uhai wa maliasili.
Suma Kaare amesema hayo katika mkutano wa 7 wa jumuiko la maliasili unaoendelea jijini Arusha,Kaare amesema kuwa jukwaa hilo litashirikiana na Rais huyo katika kuhakikisha kuwa maliasili zinalindwa na kuwanufaisha Watanzania...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
TNRF wamtaka Magufuli adhibiti upotevu wa maliasili nchini
![](http://1.bp.blogspot.com/-htanzXIY0vw/VjyeltXc2aI/AAAAAAAAIHU/KM0gehGnKCo/s640/A%2B1.jpg)
Mwenyekiti wa Jumuiko la Maliasili nchini (TNRF) ,Dr.Suma Kaare akizungumza katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii. (Picha na Gadiola Emmanuel).
![](http://1.bp.blogspot.com/-7N2SXzy6Wjw/Vjyem7mC_CI/AAAAAAAAIHs/TtA-aB6GRQA/s640/A%2B2.jpg)
Mkurugenzi wa Shirika la Haki kazi Catalyst Alais Moridant akifafanua jambo katika mkutano wa 7 wa jumuiko hilo uliofanyika jijini Arusha na kuhudhuriwa na mashirika binafsi pamoja na wawakilishi kutoka Wizara ya Maliasili na...
9 years ago
Raia Mwema02 Dec
Mbarali wamtaka Rais Magufuli kulirejesha shamba la Kapunga
WANANCHI katika Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya wanasubiri kurudishwa kwa Shamba la Kapunga serika
Felix Mwakyembe
10 years ago
Habarileo30 Mar
Wataka Rais ajaye adhibiti ufisadi
WAKATI joto la Urais likishika kasi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, wananchi wa Tanzania wameonesha kumtaka rais ambaye atahakikisha anadhibiti rushwa na ufisadi, upatikaji wa ajira na elimu bora nchini.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-GBviTye4gMo/VlcXH4cbmDI/AAAAAAAAABw/vEIx6JjZ5uM/s72-c/IMG_1452.jpg)
WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAFANYA MKUTANO NA WADAU WA SEKTA YA MALIASILI NCHINI KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA HIYO
![](http://3.bp.blogspot.com/-GBviTye4gMo/VlcXH4cbmDI/AAAAAAAAABw/vEIx6JjZ5uM/s640/IMG_1452.jpg)
5 years ago
Bongo514 Feb
Rais Magufuli aamuru madaktari 258 walioomba kufanya kazi nchini Kenya waajiriwe nchini mara 1
Mnamo tarehe 18 Machi 2017 Ujumbe wa Serikali ya Kenya ukiongozwa na Waziri wa Afya Dkt. Cleopa Mailu uliwasili nchini ambapo ulikutana na Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dhumuni la mkutano huo ulikua kuomba kuajiri, kwa Mkataba, Madaktari wa Tanzania mia tano (500), ili kupunguza uhaba wa Madaktari nchini Kenya.
Mheshimiwa Rais JPM, alikubali ombi hilo.
Mnamo tarehe 18 Machi, 2017, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...
9 years ago
Mwananchi03 Nov
Wamtaka Magufuli atimize ahadi zake
9 years ago
Habarileo23 Oct
Vyama vya siasa, wasomi wamtaka Magufuli
SHIRIKISHO la Vyama vya Siasa nje ya Ukawa Mkoa wa Mbeya na Mtandao wa Wasomi na Wanataaluma vimetangaza rasmi kumuunga mkono Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli.
10 years ago
Vijimambo12 Jan
Chadema wamtaka Magufuli asiwabague wananchi Chato
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Magufulii(14)(1).jpg)
Chadema walitoa tahadhari hiyo baada ya Dk. Magufuli ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi, hivi karibuni kudai atapeleka fedha za Mfuko wa Jimbo katika vijiji na vitongoji walivyoshinda wagombea wa CCM...
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Wakulima wadogo wamtaka Magufuli kuwekeza katika kilimo