ALICHOKISEMA MKURUGENZI TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE PROFESA MOHAMED JANAB KUHUSU HATARI YA UGONJWA WA CORONA NA USHAURI WAKE KWA WATANZANIA
Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii
WAKATI Dunia ikiendelea kupambana na virusi vya Corona( COVID-19) Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Profesa Mohame Janab amewaambia Watanzania kuwa kwasasa kuchukua tahadhari ya kujikinga na ugonjwa huo ni muhimu zaidi kuliko kitu kingine kwa kuepuka mikusanyiko, mikutano,send of na harusi huku akifafanua ugonjwa huo ni hatari na hauwezi kulinganishwa na aina nyingine ya mafua au ugonjwa wowote.
Kupitia taarifa yake ambayo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE WAPEWA MAFUNZO YA MARA KWA MARA KUHUSU UGONJWA WA CORONA (COVID – 19)
Afisa Muuguzi wa chumba cha upasuaji kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Aimana John akiwaelekeza wauguzi wenzake namna sahihi ya kunawa mikono kwa maji safi yanayotiririka na sabuni wakati wa mafunzo ya jinsi ya kupambana na ugonjwa wa Corona (COVID-19) yanayotolewa kwa wafanyakazi wa Taasisi hiyo.Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo...
5 years ago
Michuzi24 Apr
5 years ago
MichuziTAHADHARI KUHUSU WAGONJWA WANAOCHANGISHA FEDHA ZA MATIBABU YA MOYO KWA AJILI YA KUTIBIWA KATIKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)
Uongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) unapenda kuutahadharisha Umma kuwa waangalifu na wagonjwa wanaochangisha fedha kwa ajili ya kutibiwa katika Taasisi hii. Ndugu Mwananchi, inawezekana wagonjwa hao wanaochangisha fedha za matibabu wanakuwa tayari wamepata msamaha wa matibabu kutoka kwa Taasisi au wasamaria wema...
5 years ago
MichuziTaasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kuwahudumia wagonjwa wenye matatizo ya moyo yanayohitaji matibabu ya kibingwa walioko katika kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Corona (COVID – 19) cha Amana jijini Dar
(JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza jambo wakati alipotembelea kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID – 19) cha Amana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuona namna ambavyo madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo watakavyoweza kutoa huduma kwa wagonjwa hao.
Msimamizi wa kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID – 19) Dkt. Stanley Binagi akielezea...
5 years ago
CCM BlogTAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KUWAHUDUMIA WAGONJWA WA MOYO WALIOPATWA NA CORONA
Na Mwandishi maalum – Dar es Salaam24/04/2020 Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) itawahudumia wagonjwa wenye matatizo ya moyo yanayohitaji matibabu ya kibingwa walioko katika kituo cha watu waliopata maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID – 19) cha Amana jijini Dar es Salaam.Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Janabi alipotembelea kituo hicho kwa ajili ya kuona ni namna gani wataalamu wa Taasisi yake wataweza kutoa huduma kwa ...
5 years ago
MichuziBenki ya CRDB yaichangia Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete sh. milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto
5 years ago
Michuzi5 years ago
MichuziTaasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yatoa Zawadi kwa watoto
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimkabidhi mtoto mwenye matatizo ya moyo aliyelazwa katika Taasisi hiyo Elizabeth Omari zawadi ya Pasaka wakati wa ugawaji wa zawadi hizo kwa watoto leo Jijini Dar es Salaam
Maafisa Uuguzi wa wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiongozwa na Mkurugenzi wa Kurugenzi ya huduma ya Uuguzi Robert Mallya kumkabidhi zawadi ya pasaka mama wa mtoto Wilson Willium wakati wa...
5 years ago
MichuziNaibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile awapongeza wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kufanya upasuaji wa kupandikiza mishipa ya damu kwenye moyo (Coronary Artery Bypass Grafting-CABG)
Na John Stephen, WAMJW – Dar es Salaam
07/05/2020 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imewataka wataalamu wa afya kuendelea kutibu watu wenye magonjwa mengine kama vile matatizo ya moyo na figo katika kipindi hiki cha ugonjwa wa Covid-19.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Faustine Ndugulile baada ya kuitembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na kuwaona wagonjwa...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10