AROBAINI YA MAREHEMU MZEE ABASS KHALFAN MANG'ULO:
Asalaam aleikum, Kwa niaba ya familia nzima ya Mang'ulo na binti ya marehemu Swalha Kibodya, tunapenda kuwapa taarifa kutakuwa na kisomo cha Arobaini kumrehemu mzee wetu Abass Khalfan Mang'ulo Kisomo hicho kitafanyika siku ya Jumamosi August 22, 2015 katika Masjid Al Baqi 148 Fort Pleasant Avenue, Springfield, Mass kuanzia saa 10 jioni. Ukipata taarifa hii tafadhali wafikishie na wengine. Tunatanguliza shukran. Kwa habari zaidi unaweza kuwasiliana na Isaac Kibodya 413.219.1153
Vijimambo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania