Amber Rose na Wiz Khalifa wapost picha mpya za pamoja, mashabiki wawabembeleza warudiane
Mashabiki wa rapper Wik Khalifa na Amber Rose wana hamu ya kuona couple hiyo yenye mtoto mmoja inarudi kuwa pamoja. Amber Rose ameshare picha mpya (selfie) akiwa na baba wa mwanaye, Wiz Khalifa na kuandika ‘Still Ballin’, na upande wa Wiz Khalifa naye amepost picha nyingine akiwa anavuta bangi huku Amber akiwa amekaa pembeni yake. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania01 Apr
Wiz Khalifa, Amber Rose warudiana
BADI MCHOMOLO NA MTANDAO
MWANAMITINDO maarufu nchini Marekani, Amber Rose amejikuta akirudisha moyo kwa baba mtoto wake, Wiz Khalifa, baada ya kuusilikiza wimbo wa msanii huyo uitwao ‘See You Again’.
Taarifa za kurudiana kwao zinaeleza kwamba Amber Rose baada ya kuusikia wimbo huo ukipigwa kwenye filamu ya Furious 7, alionekana mnyonge akakumbuka maisha walipokuwa wawili baada ya hapo alimpigia simu Wiz Khalifa akamuomba warudiane.
“Sisi ni wazazi japokuwa kulikuwa na mgogoro, lakini...
9 years ago
Global Publishers27 Dec
Mtoto awarudisha Amber Rose na Wiz Khalifa
Wiz Khalifa akiwa na aliyekuwa mpenzi wake, Amber Rose.
INAWEZEKANA! Staa wa Hip Hop, Wiz Khalifa pamoja na aliyekuwa mpenzi wake, Amber Rose hivi karibuni walijikuta wakila Sikukuu ya Krismasi kwa pamoja huku sababu kubwa ya kurudiana ikitajwa kuwa ni mtoto wao, Sebastian (4).
Chanzo kilicho karibu na mastaa hao, kinaanika ubuyu kuwa, wawili hao tangu watengane Septemba 2014 kila mmoja amekuwa akila bata kivyake lakini uthibitisho tosha ulijidhihirisha hivi karibuni baada ya Amber kuweka...
9 years ago
Mtanzania28 Dec
Amber Rose, Wiz Khalifa wadumisha upendo
NEW YORK, MAREKANI
BAADA ya penzi la Wiz Khalifa na Amber Rose kuyumba, kwa sasa wawili hao wameonekana kulidumisha penzi hilo kwa kufanya mitoko mbalimbali ya wazi.
Tangu warudi kwenye uhusiano miezi miwili iliyopita, kwa sasa wamekuwa wakiwa pamoja mitaani na mtoto wao kwa ajili ya kulitangaza penzi lao jipya.
“Ni furaha kubwa kuona familia ikiweza kulea mtoto, sikukuu hii tumeweza kutoka na mtoto wetu kwa ajili ya kuonesha upendo, tunaweza kuwa familia ya mfano bora,” aliandika Amber...
9 years ago
Mtanzania18 Dec
Amber Rose, Wiz Khalifa waimarisha penzi lao
LOS ANGELES, MAREKANI
MKALI wa hip hop nchini Marekani, Wiz Khalifa na Amber Rose, wameonekana kuimarisha penzi lao baada ya juzi kukutwa mitaani wakiwa na mtoto wao.
Wawili hao walikuwa na uhusiano wa muda mrefu na kufanikiwa kupata mtoto wa kiume ambaye walimpa jina la Sebastian, lakini Septemba mwaka jana waliachana.
Taarifa zilisambaa kwamba wamerudiana baada ya msanii huyo kuachia wimbo wake mpya wa ‘See You Again’, ambapo wimbo huo ulimfanya mwanadada Amber Rose kushindwa kuzuia hisia...
10 years ago
Bongo525 Oct
Amber Rose: Nampenda, nammiss sana mume wangu (Wiz Khalifa)
10 years ago
Bongo502 Oct
Amber Rose alimfumania Wiz Khalifa kitandani akiwa na wasichana wawili mapacha
10 years ago
Bongo525 Sep
Talaka ya Amber Rose na Wiz Khalifa: Kila mmoja anamshutumu mwenzie kuchepuka
10 years ago
Bongo526 Sep
Amber Rose aamua kujisafisha kwa kukana kumsaliti mumewe Wiz Khalifa
9 years ago
Bongo505 Oct
Nimewasamehe Wiz Khalifa na Kanye West kwa matusi waliyonitukana — Amber Rose