Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LIVE ;RAIS MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI MKOANI SINGIDA AKITOKEA CHATO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 20 may 2020 akizungumza na Wananchi wa Maeneo mbalimbali waliokuwepo njiani wakimsubiri alipokuwa akipita akitokea Chato Mkoani Geita akielekea Jijini Dodoma.

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

PICHA MBALIMBALI ZIKIONESHA RAIS MAGUFULI ALIPOWASI CHATO MKOANI GEITA AKITOKEA DODOMA.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Machi, 2020 amewasili Chato Mkoani Geita akitokea Mkoani Dodoma.

Mhe. Rais Magufuli ametua katika uwanja wa ndege wa Chato na kisha kuelekea nyumbani kwake katika kitongoji cha Lubambangwe, Kijiji cha Mlimani Wilayani Chato.





 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DKT. MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI MBALIMBALI

NGALIA LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI MBALIMBALI   

 

9 years ago

Dewji Blog

Magufuli aendelea na kampeni zake mkoani Singida, leo kuunguruma Singida mjini LIVE

 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiombewa Dua na mmoja wa kiongozi wa dini mara baada ya kusimamishwa na Wananchi wa kijiji cha Puma (hawapo pichani), alipokuwa akielekea mkoani Singida mara baada ya kumaliza mkutano wake wa hadhara wa kampeni.
PICHA NA MICHUZI JR-SINGIDA.  Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimshukuru kiongozi huyo wa dini kwa kujitolea kumuombea Dua ya heri na afya njema katika nafasi yake ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOANI SINGIDA,KESHO KUUNGURUMA SINGIDA MJINI LIVE

 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiombewa Dua na mmoja wa kiongozi wa dini mara baada ya kusimamishwa na Wananchi wa kijiji cha Puma (hawapo pichani),alipokuwa akielekea mkoani Singida mara baada ya kumaliza mkutano wake wa hadhara wa kampeni Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimshukuru kiongozi huyo wa dini kwa kujitolea kumuombea Dua ya heri na afya njema katika nafasi yake ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea wa urais wa Jamhuri ya ...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WANANCHI WA CHATO KATIKA KIJIWE CHA KAHAWA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ambaye leo tarehe 28 Machi, 2020 amewasili nyumbani kwake Chato Mkoani Geita akitokea Mkoani Dodoma amekutana na wananchi wenzake wa Chato katika kijiwe cha Kahawa na soko la maboga na kuwapongeza kwa juhudi za kujitafutia kipato.

Mhe. Rais Magufuli ameonekana akifurahia kukutana na wananchi wenzake huku wakinywa kahawa pamoja na amewatembelea akina Mama wanaouza maboga na kununua maboga hayo kwa ajili ya chakula chake cha...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA IJUMAA KUU KANISA LA MTAKATIFU YOHANA- MARIA MZEYI PAROKIA YA MLIMANI CHATO MKOANI GEITA.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana-Maria Mzeyi Parokia ya Mlimani Chato mkoani Geita leo tarehe 10/04/2020.Padre Innocent Sanga akiongoza Ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana-Maria Mzeyi Parokia...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AMUAPISHA KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA. CHATO MKOANI GEITA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Prof. Mabula Daudi Mchembe kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto . Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Aprili 22, 2020.Prof. Mabula Daudi Mchembe akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Hafla iliyofanyika Wilayani...

 

9 years ago

Dewji Blog

BAKWATA Mkoani Singida wapongeza utendaji wa Rais Dk. Magufuli aliyoanza nayo!

bakwataa

Katibu BAKWATA mkoa wa Singida,Alhaj Burhan Mlau,akiwa ofisini kwake akitekeleza majukumu yake jana.Picha na Nathaniel Limu.

Na Nathaniel Limu

[SINGIDA]

Aina ya kasi ya utendaji kazi aliyoanza nayo rais Dk.John Pombe Magufuli,imeendelea kuwakuna Watanzania wengi  kila kona ya nchi,wakiwemo viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini.

Katibu wa BAKWATA mkoa wa Singida,Alhaj Burhan Mlau,amesema kutokana na utendaji ulioonyeshwa na Dk.Magufuli kwa muda mfupi,ana imani kubwa kwamba utendaji huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani