DKT JOHN POMBE MAGUFULI ATIKISA JIMBONI KWAKE CHATO,WANANCHI WAIBUA SHANGWE KILA KONA YA MJI
Mbunge wa Chato na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa mji huo waliojitokeza kwa wingi kumlaki,mara baada ya kuwasili leo jioni mjini humo akitokea mkoani Mwanza ambako nako alipita kujitambulisha na kuwashukuru wakazi wa jiji hilo ambao nao walijitokeza kwa wingi. Kufuatia ujio wa Dkt Magufuli ndani ya mji wa Chato kuliibuka shamra shamra za mapokezi zilizokuwa zikirindima kila pande wakifurahia uteuzi wa CCM kwa Dkt Magufuli. ...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog20 Jul
Dkt. John Pombe Magufuli atikisa jimboni kwake, wananchi waibua shangwe kila kona ya mji
10 years ago
MichuziMAGUFULI ATIKISA JIMBONI KWAKE CHATO,WANANCHI WAIBUA SHANGWE KILA KONA YA MJI
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwaaga Wananchi wa Chato waliojitokeza kwa wingi kumlaki,mara baada ya kumaliza kujitambulisha na kuwashukuru kwa kiasi kikubwa kwa kuchaguliwa kwake katika nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chake kuwania nafasi ya Urais .
Mbunge wa Chato na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa mji huo waliojitokeza kwa wingi kumlaki,mara baada ya kuwasili leo jioni mjini humo...
9 years ago
MichuziMgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Joseph Magufuli apiga kura chato
10 years ago
MichuziDkt John Pombe Magufuli na Mhe. Samia Suluhu Hassan watua Dar leo, wapokewa kwa shangwe
9 years ago
MichuziDKT John Pombe Joseph Magufuli auteka mji wa kahama keo
9 years ago
VijimamboJK NA DKT JOHN POMBE MAGUFULI WAUTEKA MJI WA MOROGORO KWA MKUTANO WA KIHISTORIA WA KAMPENI
9 years ago
CCM BlogMAGUFULI APIGA KURA JIMBONI KWAKE CHATO
Dk. Magufuli alipiga kura yake asubuhi ya saa 4 na dakika 32.
Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akijitayarisha kuweka kura yake kwenye sanduku la kura .
Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiweka kura yake ya kwanza ya urais kwenye sanduku la kura.
Mgombea Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli...
9 years ago
Dewji Blog25 Oct
Dk. Magufuli apiga kura jimboni kwake Chato
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli akipiga kura yake jimboni kwake Chato mapema leo asubuhi Oktoba 25, 2015.(PICHA NA MWANDISHI WETU).
11 years ago
MichuziMH. MAGUFULI AENDELEA NA ZIARA JIMBONI KWAKE CHATO