AMSHAAMSHA KABLA YA UZINDUZI WA ALBAMU MPYA YA JAHAZI NDANI YA DAR LIVE
Mwimbaji wa Jahazi Modern Taarab, Mohammed Ally akiimba wimbo 'Kazi Unayo' kabla ya uzinduzi wa albamu mpya iitwayo Chozi la Mama. Mashabiki wa Jahazi wakiburudika kabla ya uzinduzi.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLJAHAZI: UZINDUZI WA ALBAMU MPYA 'CHOZI LA MAMA' WAFANA DAR LIVE USIKU HUU
Meneja wa Jahazi Modern Taarab, Mohamed Rashid Mauji ' Father Mauji' akizindua na shabiki wa Jahazi albamu mpya iitwayo Chozi la Mama. Mwimbaji nyota wa muziki wa taarab nchini, Mzee Yusuph (kulia) akiongea jambo kabla ya uzinduzi akiwa na Aisha Abushiry 'Mama wa madikodiko' (katikati) kutoka pilipili FM ya Kenya.…
11 years ago
GPLBURUDANI ZATAWALA DAR LIVE KABLA YA UZINDUZI WA ALBAMU MPYA 'CHOZI LA MAMA'
Mashabiki wa Jahazi Modern Taarab wakijiachia ndani ya Dar Live usiku huu kabla ya uzinduzi wa albamu mpya 'Chozi la…
11 years ago
GPL11 years ago
GPL11 years ago
GPLUZINDUZI WA ALBAMU LEO: EXTRA BONGOK KUFUNIKA DAR LIVE
...Titi , Super Nyamwela na Sharapova wakionyesha mbwembwe zao kwa wanahabari (hawapo pichani).…
11 years ago
GPL
UZINDUZI WA ALBAMU YA EXTRA BONGO: RED CARPET YA DAR LIVE!
Baadhi ya safu ya wanenguaji mahiri wa kiume wa Extra Bongo. Amini akishoo Love na Linah (kushsoto) pamoja na mwimbaji wake.…
11 years ago
GPLJAHAZI WAKIWASHA MOTO NDANI YA DAR LIVE
Baadhi wa wasanii wa Jahazi Modern Taarab wakitoa burudani kwa mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live katika sikukuu ya Krismasi leo. Mashabiki wakiwa wamepagawa na shoo ya Jahazi.…
11 years ago
GPL26 Feb
LINAH NA AMIN KATIKA UZINDUZI WA ALBAMU YA EXTRA BONGO DAR LIVE
Wasanii Linah na Amin wakipagawisha katika uzinduzi wa albamu ya Extra Bongo 'Mtenda akitendwa' ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala Zakheem jijini Dar Jumamosi iliyopita.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania