Anguko la bei latikisa uchimbaji wa uranium
Wakati Tanzania ikitarajia kuanza kufaidika na madini ya urani, huenda ndoto hiyo isitimie hivi karibuni kutokana na anguko kubwa la bei ya madini hayo katika soko la dunia. Anguko hilo la bei linatokana na mlipuko uliotokea katika mtambo wa nguvu za atomiki wa Daiichi Fukushima, Japan, Machi 2011 na kusababisha bei yake kushuka kwa zaidi ya asilimia 61, ikilinganishwa na ilivyokuwa kabla. Mlipuko kwenye mtambo huo wa nguvu za atomiki ulisababisha Serikali ya Japan kufunga mitambo mingine...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi30 Jul
MADINI: Anguko la bei latikisa uchimbaji wa urani
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Kinana ashuhudia mchimbaji mdogo wa Tanzanite anavyosaidia wenzake kwa kuwauzia kwa bei nafuu vifaa vya uchimbaji madini Mererani
Mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite kwenye machimbo ya Mererani wilayani Simanjiro, Mahmoud Karia (kulia) akimuonyesha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahmahn Kinana vifaa vya kisasa vya uchimbaji madini hayo, ambavyo huviuza kwa wachimbaji wengine kwa gharama nafuu. Karia alipata fursa ya kuonyesha vifaa hivyo Kinana alipomtembelea kwenye eneo la machimbo la mchimbaji huyo mdogo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi mkoani Manyara, mapema...
9 years ago
TheCitizen02 Sep
I will invest in uranium, says Magufuli
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/71640000/jpg/_71640345_71639402.jpg)
UN to check Libya uranium stockpiles
11 years ago
TheCitizen15 Mar
Confusion lingers over uranium find
11 years ago
BBCSwahili20 Jan
Iran inasitisha mradi wa Uranium
9 years ago
TheCitizen21 Oct
Bahi residents up in arms against uranium mining
11 years ago
TheCitizen29 May
Dar not ready for uranium mining: study
11 years ago
TheCitizen14 May
Uranium firm, TZ in Sh1.3bn deal