Arsenal yaitwanga Man city
Timu ya soka ya Arsenal imeendelea kujiimarisha katika ligi kuu ya England kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Manchestaer United .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mWq-Pv8RWzQ-1pqvVJIqaCB2MLx6S*MgMd2HHmnHurOL5Lyza1AU1raULaA3qzMBdMmc3iszhT2QzM9lpmO5Ycg5*-mI-U5t/alvaronegredogoalmancityarsenal_576x324.jpg?width=650)
FT: MAN CITY 6 - 3 ARSENAL
Wafungaji wa Manchester City Sergio Agüero 14' , Ãlvaro Negredo 39', Fernandinho 50', David Silva 66' , Fernandinho 88 Mfungaji wa Arsenal ni Theo Walcott 31', 63' na Mertesacker 90'
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPA >> GLOBAL PUBLISHERS
10 years ago
Mwananchi17 Mar
Arsenal, Man City kikaangoni
England inaweza kukosa mwakilishi kwa mara ya pili ndani ya miaka mitatu katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kama Arsenal na Manchester City watashindwa kulipa kisasi katika michezo yao ya leo na kesho.
11 years ago
Mwananchi15 Dec
Man City yaichakaza Arsenal
England. Manchester City imepunguza kasi ya Arsenal katika kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya soka England baada ya kuichapa mabao 6-3.
11 years ago
BBCSwahili14 Dec
Arsenal wabwagwa na Man City 6-3
Manchester City, wametoa ujumbe mkali kwa mahasimu wao kwenye ligi ya Premier Arsenal baada ya kuwacharaza mabao sita kwa matatu.
11 years ago
BBCSwahili30 Mar
Arsenal yatoshana nguvu na Man City
Kiwango cha soka zuri walilonyesha kimewapa matumaini mashabiki wa Arsenal baada ya wiki ya vipigo.
11 years ago
BBCSwahili26 Jan
Man City Vs Chelsea,Arsenal Vs Liverpool
Droo ya michuano ya kombe la FA imefanywa punde kwa mechi za mchujo wa raundi ya tano. Man City watakutana na Chelsea.
10 years ago
BBCSwahili13 Jun
Wilshere:Mimi ni Arsenal sitaki Man City
Kiungo cha kati wa klabu ya Arsenal Jack Wilshere amekariri ari yake ya kusalia Emirati licha ya Manchester City kummezea mate
5 years ago
Pain In The Arsenal12 Mar
Arsenal: The crazy schedule ramifications from Man City postponement
Arsenal: The crazy schedule ramifications from Man City postponement Pain In The ArsenalArsenal & the coronavirus: What we know so far & what happens next Goal.comGary Lineker reveals his fears after Arsenal game cancellation because of Coronavirus Just Arsenal News'A disaster!' - Man City vs Arsenal postponement has fantasy football fans fuming Football.LondonOlympiacos test negative for coronavirus after Wolves concerns & postponement of Man City vs Arsenal Goal.comView Full coverage...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania