Alama za 'moko' kutumika mtihani wa taifa
MATOKEO ya Mtihani wa Majaribio (Mock) kwa mtihani wa Kidato cha Nne mwaka huu na Kidato cha Sita mwakani, yatachangia alama 10 za Alama Edelevu (CA). Kwa utaratibu huu, matokeo ya mwisho ya mtahiniwa, yatatokana na asilimia 30 ya Alama Endelevu na asilimia 70 ni mchango wa Alama za Mtihani wa Taifa.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania