Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AKINA MAMA WAJASIRIAMALI KUTOKA MWALO WA SOTA RORYA MKOANI MARA WAPAZA SAUTI ZAO.

Akina mama wajasiriamali kutoka Wilayani Rorya ambapo kulia ni bi.Winfrida Joseph akiwa pamoja na bi.Magreth Steven. 
Na:George Binagi-GB PazzoAKINAMAMA wajasiriamali katika Kijiji cha Sota, Kata ya Tai iliyopo Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, wamewaomba wagombea watakaobahatika kuingia madarakani katika uongozi wa awamu ijayo, kuwakumbuka kwa kuwawezesha mitaji yenye riba na mashariti nafuu ili kuendeleza shughuli zao.


Walitoa ombi hilo wakati wakizungumza na Mtandao wa BMG (Binagi Media Group),...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MWENGE WA UHURU WATEKETEZA SHAHENA YA BANGI WILAYANI RORYA MKOANI MARA.


OCD wa Jeshi la Polisi Utegi wilayani Rorya (JINA LITAKUJIA HIVI PUNDE), amesema mapambano dhidi ya biashara na kilimo cha bangi wilayani Tarime, moja ya changamoto zake kubwa ni biashara hiyo haramu kufadhiliwa na wafanyabiashara wakubwa toka nchini Kenya.

OCD aliyasema hayo hivi karibuni, wakati alipokuwa akisimamia uteketezwaji wa kiasi cha tani moja za bangi, zoezi lililofanyika katika eneo maalum la uwanja wa Kituo cha Polisi Utegi. “Bangi inayolimwa Tarime na Rorya inasemekana...

 

11 years ago

Michuzi

BAISKELI MKOMBOZI WA USAFIRI KWA AKINA MAMA WENGI WA NZEGA MKOANI TABORA.

Akinana Mama wa Nzega wakiwa na usafiri wao wa baiskeli wakienda kwenye shughuli zao,kama waoenekanavyo pichani mara baada ya kunaswa na Globu ya Jamii wilayani humo.Akina mama wengi wilayani humo hutumia chombo hicho (baiskeli) kama sehemu yao ya usafiri.

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON: Mganga mkuu Uingereza aonya siha ya akina mama inavyotuathiri sote

Mganga mkuu Uingereza, Profesa Sally Davies, (mwanamke) ,  amesisitiza umuhimu wa afya ya akina mama kwa taifa zima. Katika waraka aliouchapisha siku chache zilizopita-  kubadili kabisa mustakabal wa wanawake -Profesa Sally Davies alitaja mambo sita kisera na kiserikali. Mganga huyu aliye kati ya wanawake wachache wenye nguvu sana Uingereza ( kufuatana na kura ya Radio BBC 4, mwaka juzi), kitaaluma hushughulika na  maradhi ya damu, yaani “haematology”...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mama Samia akutana na Wanawake wa UWT, Walemavu na Wajasiriamali mkoa wa Dar kujua changamoto zao

Mgombea Mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan (kushoto), akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wanachama wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Wajasiriamali pamoja na wanachama kutoka Shirikisho la Vyama vya Wenye Ulemavu (Shivyawata), baada ya kupokea changamoto zao Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam jana.

Mwenyekiti wa UWT Taifa, Sophia Simba akizungumza katika mkutano huo.

Mmoja wa viongozi kutoka Shirikisho la Vyama vya Wenye...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA AKUTANA NA WANAWAKE WA UWT, WALEMAVU NA WAJASIRIAMALI MKOA WA DAR ES SALAAM KUJUA CHANGAMOTO ZAO

 Mgombea Mwenza wa nafasi ya urais kupitia  Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan (kushoto), akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wanachama wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Wajasiriamali pamoja na wanachama kutoka Shirikisho la Vyama vya Wenye Ulemavu (Shivyawata), baada ya kupokea changamoto zao Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam leo. Mwenyekiti wa UWT Taifa, Sophia Simba akizungumza katika mkutano huo.
 Mmoja wa viongozi kutoka Shirikisho la Vyama vya Wenye Ulemavu...

 

9 years ago

Vijimambo

MAMA SAMIA APIGA KAMPENI SIRARI MKOANI MARA LEO

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Musoma, kuendelea na ziara za mikutano ya kampeni katika mkoa wa Mara leo. (Picha na Bashir Nkoromo).Mgomea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgombea Ubunge jimbo la Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Musoma, kuendelea na ziara za mikutano ya kampeni katika mkoa wa Mara leo  Mgombea Mwenza wa...

 

9 years ago

GPL

MAMA SAMIA APIGA KAMPENI SIRARI MKOANI MARA LEO‏

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Musoma, kuendelea na ziara za mikutano ya kampeni katika mkoa wa Mara leo. Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akifurahia Mcheza Ngoma alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Musoma, kuendelea na ziara za mikutano ya kampeni katika mkoa wa Mara leo. Mgomea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MARA (MARA DAY) BUTIAMA MKOANI MARA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mshumaa katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kama ishara ya Kumbukumbu wakati alipofika katika Jumba la makumbusho Butiama mkoani Mara leo Sept 15, 2015 baadda ya kuadhimisha Kilele cha Siku ya Mara (Mara Day) iliyofanyika Butiama.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la Maua katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa...

 

10 years ago

Michuzi

Mama Tunu Pinda Mgeni rasmi katika Mkutano wa akina mama wa Kitanzania waishio Uingereza

Mama Tunu Pinda alikuwa Mgeni rasmi katika Mkutano cha akina mama wa Kitanzania waishio Uingereza , Kilichoandaliwa na Kikundi cha Umoja wa Wanawake kiitwacho Tanzania Women Association UK (TAWA UK).
Mama Tunu Pinda alihudhuria Mkutano huo kwa mualiko wa mwenyeji wake Mrs Joyce Kallaghe Mke wa Balozi wa Tanzania Uk, Peter Kallaghe.
Mtoa mada aliyeongozana na Mama Tunu , alikuwa ni Mama Anna Matinde , mwanamke Mjasiriamali mahiri na aliyebobea ambaye ana kofia mbalimbali za Uwakilishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani